--------------------------------------- 75 Sikuweza kulala, wala kupumzika, hakukuwa na maji, hakukuwa na chakula. Nilikuwa na njaa kubwa na aina ya kiu ambayo sijawahi kuifikiria katika maisha yangu. Nilichoka kweli na usingizi ulikuwa mwingi, lakini mateso yaliendelea tu. Kila mdomo wakati ulipofunguka mzigo mwingine wa roho zilizopotea ulimwagwa kuzimu. Nilijiuliuza kama baadhi ya watu niliokuwa nawafahamu walikuwemo mle. Je mume wangu watamleta huku? Masaa yalikuwa yamepita tangu nilipokuwa nimeletwa kwenye mdomo wa kuzimu. Sasa niliona kwamba mwanga ulianza kujaa kwenye chumba. Mara moto uliacha kuwaka, panya alikimbia, na maumivu kwenye mwili wangu yalikoma. Niliangalia mpenyo wa kutokea, sikuona. Nilishangaa. Niliangalia kwenye vipenyo vya kuzimu, nikitazamia jambo baya kutokea. Halafu kuzimu kulianza kutetemeka, na moto ulitokea tena. Kwa mara nyingine, majoka, na mafunza na panya walitokea tena. Mateso yasiyovumilika yaliijaza roho yangu tena. ³O Mungu acha nife,´ nililia huku nikigonga sakafu ya selo yangu na mikono yangu ya mifupa mitupu. Nilipiga kelele na kulia, lakini hakuna mtu aliyekuwa ananijali. Mara niliinuliwa kutoka kwenye selo na nguvu isiyoonekana. Nilipopata ufahamu, Bwana na mimi tulikuwa tumesimama pembeni mwa nyumba yangu. Nililia, ³Kwanini, Bwana, kwanini?´ na nilijiangusha kwenye miguu yake kwa k ukuta tamaa. Yesu alisema, Am³ani, tulia.´ Mara nilipata amani. Aliniinua kwa upole, na nililala usingizi nikiwa kwenye mikono yake. Nilipoamka kesho yake, nilikuwa mgonjwa sana. Kwa siku kadhaa kumbukumbiu ya mateso ya kuzimu ilinitesa. Usiku ningeweza kuamka na kupiga kelele na kusema mafunza yanatembea kwenye mwili wangu. Nilikuwa na woga sana wa kuzimu 75 --------------------------------------- 76 Sura ya 20 Mbinguni Nilikuwa mgonjwa kwa siku nyingi baada ya kutoka mdomo wa kuzimu. Ilibidi nisizime taa usiku wakati wa kulala. Nilihitaji kuwa na Biblia karibu nami wakati wote, na niliisoma kila wakati. Roho yangu ilikuwa katika hali ya mshituko mkubwa. Sasa nilikuwa najua mambo yanayozipata roho zilizopotea zinapokwenda kuishi kuzimu. Yesu alikuwa ananiambiAma, ani,³ tulia.´ Na amani ingelikuja na kuujaza moyo wangu. Lakini dakika chache baadaye ningeliamka na kupiga kelele kwa woga. Katika nyakati hizo nilijua kwamba sikuwa peke yangu ± wakati wote Yesu alikuwa pamoja nami. Pamoja na ufahamu huo, wakati mwingine nilikuwa sioni uwepo wake. Nilikuwa naogopa mno kwenda kuzimu tena kiasi kwamba mara nyingine nilikuwa naogopa hata kuwa karibu na Yesu. Nilijaribu kuwaeleza wengine juu ya kwenda kwangu kuzimu. Hawakutaka kunisikiliza. Niliwasihi, ³Tafadhali tubu dhambi zenu muda ´un Iligakuwlia povigumu .kwa mtu yeyote kuamini mateso niliyokuwa nimeyapitia na jinsi Yesu alivyoniagiza kuandika juu ya kuzimu. Bwana alinihakikishia kwamba alikuwa ni Bwana aliyeniponya. Ingawaje niliamini kwamba nisingepona kabisa, uponyaji ulikuja. Halafu ilitokea tena. Kwa mara nyingine nilikuwa katika roho nikiwa na Bwana Yesu, na tulikuwa tunapaa juu kwenye mawingu. Yesu alisema, Nat³aka kukuonyesha upendo na uzuri wa Mungu na sehemu za mbinguni. Nataka nikuonyeshe kazi nzuri za ajabu za Bwana, ambazo ni nzuri mno kuzitazama. Mbele yetu niliona sayari mbili kubwa, nzuri za kupendeza katika utukufu wake. Mungu mwenyewe alikuwa ni nuru yake. Malaika alitulaki na aliniamAngalibia, a upen³do na ukarimu wa Bwana Mungu wenu. Huruma zake zinadumu milele.´ Kulikuwa na hali ya juu ya upendo na upole kwa yule malaika kiasi cha kwamba nilitaka kulia alipAngosaliema a ngutveu nana, u³wezo na utukufu wa Mungu. Ebu nikuonyeshe mahali ambapo amepatengeneza kwa ajili ya wanawe. 76 --------------------------------------- 77 Mara kulikuwa na sayari kubwa mbele yetu, kubwa kama dunia. Halafu nilisikia sauti ya Baba akisema, Ba³ba, na Mwana na Roho Mtakatifu ni wamoja. Baba na Mwana ni wamoja, na Baba n a Roho Mtakatifu ni wamoja. Nilimtuma Mwanangu kufa msalabani ili asiwepo mtu wa kupotea. ³Lakini´, alisema kwa tabasamnilitu, aka ³kukuonyesha mahali ambapo nimeandaa kwa ajili ya watoto wangu. Nawajali sana watoto wote. Najali mama anapompoteza mtoto wake, angali mbegu, mtoto anayeuawa kabla ya wakati wake. Unaona, nayajua mambo yote, na najali. ³Tangu kunapokuwa na maisha katika tumbo, najua. Najua juu ya watoto wanaouawa wangali kwenye matumbo ya mama zao-mimba zinazotolewa kwa sababu hazitakiwi. Nawajua watoto wanaozaliwa wakiwa wamekufa na wale wanaozaliwa na ulemavu. Kutoka siku mimba inapotungwa, hiyo ni roho hai. ³Malaika zangu wanakwenda chini na kuniletea watoto wanapokufa. Ninapo mahali ambapo wanakaa na kukua, wanajifunza na wanapendwa. Nawapa miili mizima na kuwarejeshea viungo vilivyopungua. Nawapa miili ya utukufu.´ Katika sayari yote kulikuwa na hali ya kupendwa, hali ya ukamilifu. Kila kitu kilikuwa kikamilifu. Hapa na pale katika majani mabichi na mabwawa ya maji maangavu kulikuwa na viwanja vya burudani na viti vya marumaru na viti vya kukalia vya mbao vilivyongarishwa v izuri. Na kulikuwa na watoto. Kila nilikotazama kulikuwa na watoto wakiendelea kufanya shughuli mbalimbali. Kila mtoto alivaa kanzu nyeupe isiyo na madoa na kanda mbili. Kanzu nyeupe zilikuwa angavu kiasi cha kumeremeta kwenye mwanga wa sayari. Rangi mbalimbali zilijitokeza kila mahali na kuzidisha wangavu wa kanzu za watoto. Malaika walikuwa walinzi wa malango, na majina ya watoto wote yalikuwa yameandikwa katika kitabu. Niliwaona watoto wakijifunza neno la Mungu na wakifundishwa muziki kutoka kitabu cha dhahabu. Nilishangaa kuona wanyama wa kila aina wakija kwa watoto au wakikaa pembeni mwa watoto wakiwa katika shule hii ya malaika Hakukuwa na machozi wala huzuni. Kila kitu kilikuwa kizuri mno, furaha ilienea kila mahali. Kisha malaika alinionyesha sayari nyingine ambayo iliwaka kama mwanga mkubwa mbele yangu. Mwanga wake ulikuwa kama mwanga wa nyota milioni moja, na kila kitu kwenye sayari kilikuwa kizuri na chakupendeza. 77 --------------------------------------- 78 Kwa mbali niliona milima miwili imetengenezwa kwa dhahabu safi, na karibu nami kulikuwa na malango mawili yamepambwa kwa almasi na vito vingine vya thamani. Nilijua kwamba hii ilikuwa ni nchi mpya na mji uliokuwa mbele yangu ambao ulikuwa umejaa uzuri wa ajabu ulikuwa Yerusalemu Mpya-mji wa Mungu ulioshuka duniani. Halafu tena nilirejea kwenye dunia ya zamani-dunia kabla ya moto wa mwisho utakaoisafisha kwa ajili ya kusudi la Mungu. Hapa napo palikuwa na Yerusalem mpya, mji mkuu wa kipindi cha miaka 1000. Niliwaona watu wakitoka kwenye mapango na kutoka kenye milima wakielekea kwenye mji huu. Hapa Yesu alikuwa Mfalme, na mataifa yote ya dunia yalimletea zawadi na kumpa heshima. Yesu alinipa tafsiri ya maono yangu. Hivi Alisekaribmunia, ni³tarudi na kuwachukua mbinguni, kwanza wafu watakatifu, na baada ya hayo walio hai watanyakuliwa na kuungana nami angani. Baada ya hayo Mpinga Kristo atatawala duniani kwa muda uliowekwa, na kutakuwa na dhiki ambayo haijawahi kutokea, wala haitatokea tena. ³Ndipo nitakapokuja na watakatifu wangu, na Shetani atatupwa kenye shimo la kuzimu, ambako atabaki kwa miaka elfu moja. Katika miaka hiyo elfu moja nitatawala duniani kutoka Yerusalemu. Miaka elfu moja ikipita Shetani ataachiliwa kwa muda, na nitamshinda kwa mngao wa ujio wangu. Dunia ya zamani itapita. ³Angalia, kutakuwa na dunia mpya na Yerusalemu mpya itashuka kutoka juu_nitatawala milele na milele. 78 --------------------------------------- 79 Sura ya 21 Dini ya Uongo Bwana alisema, Kam³ a watu wa dunia watanisikiliza na kutubu dhambi zao, nitazuia kazi za Mpinga Kristo na za mnyama mpaka zitokee nyakati za kuburudisha. Je watu wa Ninawi hawakutubu kutokana na mahubiri ya Yona? Mimi ni yule yule jana, leo na milele. Tubu, nami nitatuma nyakati za baraka. Tena nilimsikia Yesu akisWaema, tu wa³ngu wapendane na kusaidiana. Lazima wachukie dhambi na kumpenda mwenye dhambi. Kwa upendo wa namna hii watu wote watajua kwamba ninyi ni wanafunzi wangu. Yesu alipokuwa anasema dunia ilifunguka na tulikwenda tena kuzimu. Niliona upande wa mlima umejaa miti iliyokufa, na kuzunguka kulikuwa na uchafu wa kijivu. Vile vile niliona mashimo madogo kwenye kuta za mlima, na taswira za kimajivu za watu wakitembea na kuzungumza. NilimfuataYesu kwenye kinjia kichafu na kilichopinda pinda kilichoelekea kwenye kilima cha kijivu. Tulipokaribia, niliona kwamba watu walikuwapo, lakini walikuwa wafu. Walikuwa na miili ya kijivu iliyokufa, na walikuwa wamefungwa pamoja kwa kamba, kamba ya kijivu iliyowafunganisha pamoja watu wote kwenye kilima kile. Ingawaje sikuona moto, nilijua kwamba hapa palikuwa sehemu ya kuzimu, kwa sababu nyama zilidondoka kutoka kwenye miili ya watu hawa na kukua tena kwa haraka. Mauti ilikuwa kila mahali, lakini watu walikuwa hawaoni-walikuwa wamezama kwenye mazungumzo. Yesu alisema, Ebu ³tusikilize wanayosema. Mmoja alimwabia mwenzake, ³Ulisikia habari za mtu huyu Yesu ambaye alikuja kuchukua dhambi za dunia? Mwingine alijibu,Nilim jua ³ Yesu, alisafisha dhambi zangu. Kwa kweli, sijui kwanini nipo hapa.´ ³Hata mimi sijui.´ Mtu wa kwanza aliji bu. Mwingine alisemNa, ilijar³ibu kumshuhudia jirani yangu habari za Yesu, lakini hakutaka hata kusikia. Mke wake alipokufa, alikuja kwangu kukopa fedha kwa ajili ya mazishi, lakini nakumbuka kwamba Yesu alisema kwamba tuwe werevu kama nyoka na wapole kama 79 --------------------------------------- 80 hua. Kwa hiyo nilimkatalia. Nilijua kwamba angetumia fedha hizo kwa mambo mengine. Unajua, inabidi tuwe mawakili wazuri wa mali zetu. Yule aliyesema kwanza alisema Nditeno nda, ug³u,´ lia sema, Mt³u mmoja kanisani kwetu alisema kwamba anahitaji nguo na viatu, lakini baba yake ni mlevi, kwa hiyo nilikataa kununua chochote kwa ajili ya mtoto wake-tulimfunza kitu yule bwana. ³Sawa sawa,´ Alijibu, huku akishika ile kamba iliyoms mwhiakke a namiko kuichnoezenia kwa kuiviringisha virinlagizimsa haniw. afu³ ndishe watu kuishi kama Yesu. Mtu yule hakuwa na sababu ya kuwa mlevi. Acha ateseke. Yesu alisema, Enyi ³ watu wajinga na wagumu kuelewa, amka muone ukweli, pendaneni kwa upendo wa kweli. Wasaidie wasiojiweza. Wasaidieni wahitaji bila kutegemea kupata malipo yoyote. ³Ukitubu, ee dunia, nitakubariki wala sitakulaani. Amka usingizini, na njoo kwangu. Jinyenyekesheni na inamisha mioyo yenu kwangu, nami nitakuja na kuishi pamoja nanyi. Mtakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wenu´ Sura ya 22 Alama ya Mnyama Nilimsikia Bwana akisRemohoa, ya³ ngu haitashindana na mwanadamu wakati wote. Njoo umwone mnyama. ³Katika siku za mwisho mnyama mkali atainuka kutoka katika dunia na kuwadanganya wengi katika kila taifa duniani. Atadai kila mtu apokee alama yake, namba 666, imegongwa kwenye mkono au kwenye kipaji cha uso. Kila mtu atakayepokea alama hiyo atakuwa wa mnyama na atatupwa kwenye ziwa la moto ambalo linawaka kwa kiberiti moto na kiberiti. ³Mnyama atainuka na kushangiliwa na dunia nzima, kwa maana ataleta amani na maendeleo ambayo hayajawahi kuwako. Atakapokuwa amepata utawala wa dunia nzima, wale wasio na alama katika vipaji vya nyuso zao au katika mikono hawataweza kununua chakula, nguo, magari, nyumba au kitu chochote kinachouzwa. Wala hawataweza kuuza kitu chochote walichonacho kwa mtu yeyote mpaka kwanza wawe na alama. 80 --------------------------------------- 81 ³Bwana Mungu amesema waziwazi kuwa wale watakaokubali kuwekwa alama watakuwa wamekubali kuwa watii kwa mnyama na watakatiliwa mbali na Bwana milele. Nafasi yao ni pamoja na wasioamini na watenda maovu. Alama hii inasema waziwazi kuwa walioipokea wamemkataa Mungu na wamemgeukia mnyama kwa mahitaji yao. ³Mnyama na wafuasi wake watawatesa wale watakaokataa kupokea alama na watawaua wengi wao. Watafanya kila namna kuwalazimisha waumini wa Mungu wa kweli kopokea alama. Watoto na vichanga vitauawa mbele ya macho ya wazazi wanaokataa kupokea alama. Kutakuwa na wakati wa maombolezo makubwa. ³Wale watakaokuwa wamepokea alama watalazimishwa kumpa mnyama vitu vyao vyote kwa ahadi kwamba mnyama atawatimizia mahitaji yao yote. ³Baadhi yenu mtadhoofishwa na kukubali kupokea alama yake katika mkono au kipaji cha uso. Mtasema, µMungu atasamehe, Mungu ataelewa. Lakini sitalibadilisha neno langu. Nimewaonya mara nyingi kupitia midomo ya manabii wangu na watumishi wa injili. Tubuni sasa kungali mchana, maana usiku waja ambapo hukumu ya milele itatolewa. ³Kama hamtamtii mnyama na kukataa kuwekwa alama yake, nitawatunza. Sisemi kwamba hawatakufa kwa ajili ya imani yao katika nyakati hizi, maana wengi watakatwa vichwa kwa ajili ya kumwamini Bwana Mungu. Lakini heri watakokufa katika Bwana, maana thawabu yao ni kubwa. ³Kweli, kutakuwa na kipindi cha amani na maendeleo ambapo mnyama atatukuka. Atafanya matatizo ya dunia yaonekane si kitu-lakini amani itaishia katika umwagaji wa damu na maendeleo yataishia katika njaa kubwa duniani pote. ³Usiogope utakalotendewa na mtu,mwogope atayeweza kutupa roho yako na mwili wako kuzimu. Maana kuna mateso makubwa na ingawaje mateso yataongezeka sana, nitakuokoa katika hayo yote. ³Lakini kabla ya ile siku mbaya,nitainua jeshi kubwa litakaloniamini katika roho na kweli. Jeshi la Bwana litafanya mambo makubwa na ya ajabu kwa ajili yangu. Kwa hiyo njooni, kusanyikeni, na mniamini katika roho na kweli. Leteni matunda ya utakatifu, na nipeni kilicho halali yangu, na nitawalinda na ile saa mbaya. Tubuni sasa na muokolewe kutokana na mambo mabaya yatakayowapata waasi na wasiookoka. "Mshahara wa dhambi ni mauti, bali thawabu ya Mungu ni uzima wa milele. Niite wakati ungalipo, nami nitakukubali na kukusamehe. Nakupenda na sitaki upotee. 81 --------------------------------------- 82 Sura ya 23 Kurudi kwa Kristo Niliona kurudi kwa Bwana. Nilisikia mwito wake kama sauti ya matarumbeta na sauti ya malaika mkuu. Dunia nzima ilitikisika, na kutoka katika makaburi walitoka watakatifu waliokufa na kukutana na Bwana hewani. Ilikuwa kama kwa masaa kadhaa, nilisikia baragumu ikilia, na dunia na bahari vikatoa wafu wao. Bwana Yesu Kristo alisimama juu ya mawingun katika mavazi ya moto akiiangalia hali hii ya utukufu. Nilisikia tena sauti ya matarumbeta. Niliona, wale waliokuwa hai na kubaki duniani wakipaa kwenda kukutana nao. Niliwaona mamilioni ya waliookolewa wakiwa kama miali ya moto ikukusanyika mahali fulani mawinguni. Kule malaika waliwapa mavazi meupe sana. Kulikuwa na furaha kubwa. Ilikuwa ni kazi ya malaika kusimamia mambo, na walionekana kuwa kila mahali wakiwahudumia walionyakuliwa. Waliokombolewa walipewa miili mipya, na walibadilishwa walipokuwa wanapita hewani. Furaha kuu ilijaza mbingu, na malaika waliimUtubakuf,u ³ kwa Mfalme wa wafalme´ Juu ya mbingu niliuona mwili mkubwa wa kiroho- ulikuwa mwili wa Kristo. Na mwili ulikuwa umelala chali kwenye kitanda, na damu ilichirizika hadi duniani. Nilijua kwamba huu ulikuwa na mwili uliochinjwa wa Bwana wetu. Halafu mwili ulizidi kuwa mkubwa na mkubwa hadi ukazijaza mbingu. Na mamilioni ya watu waliokombolewa walikuwa wanatoka na kuingia kwenye mwili ule. Niliangalia kwa mshangao wakati mamilioni ya watu walipanda kwenye ngazi na kuujaza mwili ule, kuanzia kwenye miguu, kwenye mkono, kwenda kweye tumbo, kisha kwenye moyo na kichwa. Na ulipokuwa umejaa, niliona kwamba umejazwa na wanaume na wanawake wa kila taifa, kabila na lugha duniani. Na kwa sauti kubwa walimsifu Bwana. Watu mamilioni walikaa mbele ya kiti cha enzi, na niliwaona malaika wakileta vitabu ambavyo kutoka humo hukumu zilisomwa. Kulikuwa na kiti cha rehema, na wengi walipewa tuzo. Halafu niliona, giza limefunika uso wa dunia. Na nguvu za mapepo zilikuwa kila mahali. Mapepo yasiyo na idadi yalifunguliwa katika vifungo vyao na kumwagwa duniani. Nilimsikia Bwana akisemOle a, kwa ³ wakazi wa dunia, kwa kuwa Shetani amekuja kukaa pamoja nanyi. Nilimwona mnyama amechukia, na alimwaga sumu yake juu ya uso wa nchi. Kuzimu kulitikisika kwa hasira, na kutoka shimo la kuzimu yalikuja majeshi ya viumbe viovu 82 --------------------------------------- 83 waliotia giza juu ya nchi kwa vile walivyokuwa wengi. Wanaume na wanawake walikimbilia milimani na kwenye mapango. Na kulikuwa na vita juu ya dunia, njaa na vifo. Mwishoni niliona farasi wa moto na magari ya vita mbinguni. Dunia ilitetemeka, na jua liligeuka jekundu kama damu. Malaika alipiga kelele, ³Sikiliza, ee Dunia, Mfalme anakuja! Na katika anga alionekana Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, na pamoja naye walikuwepo watakatifu wa nyakati zote, wakiwa katika nguo nyeupe sana. Na nilikumbuka kwamba kila jicho litamwona na kwake kila goti litapigwa. Ndipo malaika walipochukua visu vya kuvunia na kuvuna ngano iliyokauka-ambao ni mwisho wa dunia Yesu alisema, Tubuni³ na mkaokolewe, kwa maana ufalme wa Mungu u karibu. Mapenzi yangu na neno langu litatimia. Itengenezeni njia ya Bwana. Niliwaza, Ni lazima tupendane. Ni lazima tuwe imara katika kweli na tuwarekebishe watoto wetu kufuatana na ufunuo wa kuja kwa Kristo. Ni kweli Mfalme anakuja. 83 --------------------------------------- 84 Sura ya 24 Ombi la Mwisho la Mungu Yesu alisema, Waambi³e watu walio duniani kwamba wasiweke tumaini lao katika utajiri usio wa kuaminika, lakini waweke tumaini lao katika Mungu aishiye, anayetupa kwa ukarimu vitu vyote tunavyovifurahia. Tambea katika roho, na hutatimiza mapenzi ya mwil i.´ ³Usidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna. Panda katika mwili, utavuna uharibifu, pand katika Roho utavuna maisha ya milele. Kazi za mwili ni uasherati, uzinzi, uchafu, ibada ya sanamu, uchawi, hasira, wivu, ulevi, anasa na mengine yanayofanana na hayo. Wanaofanya mambo haya hawataingia ufalme wa Mungu. ³Matunda ya roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, upole, utu wema, uaminifu, kujishusha, na kiasi. Wale ambao ni wa Kristo wameusulubisha mwili na tamaa zake. ³Neno la Mungu likitimia, ndipo mwisho utakuja. Hakuna ajuaye siku wala saa Mwana wa Mungu atakaporejea duniani. Hata Mwana hajui, kwa maana anayejua ni Baba tu. Neno linatimia haraka. Njoo kama mtoto mdogo, njoo nikutakase na matendo ya mwili. Niambie, µBwana Yesu, njoo katika moyo wangu na nisamehe dhambi zangu. Najua kwamba mimi ni mwenye dhambi, na natubu dhambi zangu. Nioshe katika damu yako, na nifanye kuwa msafi. Nimeikosea mbingu na nimekosea Wewe na sistahili kuitwa mwana. Ninakupokea kwa imani kuwa Mwokozi wangu. ³Nitawapa wachungaji wanaotoka katika kifua changu, na nitakuwa Mchungaji wako wa kondoo. Mtakuwa watu wangu, na nitakuwa Mungu wenu. Soma Neno, na msiache kukusanyika pamoja. Toeni maisha yenu yote kwangu, nami nitawalinda. Sitawaacha kamwe.´ Jamani kwa Roho mmoja, tuna njia ya kwenda kwa Baba. Naomba kwamba nyie wote mje na mumpe Bwana roho zenu. 84 --------------------------------------- 85 Sura ya 25 Maono ya Mbinguni Baadhi ya maono haya nilipewa kabla Yesu hajanipeleka kuzimu. Mengine yalikuja karibu na mwisho wa safari zangu za kuzimu. Kufanana na Mungu Nilipokea maono haya ya kimbingu nikiwa kwenye maombi mazito, na kuabudu. Utukufu wa Bwana ulishuka mahali pale nilipokuwa naomba. Miali mikubwa ya moto, taa angavu sana, na nguvu yenye utukufu ilikuja machoni pangu. Katikati ya moto na zile taa kulikuwa na kiti cha enzi cha Mungu. Katika kiti cha enzi kulikuwa na kitu kama Mungu. Furaha, amani na upendo ulifurika kutoka kwa Bwana Mungu. Hewa kuzunguka kiti cha enzi ilijazwa na makerubi watoto, wakiimba na kubusu uso wa Bwana na mikono yake na miguu yake. Wimbo walioimba ni, Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu ni Bwana wa majeshi. Ndimi za moto zilikuwa juu ya vichwa vya makerubi na kwenye ncha ya mabawa yao madogo. Mwenendo wa mabaya yao ulionekana kuaonishwa na mwenendo wa nguvu na utukufu wa Bwana. Kerubi aliruka na kuja kwangu na kunigusa macho. Milima ya Dhahabu Katika maono nilitazama mbali juu ya uso wa dunia. Niliona kwamba kwa kitambo cha maili nyingi ardhi ilikuwa na kiu ya mvua. Ardhi ilikuwa imepasuka, kavu na tupu. Miti wala mimea ya aina yoyote haikuonekana popote. Halafu niliruhusiwa kuangalia mbele kupita nchi kavu, hadi mbinguni. Pale palikuwa na milima miwili ikikabiliana, na vitako vyake vikigusana. Sijui urefu wake, lakini ilikuwa mirefu, mirefu sana. Niliisogelea karibu nikaona kwamba milima ile ilikuwa ya dhahabu _ dhahabu safi sana kiasi cha kwamba ilikuwa kama kioo. 85 --------------------------------------- 86 Mbele ya milima ile niliona mwanga mweupe, na mwanga ulipanuka kufunika mbingu yote. Nilihisi moyoni mwangu kwamba huu ulikuwa ni msingi ambapo mbingu inakaa. Watu wanapigania pete ndogo ya dhahabu, lakini Mungu ndiye mwenye dhahabu yote. Kujengwa kwa Nyumba Nilipokuwa katika maombi nilipokea maono. Niliwaona malaika wakisoma taarifa ya mambo tunayofanya hapa duniani. Malaika wengine walikuwa na mabawa, na wengine hawakuwa nayo. Wengine walikuwa wakubwa, wengine walikuwa wadogo, lakini kila sura ilikuwa tofauti. Kama ilivyo kwa wanadamu hapa duniani, malaika waliweza kutambulika kwa sura zao. Niliwaona malaika wakishughulika kukata vipande vikubwa sana vya almasi na kuviweka kwenye misingi ya nyumba. Vipande hivyo vya almasi vilikuwa na upana wa futi moja na urefu wa futi mbili na vilikuwa vizuri sana. Kila wakati ambapo roho inaokolewa, almasi inawekwa kwenye nyumba ya mtu aliyesababisha roho ile kuokoka. Hakuna kazi ya bure inayofanywa kwa ajili ya Mungu. Malango ya Mbinguni Siku nyingine nilipokuwa katika maombi, niliona maono ya mbinguni. Nilikuwa katika roho na Roho wa Bwana na malaika alikuja na kunichukua kunipeleka mbinguni. Kwa mara nyingine kulikuwa na mwangaza mzuri na utukufu kama ule niliyouona nyuma ya milima ya dhahabu. Lilikuwa ni jambo la kushangaza kuona utukufu wa Mungu ukijidhihirisha kwa namna ile. Malaika na mimi tulipokaribia malango mawili makubwa katika ukuta mkubwa, tuliwaona malaika wawili wakubwa mno wakiwa na mapanga. Walikuwa na urefu wa futi arobaini, na mywele zao zilikuwa dhahabu iliyosukwa. Malango yalikuwa marefu sana wala sikuweza kuona mwisho wake kwenda juu. Ilikuwa ni kazi nzuri ya kisanifu ambayo sijawahi kuona. Yalikiwa yamenakishiwa kwa mkono, yakiwa na mikunjo ya aina mbalimbali, na kunakishiwa kwa vito, almasi na madini nyingine za thamani. Kila kitu kwenye malango kilikuwa na mlingano mzuri, na malango yalifunguka kuelekea nje. Baada ya kuangalila kwenye kitabu, malaika aliashira kwa kichwa, akiruhusu niingie. Msomaji, huwezi kuingia mbinguni kama jina lako haliko kwenye Kitabu cha Uzima cha Mwana Kondoo 86 --------------------------------------- 87 Chumba cha Mafaili Katika maono, malaika alinichukua hadi kwenye chumba kikubwa sana chenye kuta za dhahabu. Herufi za dhahabu zilichorwa sehemu sehemu katika kuta. Ilikuwa kama maktaba kubwa, lakini vitabu vilisilibwa ukutani badala ya kuwekwa kwenye makabati. Malika katika makanzu marefu walikuwa wanachukua vitabu na kuvichunguza kwa makini. Kulikuwa na mpangilio dhabiti wa mambo waliyokuwa wanafanya. Niliona kwamba vitabu vilikuwa na magamba makubwa ya dhahabu na baadhi ya karatasi zake zilikuwa nyekundu. Vitabu vilikuwa vizuri sana. Malaika niliyekuwa naye alisema kwamba vitabu vile vilikuwa ni kumbukumbu ya kila mtu aliyewahi kuzaliwa duniani. Niliambiwa kwamba kulikuwa na vyumba vingine mahali pengine vikuwa na kumbukumbu nyingine. Mara kwa mara malaika wakuu walileta kumbukumbu hizi mbele za Mungu kwa ajili ya Yeye kukubali au kukataa. Vitabu vilikuwa na kumbukumbu ya maombi, nabii, mwelekeo, kukua katika Bwana, roho zilizomgeukia Bwana, tunda la roho na mengine mengi. Kila kitu tunachofanya hapa duniani kinawekwa kwenye kumbukumbu na malaika katika mojawapo ya vitabu. Mara kwa mara malaika huchukua kitabu na kusafisha kurasa zake kwa kitambaa laini. Kurasa zilizosafishwa hugeuka kuwa nyekundu. Ngazi ya Mbinguni Roho wa Bwana aliniletea maono yafuatayo. Niliona ngazi kubwa ya kiroho ikishuka kutoka mbinguni kwenda duniani. Upande mmoja wa ngazi malaika walikuwa wanateremka kuja duniani, wakati upande wa pili walikuwa wanapanda. Malaika waliokuwa kwenye ngazi hawakuwa na mabawa, lakini kila malaika alikuwa na kitabu kilichoandikwa gamba la mbele. Baadhi ya malaika walikuwa kama wanatoa maelekezo na kujibu maswali yaliyoelekezwa kwao na malaika wengine. Walipopokea maelekezo na maswali yao kujibiwa waliondoka. Vile vile niliona ngazi katika sehemu nyingine za duania. Malaika walikuwa katika hali ya kutembea wakati wote, wakishuka na kupanda. Malaika walikuwa wakitembea kwa ujasiri na mamlaka, kwa maana walikuwa wajumbe wenye maagizo kutoka kwa Mungu. 87 --------------------------------------- 88 Sura ya 26 Unabii Kutoka kwa Yesu Yesu aliponitokea kwa mara ya kwanza aliKathsrema, yn, um³echaguliwa na Baba kwenda nami katika vilindi vya kuzimu. Nitakuonyesha mambo mengi ambayo nataka dunia ijue kuhusu kuzimu na mbinguni. Nitakuambia mambo ya kuandika ili kitabu hiki kiwe kumbukumbu ya kweli ya jinsi mahali kusikojulikana kulivyo. Roho wangu atakufunulia siri kusuhu umilele, hukumu, upendo, kifo na maisha ya baada ya kufa. Ujumbe wa Bwana kwa dunia iliyopotea Sni ipendi huu, muend³ e kuzimu. Niliwaumba kwa ajili ya furaha yangu mwenyewe na ushirikiano wa milele. Ni viumbe vyangu, na nawapenda. Niite ningali karibu, nitasikia na kukujibu. Nataka kukusamehe na kukubariki. Kwa wale waliozaliwa mara ya pili Bwana Mansisahasema,au kuk ³ utanika pamoja. Kusanyikeni, omba na soma Neno langu. Mniabudu katika roho ya utakatifu. Bwana anasema kwa makanisa na kwa mataifa, W³akati wote malaika wanapigana kwa ajili ya warithi wa wokovu na kwa wale watakaokuwa warithi. Sibadiliki. Mimi ni yule yule jana, na leo na milele. Nitafuteni, nami nitawamwagieni Roho wangu juu yenu. Watoto wenu na binti zenu watatabiri. Nitafanya mambo makubwa kati yenu. Kama hujaokoka, tafadhali piga magoti sasa hivi mbele ya Bwana na muombe akusamehe makosa yako na akufanye mtoto wake. Kwa gharama yoyote ile, amua sasa kufanya mbinguni nyumbani kwako kwa milele. Kuzimu kunatisha, kuzimu ni halisi. Maneno ya Mwisho Nataka kukuhakikishia tena kwamba mambo uliyoyasoma katika kitabu hiki ni ya kweli. Kuzimu ni mahali halisi kwenye mateso ya moto. Lakini vile vile nikuambie kwamba mbinguni ni mahali halisi na panaweza kuwa nyumbani kwako milele. Kama mtumishi wa Mungu, nimejitoa kwa kuongozwa na Yesu Kristo na nimeandika kwa uangalifu mambo yote aliyonionyesha na aliyoniambia. 88 --------------------------------------- 89 Ni vizuri zaidi kama utasoma kitabu hiki ukiwa na Biblia ili uweze kulinganisha yaliyoandikwa humu na yaliyoandikwa kwenya Maandiko Matakatifu. Naomba Mungu akitumie kitabu hiki kwa ajili ya utukufu wake. Mary Kathryn Baxter Ufunuo 20:13-15 Matthayo 10:28 Luka 12:5 Luka 16:20-31 Zaburi 9: 17 Mithali 7:27 Mithali 9: 18 Isaya 5:14 Isaya14:12-15 Mathayo 5:22 Mathayo 23:33 Marko 9:43-48 Warumi 10:9-10 1 Yohana 1:9
UNABII WA KWELI
Home
MAFUNDISHO YA INJILI YA KWELI
UNABII WA KWELI
Ufunuo wa Yesu Kuhusu Kuzimu na Mary K Baxter SEHEMU YA SITA NA YA MWISHO (PART 6,THE END)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni