Wafilipi 2:10-11
  • *Ufunuo wa Yesu Kuhusu Kuzimu* na *Mary K Baxter* SEHEMU YA TANO (PART 5)


    --------------------------------------- 60 Lakini Bwana, sasa natubu. Tafadhali nitoe. Usiku na mchana nateseka katika moto huu, hakuna maji. Nina kiu sana.´ AliliHua. we³zi kunipa maji kidogo nin ywe? Tulipotoka pale mtu yule bado alikuwa anamwita Yesu. Nilitazama chini kwa huzuni. Yesu alisema,W acha³ wi na watenda maovu wote watakuwa na sehemu katika ziwa linalowaka moto na kiberiti, ambayo ni mauti ya pili.´ Tulifika kwenye selo nyingine ambamo mlikuwa na mwanaume mwingine. Alisema, ³Bwana, nilijua kwamba ungekuja na kunitoa. Nimetubu kwa muda mrefu.´ Naye huyu alikuwa skeletoni, amejaa moto na funza. ³O mwanadamu, bado umejaa uongo na dhambi. Unajua kwamba ulikuwa mfuasi wa Shetani, mwongo uliyewadanganya wengi. Ukweli haukuwahi kuwa katika kinywa chako, na daima mauti ilikuwa ndio ujira wako. Uliyasikia maneno yangu mara kwa mara ukaufanyia mzaha wokovu wangu na Roho wangu Mtakatifu. Ulidanganya maisha yako yote na hukutaka kunisikiliza. Wewe ni wa baba yako Ibilisi. Waongo wote watakuwa na sehemu yao katika ziwa la moto. Umemkufuru Roho Mtakatifu. Mtu yule alianza kulaani na kusema mambo mengi mabaya juu ya Bwana. Tuliendelea. Roho hii ilipotea milele kuzimu. Yesu alisema, Mtu ³yeyote akitaka aje kwangu, na anayepotea maisha yake kwa ajili yangu atapata maisha, naam, kwa wingi zaidi. Lakini watenda dhambi lazima watubu wangali hai duniani. Watakuwa wamechelewa wakitaka kutubu wakifika hapa. Wakosaji wengi wanataka kumtumikia Mungu na Shetani, au wanadhani kwamba wana muda usio kikomo wa kukubali neema ambayo Mungu anatoa. Wenye hekima hasa watachagua leo nani wa kumtumikia. Mara tulifika kwenye selo nyingine. Kilio cha huzuni kubwa kilitoka mle ndani. Tulitazama na kuona mtu akiwa skeletoni amekaa kwenye sakafu na kujikunja.Mifupa yake ilikuwa mieusi kutokana na kuungua, na roho yake ilikuwa chafu ± mvuke wa kikahawia ndani. Niligundua kwamba baadhi ya viungo vyake vilikuwa havipo. Moshi na moto vilimzunguka. Funza walikuwa wanatembea ndani yake. Yesu alisema,Mt u ³huyu alikuwa na dhambi nyingi. Alikuwa muuaji na chuki ilikuwa ndani ya moyo wake. Hakutaka kutubu wala kuamini kwamba ningeweza kumsamehe. Laiti kama angelikuja kwangu!´ ³Una maana, Bwana,´nili ulizalida, ha³ni kwamba usingeweza kumsamehe dhambi ya kuua na chuki? ³Ndio,´ Yesu aliseAma.ngea ³mini tu na kuja kwangu, ningelimsamehe dhambi zake zote, kubwa na ndogo. Badala yake aliendelea kutenda dhambi na alikufa katika 60 --------------------------------------- 61 hizo. Ndio maana yupo hapa alipo leo. Alipewa fursa nyingi kunitumikia na kuiamini injili, lakini alikataa. Sasa amechelewa. Selo tuliyoiendea ilijaa harufu mbaya ajabu. Nilisikia vilio vya wafu na manunguniko ya kukata tamaa kila mahali. Nilikuwa na huzuni mno kiasi cha kuugua. Niliamua kwamba nitafanya kila linalowezekana kuuambia ulimwengu kuhusu mahali hapa. Sauti ya mwanamke ilisema, Nisaidi³e.´ Niliyaona macho ya kweli, sio mashimo meusi ya macho ambayo ni ishara ya kuungua. Nilisikitika kiasi cha kutetemeka, niliona huruma na huzuni kwa roho hii. Nilitaka sana kumvuta kwenye selo na kukimbia naye. Inaum³ a kweli.´ Alisem a. ³Bwana, sasa nitafanya yaliyo sahihi. Kuna wakati nilikujua, ulikuwa Mkombozi wangu.´ Mikono yake ilishikilia nondo za selo Kwkanwa ini nguvusu. iwe Mkombozi wangu s asa?´ Mapande ya nyama iliyoungua yalidondoka toka mwilini mwake, na mifupa tu ndio iliyoshikilia nondo za selo. ³Hata uliniponya ugonjwa wa kansa´, alisemUa, liniam³ bia nisitende dhambi tena jambo baya zaidi lisije likanitokea. Nilijaribu, Bwana, unajua nilijaribu. Hata nilijaribu kushudia kwa ajili yako. Lakini, Bwana, mara nilijifunza kwamba wanaohubiri neno lako hawapendwi. Nilitaka watu wanipende. Taratibu nilirejea katika dunia na tamaa ya mwili ilinimaliza. Majumba ya strare na vinywaji vikali vilikuwa muhimu kwangu kuliko wewe. Nilipoteza ukaribu namarafiki zangu Wakristo na mara nikajikuta nina hali mbaya mara saba kuliko nilivyokuwa mwanzoni. "Ingawaje niliwapenda wote wanaume na wanawake, sikukusudia kupotea. Sikujua kwamba nilikuwa nimemilikiwa na Shetani. Bado kwenye moyo wangu nilisikia wito wako wa kutubu na kuokoka, lakini sikuweza. Niliendelea kuwaza kwamba muda ulikuwepo bado. Kesho nitamgeukia Yesu, ananisamehe na kuniokoa. Lakini nilisubiri muda mrefu mno, na sasa nimechele walilia.a, Macho yake ya huzuni yaliwaka moto na kutoweka. Nililia na kumwangukia Yesu. O Bwana, niliwaza, ni rahisi tu kuwa huyo angekuwa mimi au mmojawapo wa wapendwa! Mkosaji, tafadhali, amka kungali nafasi. Tulitembea hadi kwenye selo nyingine. Ndani yake alikuwemo mtu mwingine, skeleton yenye roho ya rangi ya kikahawia ndani yake. Kilio cha uchungu mkubwa na majuto kilitoka kwa mtu huyu na nilijua kwamba nisingesahau kamwe. Yesu alisema, Mwana³ ngu,wengine watakaosoma kitabu hiki watakilinganisha na riwaya au picha ya sinema ambayo wamewahi kuiona. Watesema kwamba hii si kweli. Lakini wewe unajua kwamba mambo haya ni kweli. Unajua kwamba kuzimu ni 61 --------------------------------------- 62 halisi, kwa maana nimekuleta huku mara nyingi kwa Roho wangu. Nimekufunulia kweli ili ukaushuhudie. Ewe mpotevu, kama hutatubu na kubatizwa na kuiamnini injili ya Yesu Kristo, hakika huu ndio utakuwa mwisho wako. ³Huyu mtu yupo hapa,´ Bwana alisema,kwa ³sababu ya uasi. Dhambi ya uasi ni kama dhambi ya uchawi. Wale wote ambao wanalijua Neno langu na njia zangu na wamesikia injili lakini hawataki kutubu wananiasi. Wengi wako kuzimu leo kwa sababu ya dhambi hii. Mtu yule alizungumza na Yesu na kumwKambiuna a, wakat³ i nilitaka kukufanya wewe kuwa Bwana wa maisha yangu, lakini sikutaka kutembea njia yako nyembamba na ilisiyonyooka. Nilitaka njia pana. Ilikuwa rahisi zaidi kutumikia dhambi. Sikutaka kuwa mtakatifu. Niliipenda njia yangu ya dhambi. Nilipenda kunywa vinywaji vikali na kufanya mambo ya dunia hii kuliko kufuata amri zako. Sasa najuta kwamba sikuwasikia watu uliowatuma kwangu. Badala yake nilifanya uovu na sikutaka kutubu.´ Kilio cha kwikwi kubwa kiliutikisa mwili wake alipokuwa aNnaimlia eteswkaw a majuto. ³ mahali hapa kwa miaka mingi. Najua mimi ni nani, na najua kwamba sitatoka hapa kamwe. Ninateswa usiku na mchana katika moto huu na funza hawa. Ninaita, lakini hakuna anayekuja kunisaidia. Hapa hakuna anayejali juu ya roho yangu ±hakuna anayejali juu ya roho yangu.´ Alianguka kwenye sakafu kama kifurushi na alie ndelea kulia. Tulikwenda kwenye selo nyingine. Mwanamke alikuwa anatoa mafunza kwenye kwenye mifupa yake. Alianza kulia alipomwonNa isaidiYesu.e ³B w³ana,´ alisemNa. itak³uwa mtu mzuri, tafadhali nitoe.´ Nayeye alisimama na kushikilia nondo za selo. Nilimwonea huruma sana. Kilio kilitikisa mwili wake alipokuwa analia. Alisema, Bw³ana, nilipokuwa duniani, niliiabudu miungu ya Kihindu na miungu mingi. Sikuiamini injili ambayo wamisionari walinihubiri,ingawaje niliisikia mara nyingi. Siku moja nilikufa, niliililia miungu yangu iniokoe kuzimu, lakini haikuweza. Sasa bwana, nataka kutubu. ³Umechelewa.´ eYsu alisema. Moto ulimfunika tulipoendelea mbele, kilio chake kinaujaza moyo wangu hata sasa. Shetani alimdanganya. Sauti yake ikiwa na huzuni, Yesu Twaliendsee, ma,tu ta³rudi kesho. Sasa ni saa ya kuondoka.´ 62 --------------------------------------- 63 Sura ya 17 Vita Katika Mbingu Roho wa Bwana alikuwa juu yangu, na tulikwenda tena kuzimu. Yesu alisema, ³Ninakuambia kweli, roho nyingi zipo hapa kwa sababu ya uchawi, ulozi, na kuabudu miungu mingine, kutokutii, kutokuamini, ulevi na uchafu wa mwili na roho. Njoo, nitakuonyesha siri na kukuambia mambo yaliyojificha. Nitakufundisha namna ya kuomba kupinga nguvu za uovu.´ Tulitembea hadi sehemu ya kuzimu iliyo karibu na moyo mwovu wa kuzimu.Yesu alisema, ³Hivi karibuni tutaingia kwenye taya za kuzimu, lakini nataka kumwambia kila mtu kwamba kuzimu kumejipanua. Tulisimama, na alisema, Tazama ³ na amini.´ Niliangalia na kuona maono ya wazi. Katika maono Yesu na mimi tulikuwa juu sana juu ya dunia tukitazama angani. Niliona duara la kiroho juu ya dunia. Duara lilikuwa halionekani kwa macho ya kawaida, ila ya kiroho, niliweza kuliona vizuri. Nilifahamu kwamba maono hayo yalihusika na vita vyetu kupambana na wafalme na wakuu wa anga. Nilipoendelea kuangali niliona kwamba, kumbe, kulikuwa na maduara mengi. Katika duara la kwanza kulikuwa na roho nyingi chafu na ovu. Niliona roho chafu zikichukua umbo la wachawi, na zilianza kuruka angani na kufanya uharibifu mwingi wa kiroho. Nilisikia sauti ya Yesu ikisema,Katika ³ Jina langu, nawapa watoto wangu mamlaka juu ya wabaya hawa. Sikiliza na jifunze jinsi ya kuomba.´ Niliona kitu kingine kikiinuka kutoka duara lingine na kuanza kuzunguka na kutawanywa uchawi. Kisha niliona pepo limeinuka, na lilikuwa likifanya mambo maovu duniani. Pepo lilikuwa na roho ya mchawi. Aliweza kugeuka na kucheka, na kutoka katika fimbo mkononi mwake, alimwaga roho wachafu kwa watu mbalimbali. Niliona roho nyingine chafu zikiungana na yule mchawi, na Shetani alimpa nguvu zaidi. ³Angalia, mnayofunga duniani, nitayafunga mbinguni,´ Yesu alisema. ³Shetani lazima afungwe kama maombi ya watakatifu yanataka kuwa na nguvu katika siku hizi za mwisho. Kutoka duara lingine niliona mfanya mazingaombwe akiinuka, na alinza kutoa amri. Mvua na moto vilianguka kutoka mbinguni alipokuwa anazungumza. Alizungumza mambo mabaya mengi, na aliwadanganya watu wa dunia. Nilipoendelea kutazama, niliona pepo 63 --------------------------------------- 64 wengine wawili wakiungana na huyo mfanya mazingaombwe juu ya anga la dunia. Hawa wote walikuwa wafalme wabaya na nguvu za anga. Hawa waliwapa nguvu wachawi waliojikusanya pamoja mahali fulani ili kufanya uovu. Watenda kazi wa giza waliwazunguka. Mapepo yaliingia na kutoka kama yalivyopenda. ³Angalia kwa uangalifu, ³Yesu alisemma, aana ³ Roho Mtakatifu anakufunulia ukweli mkubwa. Katika maono niliona mambo mabaya sana yakitokea duniani. Uovu ulikuzwa na dhambi ilitapakaa. Nguvu za uovu zilisababisha watu kuiba, kusema uongo, kudanganya, kuumizana, kusema uovu na kushindwa na tamaa ya mwili. Kila aina ya uovu ulimwagwa duniani. Nilisema, Yes³u, haya ni vigumu mno kuendelea kutazama. Yesu alisema, Mwana³ ngu, katika Jina langu, uovu lazima ukimbie. Vaeni silaha zote za Mungu ili muweze kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama. Roho chafu zilipomwaga uovu wao na matusi juu ya dunia, niliona watu wa Mungu wakianza kuomba. Waliomba kwa Jina la Yesu na kwa imani. Walipokuwa wanaomba, Neno la Mungu lilipambana na mapepo, nayo yalianza kupoteza nguvu. Watakatifu walipoomba, nguvu za uovu zilianza kushindwa. Nguvu za uovu zilivunjika. Wale waliokuwa wamedhoofishwa na nguvu za kuzimu walipata nguvu. Waliopoomba kwa sauti moja, malaika wa mbinguni waliingia katika mapambano. Niliwaona malaika watakatifu wakipigana na wafalme waovu na nguvu za anga, na malaika wa Mungu walikuwa wakiziharibu nguvu za uovu. Niliangalia, tazama, kulikuwa na mstari juu ya mstari wa jeshi la malaika, kila mstari ukiwa na malaika kama 600. Watu walipokuwa wanamwamini Mungu, malaika walikuwa wanasogea mbele. Mungu ndiye alitoa amri, na nguvu yake ilikuwa kubwa sana. Aliwapa nguvu nyingi watu wake na malaika kuharibu kazi za Shetani. Mungu alikuwa akipigana na ouvu katika anga. Watu walipoomba na kumwamini Mungu, nguvu za uovu zilikuwa zikiharibiwa. Lakini kulipokuwa na kutokuamini, nguvu za uovu zilianza kushinda. ³Watu wangu ni lazima waamini, na lazima wakubaliane wao kwa wao na mimi,´ Bwana alisema,m ambo³ yote lazima yawekwe chini ya miguu ya Baba´ Mbingu na dunia ni lazima zikubaliane kama tunataka kuwaangamiza maadui wetu. Sifa za watu wa Mungu zilipoanza kupanda kutoka duniani, nguvu za uovu zilirudi nyuma. Niliwaona watakatifu wa Mungu wakiomba kwa moyo wao wote kupinga hila za mwovo. Walipofanya hivyo, nguvu za uchawi na laana zilivunjika, na watakatifu walipata ushindi. 64 --------------------------------------- 65 Ilitokea namna hii. Malaika watakatifu walipopigana na mapepo na nguvu za kuzimu, watakatifu waliokolewa kwa njia ya maombi. Watu walipookolewa, sifa nyingi zilitolewa kwa Mungu, na sifa zilileta ushindi zaidi. Ni pale tu ambapo matokea ya maombi hayakuonekana mara moja ndipo sifa zilikoma na ouvu ulianza kushinda vita. Nilimsikia malaika akisema kwa sauti kubwa, ³O Bwana, imani ya watu wako ni dhaifu. Ni lazima wawe na imani kama unataka kuwaokoa kutoka majeshi ya Shetani. Bwana, uwe na rehema kwa warithi wa wok ovu. Sauti ya Mwenyezi ilijBila ibu, imani ³haiwezekani kumpendeza Mungu. Lakini Bwana ni mwaminifu, atawasimamisha. Tena katika maono niliona Bwana akimwaga Roho wake kwa wote wenye mwili, na watu waliamini kwamba angefanya yote waliyoomba kwa sababu walikuwa watu wake na walimpenda kweli. Walikuwa na imani kwa Mungu na waliliamini Neno lake, na Mungu aliwaokoa. Na Neno la Mungu lilikua katika nchi. Bwana alisema, Yote³ yanawezekana kwa wao wanaoamini. Naliangalia Neno langu nipate kulitimiza. Fanyeni sehemu yenu, nanyi mnajua kwamba namimi nitafanya yangu. Kama watu wangu watasimamia kweli na kupigana vita njema, mambo mazuri ya ajabu yatatokea kama Siku ya Pentekoste. Niite nami nitakuitikia. Nitakuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu. Nitawathibitisha katika haki, kweli na uaminifu. Katika maono haya, niliwaona Wakristo wakizaliwa kama watoto wachanga. Niliwaona malaika wakisimama juu yao kuwalinda wasipatwe na mabaya. Nilimwona Bwana wa mabwana akipigana vita vyao na kushinda kwa ajili yao. Niliwaona watoto hao wakikua na kuvuna mashamba ya Bwana wa Utukufu. Walikuwa wanafanya kazi ya Bwana kwa moyo wa furaha na wa kumpenda Mungu, wakimwamini Mungu na kumtumikia. Niliona malaika na Neno la Mungu wakiungana kuteketeza ubaya kutoka uso wa dunia. Niliona amani duniani wakati hatimaye kila kitu kimewekwa chini ya miguu ya Mungu. 65 --------------------------------------- 66 Sura ya 18 Maono ya Wazi Kutoka Kuzimu Bwana alisema,M aono ³haya ni kwa ajili ya siku za baadaye, na yatatimia. Lakini nitarejea kumkomboa bibi harusi wangu, kanisa langu, na halitayaona haya. Amkeni, watu wangu. Napiga baragumu kona zate za dunia, maana nitakuja kama Neno langu linavyosema. Nililiona joka kali lililokuwa mkono wa kulia wa kuzimu. Yesu aliniambiNa, joo,³ uone mambo ambayo Roho auambia ulimwengu.´ Niliziona pembe za joka kali zilipokuwa zinaingia kwenye miili ya watu duniani. Wengi walipagawa kabisa na joka. Nilipoangalia niliona mnyama mkubwa akiinuka mahali fulani pakubwa na kugeuka kuwa mtu. Wakazi wa dunia walimkimbia, wengine walikwenda nyikani, wengine katika mapango, wengine kwenye vituo vya treni na wengine kwenye mahandaki ya kujisetiri mabomu. Walitafuta sehemu yoyote ambayo ingewasetiri na macho ya mnyama. Hakuna aliyekuwa anamsifu Mungu au kuzungumza habari za Yesu. Sauti iliniambia, Watu w an³ gu wako wapi? Niliangalia kwa karibu zaidi na kuona watu wakitembea kama watu waliokufa. Kulikuwa na huzuni nzito katika anga, na hakuna mtu aliyegeuka kulia au kushoto. Niliona kwamba watu walikuwa wanaongozwa na nguvu fulani isiyoonekana. Mara kwa mara sauti ilizungumza nao hewani, na waliitii sauti hiyo. Hawakuwa wanasemezana. Vile vile niliona kwamba namba 66³ 6 imeandikwa kwenye kipaji cha uso au mkono wa kila mtu. Niliona askari waliopanda farasi wakiwachunga watu kama kwamba walik uwa ngombe. Bendera ya America, ikiwa imechanika vipande vipande, ilala chini. Hakukuwa na furaha, wala kicheko. Niliona mauti na ouvu kila mahali. Watu walitembea kwenye mstari kwenda dukani. Walitembea kwa hatua kama askari waliokata tamaa na walivaa sare aina kama ya wafungwa. Uzio ulilizunguka duka, na walinzi waliwekwa hapa na pale. Kila nilipotazama, niliwaona askari katika sare za vita. Niliwaona watu hawa kama misukule wakiingizwa kwenye maduka, ambapo waliweza kununua vitu muhimi tu. Kila mtu alipomaliza manuzi yake, alipandishwa kwenye gari la kijeshi la kijani kibichi. Gari hilo, ambalo lililindwa vizuri, lilielekea sehemu nyingine. Hapa, kwenye aina fulani ya zahanati, watu hawa walichunguzwa kama wana magonjwa ya kuambukiza au ulemavu mkubwa. Wachache wao walitengwa pembeni kuwa hawafai. 66 --------------------------------------- 67 Mara, wale walioshindwa kwenye uchunguzi walipelekwa kwenye chumba cha pembeni, swichi za aina mbalimbali zilijaza ukuta mzima. Mlango ulifunguliwa, na watalaam mbalimbali waliingia. Mmoja wao alianza kuita majina ya watu waliokuwa chumbani mle. Bila ubishi, walioitwa waliinuka na kuingia ndani ya sanduku kubwa. Walipoingia mfanyakazi mwingine alifunga mlango na kubonyeza swichi iliyokuwa ukutani. Dakika chache baadaye alifungua mlango alichukua fagio na chombo cha kuzolea taka, na kuzoa masalia yaliyokuwa kwenye sakafu. Hakukuwa na kitu ila vumbi kidogo badala ya watu waliokuwa wamejaa chumbani! Niliwaona watu walikuwa wamefaulu mtihani wa kupimwa afya wakipandishwa kwenye malori yale yale na kundeshwa kupelekwa kwenye treni. Hakuna aliyezungumza au kugeuka na kumtazama mwenzake. Katika jengo lingine kila mmoja alipewa kazi ya kufanya. Wote walianza kufanya kazi bila ubishi wowote. Niliangalia walivyofanya kazi walizopewa kwa bidii, halafu, mwisho wa siku, walichukuliwa kwenye maghorofa yaliyokuwa yamezungushiwa uzio mrefu. Kila mmoja alivua nguo na kwenda kitandani kulala. Kesho yake wangeamka na kufanya kazi kwa nguvu tena. Nilisikia sauti ikienea katika anga la usiku. Nilimwona mnyama mkubwa, alikaa kwenye kiti cha enzi kikubwa sana. Watu wote walimtii mnyama. Niliona pembe za kiroho zikiota kwenye kichwa chake. Zilikwenda kila mahali katika dunia. Mnyama alijichukulia vyeo vingi vyenye madaraka, na akawa na mamlaka kubwa. Mnyama alijipenyeza sehemu nyingi na aliwadanganya watu wengi. Matajiri na watu maarufu walidanganywa kama vile maskini walivyodanganywa. Wakubwa na wadogo walimheshimu mnyama. Mashine kubwa ililetwa ofisini. Mnyama aliweka alama juu yake, na sauti ilitoka kwenye mashine ile. Vile vile kulikuwa na mashine ingine kubwa ambayo iliweza kuona majumbani na mahali mbalimbali pa kazi. Kulikuwa na mashine moja tu ya aina hii, na alikuwa nayo mnyama peke yake. Sehemu ya mashine ambayo ilikuwa kwenye nyumba za watu ilikuwa haionekani kwa macho ya kawaida, lakini ilikuwa ikitoa taarifa kwa mnyama kila kitu kilichofanywa na watu. Niliangalia mnyama alipozungusha kiti chake cha enzi kuelekea kwangu. Kwenye kipaji cha uso wake kulikuwa na namba 666. Nilipoendelea kuangali nilimwona mtu mwingine ofisini akiwa amemkasirikia sana mnyama. Alidai azungumze naye. Alikuwa akipiga kelele kwa nguvu. Mnyama alitokea na alionekana mnyenyekevu aliposNemjoa, o, ³nitakusaidia kutoa suluhisho l a tatizo lako. Mnyama alimchua yule mtu hadi kwenye chumba kikubwa na alimwambia alale kwenye meza. Chumba kile na kitanda kile kilinikumbusha juu ya chumba cha dharura hospitalini. Yule mtu alipewa dawa ya nusu kaputi na kusukumwa akiwa amelala kwenye kitanda hadi kwenye mashine kubwa. Mnyama aliunganisha waya kwenye kichwa cha yule mtu na 67 --------------------------------------- 68 akawasha machine. Juu ya ile mashine yalikuwa yameandikwa maneno haya: ³Mashine hii ya kufuta kumbukumbu ni mali ya mnyama, 666. Yule mtu alipoondolewa kwenye meza, macho yake yalipoteza uhai, na mwendo wake ulinikumbusha moja wapo ya sinema za misukule. Niliona shimo kubwa katika utosi wa kichwa chake, na nilijua kwamba akili yake ilikuwa imefanyiwa upasuaji ili atawaliwe na mnyama. Mnyama alisema,S asa ³ bwana, si unajisikia vizuri? Si nilikwambia kwamba nitakupa suluhisho la tatizo lako? Nimekupa ubongo mpya. Sasa hatakuwa na kitu cha kujali au matatizo yoyote. Mtu yule hakusema neno. ³Utatii amri zangu zote,´ alisema yule mnyama huku akichukua kitu fulani kidogo na kukibandika wenye shati la mtu yule. Alizungumza tena na yule mtu na alijibu bila kuchezesha mdomo. Alitembea kama mtu Umftafanu. ya³ kazi bila kukasirika au kukata tamaa, hutalia wala hutaona huzuni. Utanifanyia kazi mpaka utakapokufa. Ninao wengi kama wewe ninao wamiliki. Wengine wanadanganya, wengine wanaua, wengine wanaiba, wengine wanapigana vita, wengine wanazaa, wengine wanaendesha mitambo, na wengine wanafanya mambo mengine. Ndio, natawala kila kitu.´ Kicheko cha kebehi kilimtoka. Mtu yule alipewa karatasi ili aweke sahihi. Kwa raha tu alimpa mnyama mali zake zote. Katika maono nilimuona mtu yule akitoka kwenye ofisi ya mnyama, akiingia kwenye gari lake na kwenda nyumbani. Alipomkaribia mke wake, mke wake alijaribu kumbusu, lakini hakuthubutu kujibu. Hakuwa na hisia zozote kwa mke wake wala kwa mtu yoyote. Mnyama alimfanya asiwe na hisia za aina yoyote. Mke wake alichukia sana na akampigia kelele mume wake, bila mafanikio. Hatimaye alisema, ³Sawa, nitamwambia mnyama. Atajua la kMufaara n ybaa.ada ya kupiga simu, alitoka pale nyumbani na kwenda kwenye jumba lile lile ambalo mume wake alikuwa ametoka. Mnyama alimkaribisha na kumwambia,Niambie ³ matatizo yako. Nina uhakika naweza kukusaidia .´ Mwanaume mmoja mzuri alimchukua na kumpeleka kwenye meza ile ile ambayo mume wake alikuwa ametoka muda si mrefu. Baada ya operesheni ile ile, naye aligeuka akawa mtumwa wa mnyama asiye na utashi. 68 --------------------------------------- 69 Nilisikia mnyama akimuuliUnazjia, sikia³je? Hakjibu u mpaka kidude fulani kiliposhikizwa kwenye blauzi yake. Ndipo alipokiri kwamba yeye mnyama ni bwana na akaanza kumwabudu. ³Utakuwa mzaaji,´ alisem³Ua. takuwa na watoto wazuri, nao wataniabudu na ku nitumikia. Mwanamke alijibu kwa sauti kama ya machine, Ndio bwana, nitakutii. Nilimwona tena yule mwanamke. Safari hii alikuwa katika jengo lingine. Kulikuwa na wanawake wengi waja wazito katika jengo lile. Wanawake hawa walilala kwenye vitanda kama kwamba hawana uhai, wakiimba nyimbo za kurudia rudia wakimsifu mnyama. Wote walikuwa na alama ya 666 katika vipaji vya nyuso zao. Watoto wao walipozaliwa, walipelekwa kwenye nyumba nyingine ambako manesi ambao fahamu zao zilikuwa zimevurugwa walikuwa na kazi ya kuwalea. Manesi nao walikuwa na alama ya 666 katika vipaji vya nyuso zao. Nguvu za mnyama zilizidi kuongezeka mpaka ufalme wake ulifika ulimwenguni pote. Watoto nao walikua, na kwa wakati maalum, nao waliwekwa chini ya machine ya kubadili ufahamu. Walimwabudu mnyama na sanamu yake. Lakini mashine haikuwa na nguvu juu ya watoto wa Mungu. Niliisikia sauti ya Bwana Waikisle ema, wanaom³wabudu mnyama na sanamu yake wataangamia. Wengi watadanganywa na watapotea, lakini nitawaokoa watoto wangu na mnyama. Mambo haya yatafanyika katika siku za mwisho. Usipigwe alama ya mnyama. Tubu sasa kabla hujachelewa. ³Mnyama atajifanya mtu wa amani. Na ataleta amani kwa mataifa mengi katikati ya machafuko mengi. Ataweza kuupa ulimwengu vitu vingi kwa bei rahisi, na atahakikisha kwamba mshahara wa kila mtu unatosha. Atafanya mikataba ya ushirikiano na mataifa mengi, na wakuu wengi wa dunia watamfuata kwa ajili ya amani isiyo halisi. ³Kabla ya nyakati hizo nitaiunua jeshi la waumini ambalo litasimamia ukweli na haki. Jeshi kuu ambalo Yoeli alilizungumzia litasikia sauti yangu kutoka macheo hadi mawio ya jua. ³Hata wakati wa usiku watasikia sauti yangu, na wataitika. Watanitumikia, watakwenda kama watu hodari wa vita. Watafanya makuu kwa ajili yangu, kwa sababu nitakuwa nao. Haya yote yalifunuliwa kwangu na Bwana Yesu Kristo katika maono ya wazi. Ni maneno ya kinywa chake, na yanahusu siku za mwisho. Yesu na mimi tulirudi nyumbani, na nilikuwa natafakari mambo haya yote aliyoniambia na kunionyesha. Nilala usingiza nikiomba kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. 69 --------------------------------------- 70 Sura ya 19 Mdomo wa Kuzimu Usiku uliofuata Yesu namimi tulitembea katika mdomo wa kuzimu. Yesu alisema,Ka ri³bu tutamaliza kuzimu, mwanangu. Sitakuonyesha kuzimu nzima. Lakini niliyokuonyesha nataka uuambie ulimwengu. Waaambie kuzimu ni halisi. Waambie taarifa hii ni halisi. Tulipokuwa tunakwenda, tulisimama juu ya mlima uliokabiliana na bonde dogo. Kwa kadri ya upeo wa macho yangu kulikuwa na roho za watu pembezoni mote mwa mlima. Nilisikia vilio vyao. Kelele zilijaa mahali hapa. MYwanaesu naligu,s hema,uu ni ³mdomo wa kuzimu. Kila wakati mdomo wa kuzimu unapofunguliwa, utasikia kelele hizo. Roho zilikuwa zikijaribu kutoka lakini wapi, maana zilikuwa zimekandikwa kwenye kuta za kuzimu. Yesu alipokuwa anasema, niliona vitu vyeusi vikianguka kutupita na kudondoka kwa kishindo chini ya mlima. Mapepo yakiwa na minyororo mikubwa yalikuwa yakiziburiza roho. Yesu aliseHma,izo ni³ roho ambazo zimekufa duniani na zinafika kuzimu. Tukio hili linaendelea usiku na mchana. Ghafla, ukimya mkubwa ulijaa mahali pale. Yesu Nakualipensdaema,, mw a³nangu, na nataka uwaambie watu wa dunia habari za kuzimu. Nilitazama ndani kabisa mwa mdomo wa kuzimu kupitia kwenye matundu pembeni mwa mdomo. Vilio vya mateso na maumivu vilitoka mle. Mambo haya yatakwisha lini? Nilijiuliza. Nitafurahi sana nisipoyaona tena. 70 --------------------------------------- 71 Halafu, ghafla, nilijikuta nimepotea. Siwezi kujua namna nilivyojua, lakini nilijua kwa moyo wangu wote kwamba Yesu ametoweka. Nilisikia huzuni kubwa. Niligeuka kuangalia alipokuwa amesimama. Kweli, Yesu hakuwO ephaopa! na³!´ NililSia.io m ar³a hii tena, Yesu, Uko wapi? Unayokwenda kusoma yatakutisha! Naomba yakutishe kiasi cha kutosha ili uwe muumini. Naomba utubu dhambi zako ili usiende mahali pale pa kutisha. Naomba uniamini, maana sitaki mambo haya yatokee kwa mtu yeyote. Ninakupenda na nadhani utaamka bila kuchelewa. Kama wewe ni Mkristo na unasoma haya, uwe na uhakika na wokovu wako. Uwe tayari kukutana na Bwana wakati wowote, kwa maana wakati mwingine hakuna nafasi ya kutubu. Wakati wote taa yako iwe inawaka na iwe na mafuta. Kaa tayari, maana hujui wakati gani atakuja. Kama hujazaliwa upya, soma Yohana 3:16-19,, na mwite Bwana, atakuokoa na mahali hapa pa mateso. Nilipokuwa namlilia Yesu , nilianza kukimbia chini ya mlima nikimtafuta. Nilisimamishwa na pepo kubwa lenye mnyoro mkononi. Lilicheka Hna una kumsahemali a, pa³ kukimbilia, mwanamke. Yesu hayupo hapa kukuokoa. Umefika kuzimu milele. ³O hapana,nililia , ³niache nie!´nd eNilipigana kwvau nzangugu zote lakini mwishoni nilifungwa na mnyororo na kutupwa chini. Nilipolala pale, kitu kama gundi au uji kilianza kuufunika mwili wangu na harufu mbaya sana kiasi cha kutaka kutapika. Sikujua kitu gani kingetokea. Halafu niliona nyama yangu na ngozi ikianguka kutoka kwenye mifupa yangu! Nilipiga kelele na kupiga kelele kwa taharuO Yki eksuu, bwa. uko ³ wapi? Niliita, ³ Uko wapi? Nilijitazama na kuona kwamba mashimo yalianza kutokea kila mahali kwenye nyama iliyosalia. Nilianza kugeuka rangi kuwa wa kijivu, na nyama ya kijivu ilidondoka kutoka mwilini mwangu. Kulikuwa na matundu kwenye mbavu zangu, kwenye miguu, na kwenye mikono. Nilipaza sO haauti,pa na³. Niko kuzimu milele, hapana! Nilianza kuhisi mafunza yakitembea ndani yamwil wangu, na nilipoangalia, niliona kwamba mifupa yangu ilikuwa imejaa mafunza. Hata kama nilikuwa siyaoni, nilijua yapo. Nilipojaribu kuyatoa, mengine mengi zaidi yalijitokeza. Nilikuwa nausikia uozo katika mwili wangu. Ndio, nilikuwa najua kila kitu na nilikuwa na kumbukumbu halisi ya mambo yote ya duniani. Niliweza kuhisi, kuona, kunusa na kuonja mateso ya kuzimu. Niliweza kuona ndani yangu. Nilikuwa skeleton chafu, bado niliweza kuona yote yaliyokuwa yanatokea kwangu. Niliwaona wengine kama mimi. Kulikuwa na roho kwa kadri ya upeo wa macho yangu. 71 --------------------------------------- 72 Nililia tena kwa maumivu makubwa, O Yesu, tafadhali nisaidie, Yesu. Nilitamani kufa, lakini sikuweza. Nilihisi moto ukiwashwa kwenye miguu yangu. Nilipiga kelelUko we, api,³ Yesu?´ niligalagala kwenye sakafu na kulia kama ivywokenuwginea w anwafaalnya. Tulilala kwenye mdomo wa kuzimu katika malundo , kama takataka zilizotupwa. Mateso yasiyovumilika yalizibana roho zetu. Niliendelea kupiga kelele tenaU kno wa tapeni a, Ye³su? Uko wapi Y esu! Niliwaza kama nilikuwa naota au la. Je nitaamka katika ndoto? Ni kweli nilikuwa kuzimu? Nilifanya dhambi gani kubwa na kupoteza wokovu wangu? Nilimkosea Roho Mtakatifu? Nilikumbuka mafundisho yote ya biblia ambayo niliwahi kufundishwa. Nilijua kwamba familia yangu ilikuwa mahali fulani juu. Kwa taharuki kubwa nilijiona niko kuzimu sawa na roho nyingine ambazo nilikuwa nimeziona na kuzungumza nazo. Niliona ajabu kuweza kujiona ndani ya mwili. Mafunza yalianza kunitembea tena. Niliyahisi yakitembea mwilini. Nilipiga kelele kwa woga na maumivu. Mara lile pepo lilisema, Yesu ³wako amekuangusha, au sio? Sasa wewe ni mali ya Shetani´ kicheko cha kebehi kilimtoka aliponiinua na kuniwek a juu ya kitu fulani. Mara niligundua kwamba nilikuwa juu ya mnyama-mfu fulani. Mnyama yule, kama mimi, alikuwa na rangi ya kijivu, akiwa na uchafu mwingi na uozo. Hewa mbaya sana ilijaa hewani. Mnyama yule alinichukua juu sana kwenye ngazO i.B wNailiwna, uakzoa, ³ wapi? Tulizipita roho nyingi zikiomba kuokolewa. Nilisikia mlio wa mdomo wa kuzimu ukifunguliwa na roho nyingi nyingine zikiangukia mle. Mikono yangu ilifungwa nyuma. Maumivu hayakuwa yanakuja kwa utaratibu- yalikuja ghafla na kutoweka ghafla. Nilipiga kelele kila wakati mateso yalipokuja na kusubiri kwa hofu yalipotoweka. Niliwaza, Nitatokaje humu? Huko mbele kuna nini? Huu ndio mwisho? Nimekosa nini kustahili kuzimO u?Bw an³ a, uko wap iN?ililia kwa uchungu. Nililia, lakini machozi hayakutoka. Kilio kikavu kiliutikisa mwili wangu. Mnyama alisimama juu ya kitu fulani. Nilitazama na kuona chumba kizuri kimeshehezwa utajiri mwingi na vidani vinavyongara. Katika achumba hiki alikuwepo mwanamke mrembo amevaa nguo za kimalkia. Nilishangaa katika hali yangu ya kukata tamaa kwamba hii ni nini tena. Nilisema, Mw³anamke, tafadhali nisaidie´ alikuja karibu na kunitekmewa enymate ulee uso niliokuwa nao. Alinilaani na kunitukana matusi mengi. ³O Bwana, nini z´ai nililidi?a. Kicheko cha kebehi kilimtoka. 72 --------------------------------------- 73 Mbele ya macho yangu yule mwanamke aligeuka na kuwa mwanaume, paka, farasi, nyoka, panya, na kijana wa kiume. Alivyotaka kuwa ndivyo alivyokuwa. Alikuwa na nguvu za giza nyingi. Juu ya chumba chake paMlaliandkia ikwwa Sa, he³ ta ni. Yule mnyama alitembea kwa muda ambao ulionekana kuwa ni mrefu,halafu alisimama. Nilitupwa na kudondoka chini. Nilipoinua macho yangu niliona jeshi la watu wamepanda farasi wanakuja kwangu. Nilisogezwa upande kulipisha. Nalo lilikuwa watu skeleton ya rangi ya mauti, rangi ya kijivu. Baada ya jeshi lile kupita, niliinuliwa kutoka chini na kuwewa kwenye selo. Mtu fulani alipofunga mlango, niliangalia mazingira na kulia. Niliomba, lakini bila matumaini. Nililia na kutubu dhambi zangu mara elfu. Nilifikiria mambo mengi sana ambayo ningeliyafanya ili kuwaongoza wengine kwa Kristo na kuwasaidia watu pale waliponihitaji. Nilitubu juu ya mambo ambayo nilifanya na ambayo niliacha kuyafanya. ³O Bwana, niokoe, ³ nililia. Mara nyingi sana nilimwita Mungu anisaidie. Sikuweza kumuona wala kumhisi. Nilikuwa kuzimu sawa tu na wengine ambao nilikuwa nimewaona. Nilianguka chini na kulia. Niliona kuwa nilikuwa nimepotea milele. Masaa yalipita, na mara kwa mara ile sauti ilirudi tena, na roho nyingine ziliangukia kuzimu. Nilizidi kYuiesu,ta, uko ³ wapi? Masaa yalizidi kwenda. Mafunza yalianza kutembea tena kwenye mwili wangu wa roho. Niliwasikia ndani ya mwili wangu. Mauti ilikuwa kila mahali. Sikuwa na nyama, sikuwa na viungo, sikuwa na damu, sikuwa na mwili, sikuwa na matumaini. Nilizidi kuvuta mafunza kutoka kwenye mwili wangu wa mifupa mitupu. Nilikuwa na ufahamu wa kila kitu kilichokuwa kinafanyika, na nilitamani kufa likini sikuweza. Roho yangu ingeishi milele. Nilianza kuimba juu ya maisha na nguvu ya damu ya Yesu, ambayo ina uwezo wa kuokoa katika dhambi. Nilipokuwa naimba, mapepo makubwa yenye mikuki yalikuja yakipiga kelele, ³Nyamaza!´ Yalinichoma na miksuikkiai, m noto a unilikiniingia kupita ncha za mikuki. Walinichoma mikuki tena na tena. Waliimba, Hap³ a Shetani ni mungu. Tunamchukia Yesu na yote anayosimamia. Walipoona siachi kuimba walinitoa kwenye selo na kuniburuza hadi kwenye uwazi mkubwa na kuniambia, Kam³a hunyamazi mateso yako yatakuwa makubwa zaidi. Nilinyamaza kuimba, na hatimaye walinirudisha kwenye selo. Nilikumbuka vifungu vya Biblia juu ya malaika walioanguka ambao wamefungwa minyororo hadi kukumu ya mwisho. Niliwaza kama hii ndio iliyokuwa hukumu yangu. ³Bwan, awaokoe watu wa dunia, nililia. ³waamshe kabla hawajachele Vifunwa.gu vingi vya Biblia vilinijia lakini niliogopa kuvisema mbele ya mapepo. 73 --------------------------------------- 74 Vilio na mayowe viliijaza hewa chafu. Panya alipita karibu nami. Nilimpiga teke. Nilimuwaza mume wangu na watoto wangO u. Mun³ gu wasije hu kunililia,, kwa maana nilijua kwa uhakika kwamba nilikuwa kuzimu. Mungu hakuweza kunisikia. Masikio ya Mwenyezi hayasikii vilio vya kuzimu, niliwaza. Heri kama vilio hivi vingesikika. Panya mkubwa alipanda kwenye mguu wangu na kuniuma. Nilipiga kelele na kumtoa kwa nguvu. Kulikuwa na maumivu makubwa. Moto ulianzia mahali fulani na kuanza kuwaka kuelekea kwangu. Nukta, dakika saa zilipita. Nilikuwa mwenye dhambi, aliyekweO ndma auktui,z tiafadhamu. ³li njoo´. Nililia. Kilio changu kilikuwa kama kimejaza mdomo wote wa kuzimu. Wengine waliungana nami katika kilio hiki, nao walikuwa wamepotea milele, hakuna pa kutokea. Nilitaka kufa, lakini sikuweza. Nilidondoka kwenye sakafu, nikiyasikia mateso yote. Niliona mdomo wa kuzimu ukifunguka tena, na roho nyingine ziliingia. Sasa moto ulianza kuniunguza, na maumivu mapya yalikuja. Nilikuwa na uelewa wa kila kitu. Nilikuwa na akili timamu. Mambo haya yote niliyajua, na nilijua kwamba watu wakifa duniani na hawajaokolewa kwenye dhambi zao, wanakuja huku. ³O Mungu wangu,nililia´ . ³Tafadhali tuokoe si si wote.´ Niliyakumbuka maisha yangu yote na wale walionishuhudia habari za Yesu. Nilikumbuka namna ambavyo nilikuwa nawaombea wagonjwa na jinsi Yesu alivyokuwa anawaponya. Nilikumbuka maneno yake ya upendo na uaminifu wake. Ningelikuwa kama Yesu nisingekuwa hapa, niliwaza. Niliwaza juu ya vitu vyote vizuri ambavyo Mungu alikuwa amenipa ± jinsi alivyokuwa amenipa hewa niliyokuwa navuta, chakula, watoto, nyumba, na vitu vingi vizuri vya kuvifurahia. Lakini, kama Mungu ni mwema, kwanini nipo hapa? Sikuwa na nguvu ya kuinuka, lakini roho yangu ilikuwa inapiga kelele, ³Nitoe humu! Nilijua kwamba huko juu kulikuwa na maisha na kwamba mahali fulani marafiki zangu na familia yangu ilikuwa inaendelea na maisha yao ya kawaida. Nilijua kwamba mahali fulani huko juu kulikuwa na vicheko, upendo, na upole. Lakini hata mawazo haya yalianza kufifia shauri ya mateso makubwa. Giza giza na ukungu mchafu ulijaza sehemu hii ya kuzimu. Mwanga dhaifu wa manjano ulikuwa kila mahali, na harufu ya nyama inayooza na uozo ulikuwa mwingi kiasi cha kushindwa kuvumilia. Dakika zilikuwa kama masaa, na masaa yalifika mpaka umilele. O mambo haya yatakwisha lini? 74
      

    Hakuna maoni:

    Visits

    Translate