Nilisikia Bwana akisNema, i waka³ti wa kuondoka. Tutarudi tena kesho. Sura ya 7 Tumbo la Kuzimu Usiku uliofuata Yesu na mimi tulikwenda kuzimu tena. Kwanza tuliingia kwenye sehemu kubwa ya wazi. Kwa kadri ya upeo wa macho yangu, vitendo viovu vilikuwa vikiendelea. Vingi ya vitendo hivi vilikuwa vinafanyika maeneo yaliyotuzunguka. Kama futi kumi hivi kutoka mahali tulipokuwa tumesimama , niliona kitu cha pekee, cha pekee kwa sababu viumbe viovu na pepo wachafu waliingia na kutoka kwa haraka mahali pale. Ilikuwa kama sinema ya kutisha. Kwa kadri ya upeo wa macho yangu, roho zilikuwa katika mateso, na ibilisi na malaika zake walikuwa kazini. Ile hali ya giza giza ilijaa kelele za uchungu na kukata tamaa. Yesu alisema, Mtoto, ³ Shetani ni mdanganyaji duniani na mtesi wa roho kuzimu. Nguvu za kipepo unazoziona hapa mara ingine huenda duniani kuumiza, kusababisha mateso na kudanganya. Nakwenda kukuonyesha mambo ambayo hayajawahi kuonekana kwa undani namna hii. Baadhi ya mambo utakayoyaona yatakuwa yanatokea hivi sasa, na baadhi ya mambo yatatokea baadaye. Nilitazama mbele tena. Ardhi ilikuwa ya rangi ya kijivu, bila maisha , wala kitu chochote cha kijani. Kila kitu kilikuwa kimekufa au katika hali ya kufa. Sehemu nyingine zilikuwa baridi na nyevu nyevu, na nyingine zilikuwa moto na kavu. Na wakati wote kulikuwa na harufu nzito, mbaya, ya nyama inayochomwa na kuoza, ikichanganyikana na harufu ya mavi, na takataka zilizooza. "Shetani anatumia mitego mingi kuwadanganya watu wa Mungu,´Y esu alisema. ³Katika safari zetu za kuzimu nitakuonyesha ujanja na mbinu za ibilisi.´ Tulikuwa tumetembea hatua chache nilipoona kitu cheusi mbele yetu. Kilionekana kushuka na kupanda, kubonyea na kuvimba. Kila kilipotembea kilitoa harufu mbaya ya kutisha, mbaya kuliko harufu nyingine mbaya za kuzimu. Nitajaribu kueleza niliyoyaona kwa kadri ya uwezo wangu. Kitu hiki kikubwa, cheusi kilichokuwa kinaninginia kilipoendelea kujipanua na kujikunja na kutoa harufu mbaya sana, niliona vitu kama pembe, za rangi nyeusi, zikitoka kwenye kitu hiki na kwenda juu 30 --------------------------------------- 31 duniani. Nilitambua kwamba ulikuwa ni moyo mkubwa, mweusi na kwamba ulikuwa na milango mingi. Hali ya wasiwasi ilinijia. Yesu alitambua mawazo yangu na kusema,Usiog ope.³ Huu ni moyo wa kuzimu. Baadaye tutakwenda ndani yake, lakini sasa tunakwenda sehemu ya kuzimu yenye selo za jela. Jengo la selo za jela lilikuwa katika duara katika tumbo la kuzimu. Selo zina urefu wa maili kumi na saba. Nilipoangalia juu niliona kuna mfereji mkubwa wa kijivu kati ya selo na tumbo la kuzimu, au chini. Nilihisi kwamba mfereji ulikuwa na kina cha futi sita, na nilikuwa najiuliza namna ya kuuvuka. Nikiwa katika kutafakari huku nilikuta tuko juu, kwenye ngazi ya kwanza ya selo. Ngazi hii ilizunguka selo na kwa hiyo ilikuwa mahali pazuri pa mtu kuchungulia ndani hadi katikati ya selo. Yesu alisema, Mambo³ haya ni yamini na kweli. Mauti na kuzimu siku moja vitatupwa katika ziwa la moto. Hadi wakati huo, hapa ni mahali pa kutunzia roho zilizo kuzimu. Selo hizi zitaendelea kuwa hapa, zimejaa roho zenye dhambi, zikiteswa na kuumia. ³Nilitoa maisha yangu ili msije mahali hapa. Nilijua kwamba mateso haya ni halisi, lakini neema ya Baba yangu ni halisi vile vile. Ukimruhusu, atakusamehe. Mwite leo katika Jina langu. 31 --------------------------------------- 32 Sura ya 8 Selo za Kuzimu Yesu na mimi tulisimama kwenye ngazi ya kwanza ya selo. Ngazi hii ilikuwa na upana wa futi kama nne. Nilipotazama juu, kwa kadri ya upeo wa macho, niliziona ngazi zingine katika duara kubwa kuzunguka kitu kama shimo kubwa. Pembeni mwa ngazi, au njia ya kupita, kulikuwa na selo zimechimbwa ardhini. Kama selo za jela, selo hizi zilikuwa kwenye mstari, zikitenganishwa na futi mbili tu za udongo. Yesu alisema, Jen³go hili la selo lina urefu wa maili kumi na saba kwenda juu, kuanzia chini ya kuzimu. Katika selo hizi kuna roho nyingi ambazo zilikuwa katika uchawi na ulozi. Zingine zilikuwa na udanganyifu wa mazingaombwe, mizimu, wauzaji wa dawa za kulevya, waabudu sanamu, au watu wabaya wenye roho za utambuzi. Hizi ni roho ambazo zilifanya machukizo makubwa kwa Mungu. Nyingi kati ya hizi zimekuwepo hapa kwa miaka mia nyingi. Hizi hazikutaka kutubu, hasa zile zilizowadanganya watu na kuwapeleka mbali na Mungu. Roho hizi zimefanya mabaya mengi dhidi ya Mungu na watu wake. Zilifurahia uovu na dhambi.´ Nilipoendelea kumfuata Yesu kwenye ile ngazi, nilitazama chini katikati ya kuzimu, ambapo palikuwa mahali penye shughuli nyingi. Mwanga hafifu ulikuwepo pale wakati wote, na niliona viumbe vingi vikiwa katika shughuli mbalimbali. Kwa kadri ya upeo wa macho mbele yangu kulikuwa na selo. Niliwaza kimoyomoyo kwamba kwa vyovyote vile mateso ya kwenye selo yasingezidi yale ya kwenye mashimo. Kuzunguka pande zote nilisikia vilio. Nilianza kuugua. Majonzi mazito yaliijaza roho yangu. Yesu alisema, Sikuruhu³su usikie vilio hivyo kabla mpaka sasa, mtoto. Lakini sasa nataka nikuonyeshe namna ambavyo Shetani anakuja kuiba, kuua na kuharibu. Kuzimu huku kuna mateso tofauti kwa roho tofauti. Shetani anatoa mateso haya mpaka siku ya hukumu, mpaka mauti na kifo vitakapotupwa katika ziwa la moto. Vile vile, mara nyingine ziwa la moto linakuja kuzimu.´ Tulipozidi kutembea kwenye ile ngazi, sauti zilizidi kukua. Vilio vikubwa vilitoka ndani ya selo. Nilitembea karibu na Yesu, tukafika kwenye selo ya tatu. Mwanga mkali uliimulika selo ile. Ndani yake kulikuwa na mwanamke amekaa kwenye kiti cha kubembea. Akibembea na kulia kama kwamba moyo wake ungepasuka. Sijui kwa nini, lakini nilishtuka kuona kwamba alikuwa binadamu kweli mwenye mwili. Selo haikuwa na kitu chochote isipokuwa yule mwanamke kwenye kile kiti. Kuta za selo zilikuwa zimejengwa kwa udongo, zimesimama kwenye ardhi. Upande wake wa mbele 32 --------------------------------------- 33 ulikuwa ni mlango. Ulitengenezwa kwa chuma cheusi na nondo za chuma na kutiwa kufuli. Kwa sababu nondo zilikuwa zimewekwa mbalimbali mimi na Yesu tulikuwa na nafasi ya kuiona selo yote. Ngozi ya yule mwanamke ilikuwa na rangi ya majivu na madoa meusi kiasi. Alikuwa anabembea mbele na nyuma. Huku akibembea, machozi yalichirizika kwenye shavu zake. Kutokana na mtazamo wake wa huzuni nilijua kwamba alikuwa katika mateso makubwa ya kimya kimya. Nilijiuliza kosa lake lililomfikisha hapa. Ghafla, mbele ya macho yangu, yule mwanamke alianza kugeuka kuwa maumbo mbalimbali. Kwanza aligeuka kuwa mwanaume kikongwe, kisha kuwa msichana, halafu kuwa mwanamke wa makamu, kisha kuwa mwanamke mzee niliyemwona mwanzoni. Kwa mshangao mkumbwa nilimuona mwanamke huyu akifanya mabadiliko haya, moja baada ya jingine. Alipomwona Yesu alilia, ³Bwana, nihurumie. Nitoe mahali hapa pa mateso. Aliinama kwenye kiti chake ili amfikie Yesu, lakini hakuweza. Mabadiliko yaliendelea. Hata mavazi yake yalibadilika, alivaa kama mwanaume, halafu kama msichana, halafu kama mwanamke mzee. Mabadiliko haya yalionekana kuchukua muda mfupi tu. Nilimuuliza YeKswu, a ni³ni, Bwana? Alipiga kelele tO enaBw,a na³ nitoe kabla hawajarudi.´ Sasa alisimama mbele ya selo, akishikilia nondo za selo kwa nguvu. NajAualise upenma,do w³ako ni kweli, najua upendo wako ni halisi. Nitoe!´ Mwanamke yule alipokuwa analia kwa uchungu, niliona kitu fulani kikianza kunyofoa nyama yake. ³Hayuko kama anavyoonekana.´ Bwana alisem a. Mwanamke yule alikaa kwenye kiti na kuanza kubembea. Lakini sasa ni skeleton ndio ilikaa kwenye kiti cha kubembea, mifupa ikiwa na ukungu mchafu ndani yake. Mahali ambapo dakika chache zilizopita palikuwa na mwili uliovaa nguo, sasa palikuwa na mifupa mieusi iliyoungua na mashimo ya macho badala ya macho. Roho ya mwanamke yule iliugua na kumlilia Yesu katika toba. Lakini kilio hicho kilikuwa bure, alichelewa. ³Alipokuwa duniani,´ Yesu alisema, m³wanamke huyu alikuwa mchawi na akimwabudu Shetani. Alikuwa mchawi na aliwafundisha wengine uchawi. Tangu akiwa mtoto mdogo, familia yake ilishiriki vitendo vya kishirikina. Walipenda giza kuliko mwanga.´ ³Mara nyingi ,B´wana alisema, ni³limwita atubu. Alinidharau na kuniambia, µNapenda kumtukia Shetani. Nitaendelea kumtumikia. Alikataa kweli na alikataa kutubu uovu wake. Aliwafanya watu wengi kumwacha Bwana, baadhi yao wapo 33 --------------------------------------- 34 hapa kuzimu pamoja na huyu. Angelitubu ningemuokoa pamoja na watu wengi wa familia yake, lakini hakutaka kusikiliza.´ ³Shetani alimdanganya mwanamke huyu kwa kumwambia kwamba angepokea ufalme wake mwenyewe kama zawadi ya kumtumikia. Alimwambia kwamba asingekufa, lakini angeishi na Shetani milele. Alikufa akimtukuza Shetani na alikuja hapa na kudai apewe ufalme wake. Shetani, baba wa uongo, alimcheka ma kumwambia, µulidhani ningekata ufalme wangu na kukugawia? Huu ni ufalme wako.¶ Ndipo alipomfungia kweli selo hii na anamtesa usiku na mchana. ³Akiwa duniani mwanamke huyu aliwafundisha watu wengi uchawi, wachawi weupe na wachawi weusi. Mojawapo ya ushirikina wake ulikuwa kugeuka kutoka msichana, kuwa mwanamke wa makamo, kuwa bibi kizee, na hata kuwa mwanaume. Ilikuwa raha katika siku hizo kujibadilisha hivyo na kuwatishia wachawi wadogo. Lakini sasa anapata maumivu kuzimu, na nyama yake inanyofolewa kila badiliko linapotokea. Sasa hawezi kumudu hali hiyo, na anaendelea kugeuka kutoka umbo moja hadi lingine, lakini hali yake halisi ni ile roho ya ukungu ndani ya mifupa. Shetani anamtumia kwa makusudi yake maovu akimtania na kumdhihaki. Mara kwa mara hupelekwa mbele ya Shetani ili kuteswa na Shetani afurahi. ³Nilimwita mara nyingi, na ningemwokoa. Lakini hakunitaka. Sasa anabembeleza na kuomba msamaha, lakini amechelewa. Sasa amepotea pasipo matumaini. Nilimwangalia mwanamke huyu ambaye alikuwa amepotea milele katika mateso na kuugua, ingawaje alikwa mwanamke mwovu, nilimwonea Bhuwarnuma, a. anga³lia inavyosikitisha!´ Nilisema kwa mac hozi. Halafu, kama kwamba Yesu na mimi hatukuwa pale, pepo chafu, la kijivu lenye mabawa yaliyovunjika, lenye umbo na ukubwa wa dubu mkubwa alikuja na kufungua mlango wa selo kwa funguo. Alikuwa anapiga makelele kama kwamba kumtia hofu yule mwanamke. Mwanamke yule alipiga kelele za woga mkubwa yule pepo alipoanza kumshambulia na kumtoa kwenye selo. Yesu alisema, Pepo ³ hili huja kumtesa mara kwa mara.´ Niliona akivutwa kutoka kwenye selo na kupelekwa mahali. ³Bwana Mpendwa, nilisema, ³hatuwezi kufanya kitu chochote? Nilimwonea huruma sana. ³Amechelewa" Yesu alijibu, Amechel³ ewa´ 34 --------------------------------------- 35 Sura ya 9 Vitisho vya Kuzimu Nilielewa kwanini watu waliokuwa katika selo hizi ndani ya tumbo la kuzimu walikuwa tofauti na waliokuwa katika sehemu nyingine katika mateso. Kulikuwa na mambo mengi ambayo nilikuwa sielewi. Nilimsikiliza Yesu na kutunza kumbukumbu ya yote niliyoyaona na kuyasikia, kwa utukufu wa Mungu. Kwa kuona kwangu, selo zilikuwa katika duara lisiloisha. Kulikuwa na roho moja tu katika kila selo. Kelele, vilio, na maombolezo yalitoka katika selo hizi kila tulipozipita. Tulikuwa hatujakwenda mbali Yesu aliposimama mbele ya selo nyingine. Tulipochungulia ndani, mwanga ulikuja (Yesu alifanya nuru). Nilisimama na kuitazama roho ambayo nilijua ilikuwa katika mateso makubwa. Alikuwa mwanamke mwingine, na rangi yake ilikuwa samawia. Nyama yake ilikuwa imekufa, na sehemu za nyama ambazo zilikuwa zimeoza zilikuwa zikidondoka kutoka kwenye mifupa. Mifupa yake ilikuwa imeunguzwa na kuwa mieusi, na alikuwa na vipande vipande vya nguo. Funza walikuwa wakitambaa kwenye nyama na mifupa yake. Harufu mbaya ilijaza selo yake. Sawa na yule mwanamke wa kwanza, huyu naye alikuwa amekaa kwenye kiti cha kubembea. Alipokuwa anabembea, alilia na kukumbatia mdoli kifuani pake. Kilio cha kwikwi kilitikisa mwili wake, na kilio kilitoka kwenye selo. Yesu aliniambia, H³uyu naye alikuwa mtumishi wa Shetani. Alimuuzia roho yake, na ilipokuwa hai alifanya kila aina ya ubaya. Uchawi ni jambo halisi.´ Yesu alisema. ³Mwanamke huyu alitumia na kuwafundisha watu wangu uchawi na kuwageuza wengi kuelekea njia ya dhambi. Waalimu wa uchawi wanapewa upendeleo na nguvu zaidi kutoka kwa Shetani kuliko wachawi wa kawaida. Alikuwa mtabiri na alipewa pepo la utambuzi na bwana wake. ³Alipendwa sana na Shetani kwa maovu yote aliyoyafanya. Alijua namna ya kutumia nguvu za giza kwa ajili yake na kwa ajili ya Shetani. Alikwenda kwenye ibada za wamwabuduo Shetani na kumtukuza Shetani. Alikuwa mwanamke mwenye nguvu kwa ajili ya Shetani. Niliwaza kwamba sijui kazidanganya roho ngapi kwa ajili ya Shetani. Niliitazama roho hii ndani ya mifupa, ikililia mdoli-kipande kichafu cha nguo. Huzuni uliujaza moyo wangu, na machozi macho yangu. Aliushikilia mdoli kama kwamba unaweza kumuokoa, au kwamba angeweza kuusaidia. Harufu ya mauti ilizagaa mahali pale. 35 --------------------------------------- 36 Halafu nilimuona akianza kubadilika kama yule wa kwanza. Alikuwa mwanamke mzee wa miaka ya 1930 kisha kuwa msichana wa leo. Mara nyingi alifanya mabadiliko haya mbele ya macho yetu. ³Mwanamke huyu,´Y esu alisema, a³likuwa kama mhubiri wa Shetani. Kama vile ambavyo injili ya kweli inahubiriwa kwetu na wachungaji wa kweli, Shetani naye ana wachungaji wake wa uongo. Alikuwa na nguvu za kishetani kubwa sana, ambazo ilibidi auze roho yake ili azipate. Vipawa viovu vya Shetani ni kama upande wa pili wa shilingi wa vipawa vya kiroho ambavyo Yesu anagawa kwa waumini. Hii ni nguvu ya giza. ³Wafanyakazi hawa wa Shetani wanafanya katika ushirikina, maduka ya vitu vya kishirikina, waonaji kutumia viganja vya mikono, na njia nyingine nyingi. Msemaji wa Shetani ni mtumishi wa Shetani mwenye nguvu. Watu hawa wamedanganyika kabisa na wameuzwa moja kwa moja kwa Shetani. Wafanyakazi wengine wa giza hawawezi kusema na Shetani mpaka wasemaji waseme kwa ajili yao. Wanatoa kafara za wanadamu na wanyama kwa Shetani. ³Watu wengi wanatoa roho zao kwa Shetani. Wanachagua kumtumikia yeye kuliko Mimi. Chaguo lao ni mauti ila kama watatubu dhambi zao na kuniita, Mimi ni mwaminifu, nitawakoa na dhambi zao. Wengi wanauza roho zao kwa Shetani wakidhani kwamba wataishi milele, lakini watakufa kifo kibaya. ³Shetani anadhani kwamba anaweza kumpindua Mungu na kuharibu mpango wa Mungu, lakini alishindwa msalabani. Nilichukua funguo kutoka kwa Shetani, na nina nguvu zote mbinguni na duniani. ³Baada ya mwanamke huyu kufa, alikwenda moja kwa moja kuzimu. Mapepo yalimleta mbele ya Shetani, ambapo kwa hasira aliuliza kwanini mapepo yalikuwa na uwezo juu yake, ambapo duniani alidhani ana uwezo juu yao. Duniani yalimtii. Vile vile alimwambia Shetani ampe ufalme aliokuwa amemwahidi. ³Shetani aliendelea kumdanganya hata baada ya kifo chake duniani. Alimwambia kwamba angelimfufua na kumtumia kwa makusudi yake tena. Kwa mbinu za uongo alimpatia roho nyingi, kwa hiyo uongo wake ulionekana kama kweli kwake. ³Ndipo mwishoni, Shetani alimcheka na kumdhihaki. Alimwambia, µNilikudanganya na kukutumikisha miaka yote hiyo. Sitakupa kamwe ufalme wangu¶´ Shetani alipunga mikono yake kwa yule mwanamke, na ilionekana kama nyama yake inanyofolewa kutoka kwenye mifupa yake. Alipiga kelele kwa uchungu huku kitabu kikubwa cheusi kikiletwa kwa Shetani. Alikifungua na kupitisha kidole chake kwenye kurasa mpaka alipoliona jina la huyu mwanamke. 36 --------------------------------------- 37 "O, ndio, Shetani ³alisema, ³ulinitumikia vizuri duniani. Uliniletea .z´aidi ya roho 500 Alimdanganya na kusemAa, dha³bu yako haitakuwa mbaya kama za we ngine. Kicheko cha hila kilisikika.Shetani alisimama na kumnyoshea kidole mwanamke, na upepo mkali ulivuma na kupajaza mahali pale. Sauti ya mvumo kama radi ilimtoka. ³Ha-ha,´ Shetani alisemcha, ukua ³ ufalme wako kama unaw eHzalafu a.´ nguvu fulani isiyoonekana ilimbwaga chini. "Hapa napo unakwenda kunitumikia.´ Shetani alicheka mwanamke alipojaribu kunyanyuka. Mwanamke alipiga kelele kwa uchungu nyama ilipokuwa inachanwa na mapepo kutoka kwenye mifupa yake. Aliburuzwa tena mpaka kwenye kifungo chake. Alikumbuka ahadi za Shetani. Alikuwa amemwambia kwamba angekuwa na nguvu zote. Alikuwa amemwambia kwamba asingekufa. Alimwambia kwamba alikuwa na mamlaka juu ya uzima na mauti, na alimwamini. Aliambiwa kwamba Shetani alikuwa na mamlaka ya kuzuia kitu chochote kisimuue. Shetani alimwambia uongo mwingi na kumuahidi mambo mengi. Yesu alisema, Nili³kuja kuwaokoa watu wengi. Nataka kwamba wote waliopotea watubu na kuliitia jina langu. Sio mapenzi yangu kwamba mtu yeyote apotee, lakini kila mtu awe na uzima wa milele. Inasikitisha, wengi hawatatubu dhambi zao kabla ya kufa, na watakwenda kuzimu. Lakini njia ya kwenda mbinguni ni moja kwa watu wote. Ni lazima uzaliwe mara ya pili ili kuingia ufalme wa Mungu. Lazima uje kwa Baba kwa jina langu na kutubu dhambi zako. Lazima umpe Mungu moyo wako kwa dhati na kumtumikia. ³Mtoto,´ Yesu alisema,jamb o ³ ninalokwenda kukufunulia sasa ni baya zaidi. Najua litakusikitisha. Vile vile nataka ulimwengu usikie na kujua mambo ambayo Roho anayaambia makanisa. "Katika selo hizi, kwa kadri ya upeo wa macho yako, kuna roho ziko kwenye mateso. Kila mara selo zinapojaa, kuzimu kunajipanua ili kupokea roho zaidi. Roho ikiwa kuzimu inakuwa na fahamu zake zote. Kama ulikuwa kipofu duniani, utakuwa kipofu kuzimu. Kama ulikuwa na mkono mmoja tu duniani, utakuwa na mkono mmoja tu kuzimu. Lazima nikwambie tubu, kwa maana kuzimu ni mahali pabaya sana, mahali pa kutisha, mahali penye huzuni kubwa na vilio vya milele vya masikitiko. Nakuomba, amini ninayosema, ni kweli tupu. Ilikuwa vigumu sana wakati wa kuandaa taarifa hii kiasi kwamba mara nyingi niliugua. 37 --------------------------------------- 38 Kuzimu niliyaona mambo ambayo ni mabaya mno kuyasimulia-mabaya kuliko vilio vya mateso, harufu ya nyama inayooza, na utisho wa moto wa kuzimu ndani ya mashimo marefu. Niliona na mambo mengine ambayo Mungu hakuniruhusu kuyaandika. Unapokufa duniani, kama umezaliwa upya na Roho wa Mungu, roho yako inakwenda mbinguni. Kama ni mwenye dhambi unapokufa, unakwenda moja kwa moja kuzimu kwenye moto. Mapepo yenye minyororo mikubwa yataiburuta roho yako kwenye malango ya kuzimu, na huko utatupwa kwenye mashimo ya kuzimu na kuteswa. Baadaye utapelekwa kwa Shetani. Ukiwa kuzimu unatumbua na kujua kila kitu kinachokutokea . Yesu aliniambia kwamba kuna mahali kuzimu panaitwa ³Kituo cha burudani.´ Roho zilizofungungiwa kwenye mashimo haziwezi kwenda pale. Vile vile aliniambia kwamba ingawaje mateso ni tofouti kwa roho mbalimbali, lakini roho zote zinaunguzwa na moto. Kituo cha burudani kina umbo la uwanja wa michezo. Watu mbalimbali ambao watakuwa waburudishaji wanaletwa katikati ya uwanja. Hawa ni watu ambao walikuwa wanamtumikia Shetani kwa kujitambua. Ni watu ambao, kwa hiari yao wenyewe waliamua kumtumikia Shetani badala ya kumtumikia Mungu. Pembeni mwa uwanja kuna roho nyingine, isipokuwa zile zilizo kwenye mashimo. Walio katikati ya uwanja ni wale waliokuwa viranja wa uchawi duniani kabla ya kufa kwao. Walikuwa walozi, wachawi, wabashiri, na wote ambao kwa makusudi walichagua kumtumikia Shetani. Walipokuwa duniani waliwadanganya wengi na kuwasababisha kumfuata Shetani na kutenda dhambi. Waliokuwa wamedanganywa na kusababishiwa kuanguka katika dhambi walikuja na kuwatesa wale waliowasababisha kuanguka. Mmoja baada ya mwingine waliruhusiwa kuwatesa. Katika mojawapo ya mateso haya, mifupa ya kiroho ilisambaratishwa na kufichwa sehemu mbalimbali. Roho ilichanwa vipande vipande na vipande hivi kufichwa sehemu mbalimbali za kuzimu. Roho zilizosambatatishwa hivi zilisikia maumivu makali. Watazamaji walikokuwa pembeni mwa uwanja wangeweza kuwatupia mawe wale waliokuwa katikati. Kila aina ya utesaji uliruhusiwa. Roho zilizokuwa zinateswa zililia kifo, lakini hicho kilikuwa kifo cha milele. Shetani ndiye aliyetoa amri kwa mambo haya kufanyika. Hiki ni kituo chake cha burudani. Yesu alisema, Nil³imnyanganya Shetani funguo za kuzimu miaka iyopita.mingi il Nilifungua selo hizi na kuwatoa watu wangu. Kwa maana wakati wa Agano la Kale kabla sijatoa maisha yangu msalabani, paradiso ilikuwa karibu na kuzimu. Selo hizi zamani zilikuwa paradiso; sasa Shetani anazitumia kwa makusudi yake mabaya na ametengeneza nyingi zaidi. 38 --------------------------------------- 39 "O msomaji, tubu kabla hujachelewa milele. Kwa maana wote watakuja kwangu kwa ajili ya hukumu. Paradiso iliondolewa mahali pake karibu na kuzimu nilipokufa na kufufuka tena kwa nguvu za Mungu, Baba yangu.´ Nakwambia tena kwamba selo hizi, ambazo zina urefu wa maili kumi na saba kwenda juu, ni jela kwa wale waliokuwa watumishi wa giza wa Shetani, wote waliohusika na dhambi yoyote iliyohusu nguvu za kishetani, ushirikina na ibada ya Shetani Yesu alisema, Njo³o, nataka kukuonyesha kitu fulani. Mara tulikuwa kama nusu maili hivi, angani, katikati ya tumbo la kuzimu. Nilikuwa kama nipo kwenye kisima ambacho mwanzo wake wala mwisho wake hauonekani kwa sababu ya giza. Rangi ya manjano ilianza kujaa mahali pale. Niliushikilia mkono wa Yesu kwa nguvu. ³Bwana mpendwa, niliuliza, ³kwanini tupo? ha pa Mara ile ulitokea upepo mkali na mvuno mkubwa. Mawimbi makubwa ya moto yalianza kupanda kwa kasi kwenye kuta za selo, yakiunguza kila kitu katika njia yake. Miali ya moto ilifika katika kila selo na kusababisha vilio vya uchungu na kukata tamaa. Ingawaje Yesu na mimi hatukuguswa na ule moto, hofu ilijaa ndani yangu nilipoona roho zilizopotea zikikimbilia nyuma ya selo hizo ndogo, zikijaribu kutafuta mahali pa kujificha. Mlio wa uovu ulianza kusikika kushoto kwetu. Niliona, Shetani amesimama akitupa mgongo, na alikuwa anawaka moto. Lakini alikuwa haungui, ila, yeye ndiye aliyesababisha moto. Sasa alikuwa amesimama amefunikwa na moto, akifurahia vilio vya roho hizi maskini zilizopotea. Shetani alipoinua mikono yake, mabonge makubwa ya moto yalimtoka. Mayowe na vilio vikubwa vya maumivu vilitoka kwenye selo. Roho zilizokuwemo ndani zilikuwa zinaunguzwa zikiwa hai na moto huu wa ziwa la moto, lakini hazikuweza kufa. Mapepo nayo yaliungana na Shetani katika kicheko Shetani alipokwenda selo hadi selo, kuzitesa roho zilizopotea. Yesu alisema, She³tani ananawiri kwenye uovu. Anaona sifa kwenye maumivu.´ Nilimwangalia Shetani wakati moto wa rangi nyekundu na manjano ukiwa na ncha za kikahawia ukiongezeka kuwaka kumzunguka. Upepo ulipuliza mavazi yake ambayo hayakuungua. Harufu ya nyama inayoungua ilijaa angani, na nilitambua kwa mara ingine kwamba mateso ya kuzimu ni halisi. Shetani alitembea kwenye moto, lakini haukuweza kumuunguza. Ingawaje niliuona mgongo wake tu, nilisikia kicheko chake cha hila kila mahali. 39 --------------------------------------- 40 Nilimwona Shetani akipanda ndani ya wingu la moshi, akichukua moto pamoja naye hadi juu ya tumbo la kuzimu. Nilimsikia alipogeuka na kutangaza kwa sauti ya nguvu kwamba roho yoyote isiyomwabudu, ataipeleka kwenye kituo cha burudani. ³Hapana Shetani, tutakua buWdalipu.iga kelele kwa pamoja na kuanza kumsujudia Shetani. Kwa kadri walivyomsujudia, ndivyo kadri kiu yake ya kuabudiwa ilivyoongezeka. Sauti za sifa ziliongezeka na kuongezeka mpaka paa za kuzimu zikatikisika. Yesu alisema, "Hawa wote walio kwenye selo hizi waliisikia injili walipokuwa hai duniani. Mara nyingi wokovu wangu ulifunguliwa kwao. Mara nyingi Roho wangu aliwavuta, lakini hawakutaka kuja kwangu kuokolewa. Yesu alipokuwa anasema, Shetani alikuwa anawaambia watu wakHae, -ha, ³huu ni ufalme wenu- ufalme pekee ambao mtakuwa nao. Ufame wangu umejaa duniani pote na ulimwengu wa chiniNilim.´s ikia akipaza sauti, ³Haya ni maisha yenu mVileleilio vy.a ´ majuto vilitoka kwenye selo zilizokuwa zinaungua. Yesu alisema,Uk o³mbozi wangu ni bure. Yeyote anayetaka, aje aokolewe na mahali hapa pa mateso ya milele. Sitamtupa. Kama ulikuwa mchawi au mlozi, hata kama umeandika agano na Ibilisi, nguvu yangu italivunja, na damu yangu iliyomwagika itakuokoa. Nitaondoa laana katika maisha yako na kukukomboa na kuzimu. Nipe moyo wako ili nikufungue minyororo na kukuweka huru. Sura ya 10 Moyo wa Kuzimu Usiku nilikwenda na Yesu kuzimu. Mchana kutwa kuzimu kulikuwa machoni pangu. Nilijaribu kuwaambia wengine nilichokiona, lakini hawakuamini. Nilijisikia mpweke sana, ni kwa neema ya Mungu tu niliweza kuendelea. Utukufu wote ni wa Bwana yesu Kristo. Usiku uliofuata Yesu na mimi tulikwenda tena kuzimu. Tulitembea pembezoni mwa tumbo la kuzimu. Nilizzitambua baadhi ya sehemu kutokana na kwamba nilikuwa nimewahi kufika kule. Zile nyama za kuoza, ile harufu mbaya, ile hewa chafu, nzito ilikuwa kila mahali. Nilikuwa nimechoka tayari. 40 --------------------------------------- 41 Yesu alitambua mawazo yangu na aliniSiambitakuaca, ha³ kamwe au kukukana.ninajua umechoka, lakini nitakutia nguvu.´ Yesu alinigusa na kunitia nguvu, na tukaendelea mbele. Mbele yangu niliona kitu kukibwa cheusi, kikubwa kama uwanja wa mpira na kilikuwa kama kinapumua. Nilikumbuika kwamba niliwahi kuambiwa kwamba huu ni ³moyo w a kuzimu.´ Kutoka kwenye moyo huu mweusi vilijitokeza vitu kama mikono mikubwa au pembe. Vilikuwa vinatoka ndani nakwenda juu hadi nje ya kuzimu mpaka dduniani mpaka dunia yote. Nilijiuliza kama pembe hizi ni zile ambazo zinazungumzwa katika Biblia. Sehemu zote kuzunguka moyo, udongo ulikuwa mkavu wenye rangi ya kikahawia. Kiasi cha futi thelathini ktika pande zote, udongo ulikuwa umeungua na kukauka na kuwa na rangi ya kikahawia. Moyo ulikuwa na rangi nyeusi tii, lakini rangi nyingine kama magamba ya nyoka ilichanganyikana na weusi ule. Harufu mbaya sana ilitokakwenye moyo kila ulipopumua. Ulipumua kama moyo wa kweli. Nguvu ya giza iliwazunguka. Kwa mshangao niliutazama moyo huu mouvu na kujiliza makusudi yake. Yesu alisema, ³Matawi haya, ambayo yanakuwa kama ateri za moyo, ni mabomba ambayo yanajotokeza duniani kumwaga juu yake. Hizi ni pembe ambazo Danieli aliziona, na zinawakilisha falme mbaya duniani. Zingine zilishakwisha kuweko, zingine zitakuwako, na zingine zipo Falme mbaya zitajitokeza, na Mpinga Kristo atawatawala watu wengi, sehemu nyingi na vitu vingi. Ingewezekana hata wateiule wangedanganywa naye. Wengi wtakengeuka na kumwabudu mnyama na sanamu yake. ³Kutokana na haya matawi makubwa au pembe, matawi madogo yatatokea. Kutoka katika matawi madogo yatatokea mapepo, na kila aina ya nguvu za giza. Yataachiliwa juu ya dunia na kufanya mambo mengi mabaya kwa kuamriwa na Shetani. Falme hizi na nguvu za uovu zitamtii Shetani, na watu wengi watamfuata kwenye uharibifu. Ni hapa katika moyo wa kuzimu ambapo mambo haya yanaanzia. ³Haya ni maneno ambayo Yesu aliniambia. Aliniambia niandike na niyaweke kwenye kitabu na kuambia ulimwengu. Maneno haya ni ya kweli. Ufunuo huu nilipewa na Bwana Yesu Kristo ili watu wote wajue na waelewe kazi za Shetani ni mipango yak e mibaya kwa ajili ya siku za usoni. Yesu alisema,Ni fu³ate.´ Tulipanda ngazi kwenda ndani ya moyo, na mlango ulifunguka mbele yetu. Ndani ya moyo kulikuwa na giza tololo. Nilisikia vilio, na kulikuwa na harufu mbaya mno nilishindwa hata kupumua. Kitu pekee ambacho nilikiona ktika gizaile ni Yesu. Nilitembea karibu naye sana. 41 --------------------------------------- 42 Halafu, ghafla, Yesu alotoweka! Lisilifikirika lilitokea.nilikuwa peke yangu ndani ya moyo wa kuzimu. Utisho ulinishika. Hofu ilijaa rohoni mwangu na mauti ilinishika. Nilimlilia YeUsku, o wap³ i? Uko wapi? O tafadhali Bwana , njoo.´ Niliita, niliita, lakini hakuna aliyenijibu. ³O Mungu wangu,´ nililia,lazim a nitok³ e hapa.´ Nilianza kukimbia gizani. Nilipogusa kuta zilikuwa kama zinapumua, zikitekenya mikono yangu. Halau sikuwa peke yangu tena. Nilisikia sauti ya kicheko wakati mapepo mawili, yakizungukwa na mwanga hafifu wa rangi ya chungwa, yaliposhika mikono yangu kwa nguvu. Waliweka minyororo kwenye mikono yangu haraka na kuniburuza kunipeleka chini ndani zaidi ya moyo. Nilimlilia YUesu, lakini hapakuwa na jibu. Nililia na kupigana kwa nguvu zangu zote, lakini waliniburura kama kwamba sikuwa napigana kabisa. Tulipokuwa tunateremka ndani ya moyo,nilisikia mauvu makubwa kitu fulani kiliposuguana na mwili wangu. Ilikuwa kama nyama yangu ilikuwa inachanwa. Nilipiga mayowe kwa hofu. Watesi wangu waliniburuza hadi kwenye selo na kunitupa ndani. Walipofunga mlango kwa kufuli nililia kwa nguvu zaidi. Walichekakwa dhaHraitaau knausa dia kuskeulia. ma,M ³uda ukifika utapelekwa mbele ya bwana wetu. Atakutesa kwa raha yake.´ Harufu chafu ya moyo ilipenya kwenye mwili Kwanwini annigu. po ha³ pa? Kuna nini? Je nimerukwa akili? Nitoe! Nitoe!´ Nililia bilamafa nikio. Baada ya muda, nilianza kugusa kuta za selo nilimokuwemo. Ziliuwa laini na mviringo kama kitu chenye uhai. Kilikuwa kitu hai, na kilianza kutembea. ³O Bwana!, nilipiga kelele. ³Kitu gani kinatokea? Yesu, uko wapi? Lakini mwangwi tu wa sauti yangu ndio niliosikia. Hofu, hofu kuu iliushika moyo wangu. Kwa mara ya kwanza tangu Yesu aliponiacha, nilianza kuona kwamba nilikuwa nimepotea bila tumaini lolote. Nililia na kumwita Yesu tena na tena. Halafu nilisikia sauti katikaH aitagikzusaidia ika iskumema, wita ³Yesu, hayupo hapa. Mwanga hafifu ulianza kujaa pale. Kwa mara ya kwanza, nilianza kupona selo nyingine kama yangu, zimejikita kwenye kuta za moyo. Utandu wa aina fulani ulikuwa mbele yetu, na ndani ya kila selo aina fulani ya kitu kama tope lenye gundi lilikuwa linatiririka kwenye selo. Sauti ya mwanamke kutoka selo iliyokuwa karibu na mimi iliniambia, U³mepotea katika mahali hapa pa mateso. Hakuna namna yoyote ya kutoka hapa. 42 UsikoSe sehemu Ya nnE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni