Wafilipi 2:10-11
  • *Ufunuo wa Yesu Kuhusu Kuzimu* na *Mary K Baxter* SEHEMU YA NNE(PART 4)


    --------------------------------------- 43 Sikuweza kumuona vizuri kwenye ule mwanga hafifu. Alikuwa macho, kama mimi, lakini wengine kwenye selo nyingine walionekana kuwa wamelala au wako kwenye usingizi mzito. Ha³kuna tumaini, alilia, ³hak.un a tumaini Hali ya upwke mzito na kuuta tamaa ilinijia. Maneno ya yule mwanamke hayakunisaidia. Alisema, Hu³u ni moyo wa kuzimu. Huku tunateswa lakini mateso yetu sio makubwa kama ya sehemu nyingine za kuzimu.´ Baadaye nilitbua amkwamba alisma uongo aliposema kuwa mateso ya huku ni afadhali kuliko mateso ya sehemu nyingine za kuzimu. ³Mara nyingine,´ aliendeletuna, apele³ kwa mbele ya Shetani na anatutesa kwa burudani yake. Shetani ananawiri kwenye mateso yetu na anazidi kupata nguvu kwenye vilio vyetu vya huzuni na kukata tamaa. Dhambi zetu ziko mbele yetu daima. Tunajua sio watakatifu. Vile vile tunajua kwamba tuliwahi kumfahamu Bwana Yesu lakini tulimkataa na kumpa Mungu kisogo. Tulifanya kama tulivyotaka. Kabla sijaja hapa nilikuwa kahaba. Niliwafuata wanaume na wanawake kwa kutafuta fedha zao na kuita µmapenzi¶ mambo tuliyokuwa tunafanya. Niliharibu ndoa nyingi. Wasagaji na mashoga na wazinifu wamo kwenye selo hizi.´ Nililia katika Sgiisitzaha, ili k³uwa hapa, nimeokoka. Mimi ni wa Mungu. kwanini nipo hapa?´ lakini hapakuwa na jib u lolote. Halafu mapepo yalirudi tena na kufungua mlango wa selo yangu. Mmoja alinisukuma na mwingine alinivuta kwenye kinjia. Mguso wa mapepo ulikuwa kama moto unaounguza ngozi yangu. Walikuwa wananiumiza. ³O Yesu uko wapi? Tafadhali nisaidie Nilil ia Y esu!´ Moto mkubwa ulilipuka mbele yangu lakini ulisimama kabla haujanigusa. Sasa nyama yangu ilikuwa kama inanyofolewa kwa nguvu kutoka kwenye mwili wangu. Maumivu makali ambayo nilikuwa sijawahi kuyafikiria yalinifunika. Nilikuwa naumia kuzidi maelezo. Kitu fulani ambacho kilikuwa hakionekani kilikuwa kkiuchana mwili wangu, na wakati huo huo mapepo machafu mfano wa popo walikuwa wananiuma mwili mzima. ³Bwana Yesu Mpendwa,´ nililia.Uko w ap³i? O, tafadhali, nitoe!´ Nilisukumwa na kuvutwa mpaka nilipofika mahali pa wazi katika moyo wa kuzimu, ndipo nilipotupwa mbele ya madhabahu chafu. Juu ya madhabahu kulikuwa na kitabu kikubwa, kimefunguliwa. Nilisikia kicheko kiovu nandipo nilipogundua kwamba nilikuwa nimelala chini kwenye udongo mbele ya Shetani. .Shetani alisema, Hatim³aye nimekupata. Nilijikunja kwa hofu lakini muda si muda niligundua kwamba hakuwa ananitazama mimi ila mtu mwingine mbele yangu. Shetani alisema, ³Ha ha, hatimaye ninaweza kukuangamiza 43 --------------------------------------- 44 katika dunia. Ngoja niangalie adhabu yako itakuwa nini. Alifungua kitabu na kupitisha vidole vyake kwenye kurasa. Jina la roho ile liliitwa na adhabu yake ilitolewa. ³Bwana Mpendwa,N ililia, ³Je hii inaweza kuwa k weli? Ilikuwa zamu yangu,na mapepo yalinisukuma mbele ni kunilazimisha kupiga magoti mbele ya Shetani. Kicheko kile kiovu kilitNimokeak uskuwbirake.i kw a ³muda mrefu, na sasa nimekupata,´ alisema kwa furaha yenye hila ndanUi lijaribyaku e. kunit o³roka, lakini sasa nimekupata. Hofu ambayo sikuwahi kuwa nayo ilinipata. Nyama ya mwili wangu ilianza kuchanwa tena, mnyororo mkubwa ulikuwa unazungushwa kwenye mwili wangu. Nilijitazama nilipokuwa navalishwa mnyororo. Nilikuwa kama wengine. Nilikuwa skeleton nimejaa mifupa. Minyoo ilitembea ndani yangu, na moto ulianza kwenye miguu yangu na kunifunika katika moto. Nililia teO Bna,w a³na Yesu, kitu gani kimetokea? Uko wapi, Yesu?´ Shetani alicheka na kucHhaeka.kuna ³Yesu hapaalis,´ ema. ³Sasa mimi ndiye mfalme wako. Utakuwa na mimi hapa milele. Sasa wewe ni wangu. Nilishikwa na hisia za kutisha. Sikuweza kuhisi uwepo wa Mungu, wala upendo, wala amani, wala faraja. Lakini nilihisi kwa hisia kali, woga, chuki, maumivu makali na huzuni kupita kiasi. Nilimwita Bwana Yesu aniokoe, lakini hapakuwa na majibu. Shetani alisema,Sasa ³mimi ndiye bwana wako,´ na aliinua mikono yake ili kuita pepo lije pale. Mara pepo ovu, baya lilikuja kwenye steji nilipokuwepo na kunishika kwa nguvu. Lilikuwa na mwili mkubwa, na sura kama ya popo, na makucha kama ya mwewe badala ya mkono, na harufu mbaya ilitoka kwake. ³Nimtendee nini, Bwana Shetani?´ Pepo mbaya aliuliza, wakati pepo lingine lenye minywele mwili mzima na sura kama ya dubu aliponishikMcah ukue vile hadivile. ³ sehemu ya chini kabisa ya moyo, ambapo vitisho vitakuwa mbale yake daima. Huko atajifunza kuniita Bwana´ Niliburuzwa hadi kwenye sehemu ya giza, giza nene na kutupwa kwenye kitu baridi. O mtu anawezaje kujisikia baridi huku akiungua wakati huo huo? Sijui. Lakini moto uliunguza mwili wangu, na mafunza yalizunguka mwilini mwangu. Vilio vya wafu villijaa hewani. ³O Bwana Yesu, nililia kwa kukata tamaa, µkwa nini nipo hapa? Mungu mpendwa, niruhusu kufa. 44 --------------------------------------- 45 Mara nuru iliangaza mahali pale nilipokuwa nimekaa. Yesu alionekana na kunikumbatia katika mikono yake, na mara ile ile nilikuwa nyumbani kwangu. ³Mpendwa Bwana Yesu, ulikuwa wapi?" Nililia, machozi yakitiririka kwenye shavu zangu. Kwa upole Yesu aliniambia na kuMswanaema,ng ³u, hii ni kuzimu. Lakini usingejua kwa uhakika bila kupitia kuzimu mwenyewe. Sasa unajua ukweli na unajua maana ya kupotea kuzimu. Sasa unaweza kuwaeleza wengine habari zake. Ilinibidi nikuache upitie kuzimu ili ujue habari zake kwa uhakika. Nilikuwa na uchovu mwingi na huzuni nyingi. Nilijitupa kwenye mikono ya Yesu. Ingawaje alinihuisha kabisa, nilitaka kwenda mbali, mbali na Yesu,mbali na familia yangu, mbali na wote. Katika siku zilizofuata nilikuwa mgonjwa sana. Roho yangu ilihuzunika sana, na vitisho vya kuzimu vilikuwa mbele yangu daima. Zilipita siku nyingi kabla ya kupona kabisa. Sura ya 11 Giza la Nje Usiku hadi usiku Yesu na mimi tulikwenda kuzimu ili niweze kuandika ukweli huu wa kutisha. Kila mara tulipopita karibu na moyo wa kuzimu, nilitembea karibu sana na Yesu. Hofu kubwa ilinishika kila nilipokumbuka yaliyonisibu kule. Nilijua ilinibidi niendelee ili kuokoa roho. Lakini ilikuwa ni kwa neema ya Mungu tu kwamba niliweza kwenda tena kuzimu. Tulisimama kwenye kundi la mapepo waliokuwa wanaimba na kucheza wakimtukuza Shetani. Walionekana wakifurahia sana. Yesu alisema, Nµitakuambia wanayoimba. ³Tutakwenda kwenda kwenye nyumba hii leo na kuwatesa wanaokaa mle. Tutapata nguvu zaidi kutoka kwa Bwana Shetani kama tutafanya hivi kwa usahihi. O ndio, tutasababisha maumivu mengi na magonjwa ya kuwasikitisha wote. Walianza kuimba na kucheza nyimbo mbaya za kumwabudu Shetani, wakiutukuza ubaya. PNepi o lilisema, ³ lazima tuwe waangalifu sana kwa wale wanaomwamini Yesu, kwa sababu wanaweza kututoa. ³Ndio,´ mwingine alisemka, wa Ji³ na la Yesu lazima tukimbie´ 45 --------------------------------------- 46 Halafu pepo lingine la mwisho lilislaemakini , ha³tuendi kwa wale wanaomjua Yesu na nguvu za jina lake. ³Malaika wangu,´ Yesu alisema, wanaw³ alinda watu wangu na pepo hawa wabaya, na kazi zao hazifanikiwi. Vile vile nawalinda wengi ambao hawajaokoka, hata kama hawajui kwamba nawalinda. Ninao malaika wengi waliowekwa kusimamisha mipango mibaya ya Shetani. Yesu alisema, K³una mapepo mengi duniani na katika anga. Nimeruhusu uyaone baadhi ya mapepo hayo, lakini mengine huwezi kuyaona. Ndio maana ukweli wa injili ni lazima uhubiriwe kwa kila mtu. Kweli itawaweka watu huru, na nitawalinda na mabaya. Katika jina langu kuna uponyaji na uhuru. Ninayo mamlaka yote mbinguni na duniani. Usimwogoge Shetani, ila mwogope Mungu. Tulipokuwa tunatembea kuzimu, Yesu na mimi tulikuja kwenye mtu mmoja mkubwa sana na mweusi sana. Alikuwa amezungukwa na giza na alikuwa na umbo la malaika. Alikuwa anashika kitu fulani katika mkono wake wa kushoto. SYehemesu u alisehii inaitwama, ³ giza la nje´ Nilisikia kulia na kusaga meno. Hapakuwa mahali pengine palipokuwa na hali ya kukata tamaa kama niliyoiona hapa. Malaika aliyesimama mbele yetu hakuwa na mabawa. Alikuwa na urefu wa kama futi thelathini, na alijua kwa uhakika kazi aliyokuwa anafanya. Katika mkono wake wa kushoto alikuwa na kitufe kikubwa cha mviringo na alikuwa anageuka taratibu na kitufe hiki akiwa amekiinua juu kama kwamba alikuwa anajiandaa kukitupa. Kulikuwa na moto katikati ya kitufe, na weusi pembezoni. Malaika aliweka mkono wake chini ya kitufe na kuinama kwa nyuma ili apate nguvu zaidi. Nilijiuliza malaika huyu mkubwa alikuwa nani na alikuwa anajiandaa kufanya nini. Yesu aliyajua mawazo yangu na alisema tena, ³Hili ni giza la nje. Kumbuka Neno langu linasema, µWatoto wa ufalme watatupwa kwenye giza la nje, na huko kutakuwa na kulia na kusaga meno. ³Bwana, nilisema, ³Una maana watumishi wako w ako huku? ³Ndio,´ Yesu alijiwbatu, umi³shi ambao walikengeuka baada ya Mimi kuwaita. Watumishi ambao waliupenda ulimwengu kuliko Mimi na walirudi nyuma na kuogelea katika dhambi. Watumishio ambao hawakusimama katika kweli na katika utakatifu. Ni afadhali kama mtu asingeanza kabisa kuliko mtu kurudi nyuma, baada ya kuanza kunitumikia. 46 --------------------------------------- 47 ³Niamini,´ Yesu alisemukita, end³ a dhambi unaye wakili mbele za Mungu. Ukitubu dhambi zako, nitakuwa mwaminifu na kukusafisha uovu wote. Lakini kama hutubu, nitakuja kwa wakati usiotarajia, na utakatiliwa mbali pamoja na wasioamini na kutupwa katika giza la nje. Nilimwangalia yule malaika mweusi alivyotupa mbali kile kitufe, mbali kwenye giza. ³maneno yangu yanamainisha yanayosema µwatatupwa katika gi.´z a la nje Halafu, ghafla, Yesu na mimi tulikuwa hewani, tukikifuata kile kitufe angani. Tulifika nje ya kitufe na kuchungulia ndani Kulikuwa na moto katikati ya kitufe, na watu walikuwa wanaogelea nje na ndani, juu na chini kwenye miali ya moto. Huku hakukuwa na mapepo, ila roho zikiungua katika ziwa la moto. Nje ya kitufe kulikuwa na weusi wa weusi. Mwanga kutoka moto wa kitufe ulimulika anga la usiku. Katika mwanga ule niliwaona watu wakijaribu kuogelea hadi pembezoni mwa kitufe. Wengine wangefika pembezoni wakati nguvu ya mvuto kutoka ndani ya kitufe ingewavutia kwenye moto. Niliangalia wakati maumbo yao yaligeuka kuwa skeletoni na roho ya ukungu wa kikahawia. Ndipo nilipojua kwamba hii ilikuwa sehemu nyingine ya kuzimu. Halafu niliona, katika maono, malaika wakifungua mihuri. Mataifa na falme zilionekana kufungwa chini yake. Mihuri ilipofunguliwa, wanaume na wanawake, wavulana na wasichana, walitembea moja kwa moja kuingia kwenye moto. Nilitazama kwa mshangao, nikijiuliza kama nilimjua mtumishi yeyote wa Bwana aliyeanguka akitupita. Sikuweza kugeuza macho yangu nisizitazame roho hizi ambazo zilikuwa zinatembea kuelekea kwenye moto, na hakukuwa na mtu wa kuzisimamisha. Nililia, Bwana³ , tafadhali wasimamishe kabla hawajafika kwenye moto!´ Lakini Yesu alisema,Aliy e ³na masikio na asikie. Aliye na macho na aone. Mwanangu, kemea dhambi na uovu. Waambie watumishi wangu kuwa waaminifu na kuliitia Jina la Bwana. Ninakupeleka kwenye sehemu hii ya kutisha ili uweze kuwaeleza habari za kuzimu. Yesu aliendeleaWe, ngi³ ne hawatakuamini. Wengine watasema Mungu ni mwema mno hawezi kuwapeleka watu kuzimu. Lakini waambie kwamba maneno yangu ni kweli. Waambie kwamba waoga na wasioamini watakuwa na sehemu yao katika ziwa la moto. 47 --------------------------------------- 48 Sura ya 12 Pembe Yesu alisema, Leo³, mwanangu, nitakuonyesha sehemu tofauti ya kuzimu. Nataka kukueleza habari za pembe na jinsi zitakavyotumika kupeleka mapepo machafu na nguvu za giza kwenye uso wa dunia. Yesu alipokuwa anazungumza nilianza kuona maono ya wazi. Katika maono niliona, nyumba kuu kuu ya shamba, miti ya kikahawia iliyokufa, ikizungukwa na miti mingi iliyokufa, na majani marefu yaliyokufa. Kwenye uwanja kuzunguka nyumba vilitapakaa vitu vingi vilivyokufa. Hapakuwa na uhai kule. Nyumba ilikuwa kama imetulia kwenye kona na ilikuwa inazima katikati ya uwanja. Hakukuwa na majengo mengine karibu. Mauti ilikuwa kila mahali. Nilijua kwamba nyumba hii ya shamba ilikuwa kuzimu, ila sikuelewa nilichokuwa nakiona. Ndani, nyuma ya madirisha, vilionekana vivuli vikubwa vyenye umbo la binadamu. Kulikuwa na kitu fulani kiovu katika kuonekana kwake. Mojawapo ya viumbe hivi kilisogea kwenye mlango na kuufungua. Nilimwona mtu mkubwa akiwa na misuli mikubwa sana akitoka kwenye nyumba hadi kwenye kibaraza. Nilimuona waziwazi. Alikuwa na urefu wa futi sita, mwenye umbo lililovimba la mnyanyua vyuma. Rangi yake ilikuwa ile ile ya kikahawia sawa na ya mazingira. Alivaa kaptura. Rangi ya kaptura yake ilikuwa ya kikahawia kama ya ngozi yake sehemu ya juu. Badala ya ngozi ya nyama alikuwa na mabaka, na kichwa chake kilikuwa kikubwa sana. Yaani, kichwa chake kilikuwa kikubwa mno kiasi cha kwamba miguu yake ilipinda kutokana na kubeba mzigo huo mzito. Nyayo zake zilikuwa na kwato kama za nguruwe. Uso wake ulikuwa mkali na mwovu, na alionekana kuwa mzee sana. Macho yake yalikuwa yamekufa na uso wake ulikuwa mpana sana. Kwenye maono niliona kiumbe huyu akiteremka kwenye kibaraza. Ardhi ilitikisika alipotembea, na pembe zilikuwa zinaota juu ya kichwa chake-pembe kubwa zilikua kuelekea juu, juu hadi zisionekane tena. Alipokuwa anatembea, niliona kuwa pembe zilikuwa zinakua, taratibu sana. Pembe nyingine zilianza kuota kwenye kichwa chake. Pembe ndogo zilichomoza kwenye pembe kubwa. Niliona kwamba kichwa chake kilikuwa kama mnyama-mnyama mwenye nguvu, mwenye uharibifu mwingi. Kila hatua aliyochukua ilitikisa ardhi. Yesu alisema, Ang³alia. 48 --------------------------------------- 49 Niliona zile pembe zikienda juu na kuishia kwenye nyumba za watu, kwenye makanisa, kwenye mahospitali, kwenye maofisi na kwenye majengo ya aina zote duniani pote. Pembe hizi zilifanya uharibifu mkubwa kila mahali. Nilimwona mnyama akisema na pepo wabaya wakitoka mdomoni mwake kwenda duniani. Niliwaona watu wengi wakishawishiwa na roho hizo chafu na wakinaswa na mitego ya Shetani. Tuko vitani: wema dhidi ya ubaya, niliwaza ³Tuko vitani´ nilimsikia Roho wa Bwana akwisemema da, hidi y³ a ubaya. Mawingu meusi yalitoka kwenye pembe na kuficha aina nyingi za ubaya zilizokuwa zinapelekwa duniani. Machukizo yote ambayo Mungu anayachukia yalikuwa pale. Niliona falme zikiinuka katika nchi, na mamilioni ya watu walianza kuzifuata hizo roho chafu. Niliona pembe za zamani ziking¶olewa na pembe mpya zikio ta badala yake. Nilimsikia Yesu akisHemaya, a y³ameanza kutokea sasa! Haya mambo yapo, na yalikuwepo na yatakuwepo. Watu watajipenda wenyewe kuliko kumpenda Mungu. Uovu utakuwa mwingi sana katika siku za mwisho. Wanaume na wanawake watapenda nyumba zao, magari, viwanja na mashamba, majengo, biashara, fedha zao na dhahabu zao kuliko kunipenda Mimi. ³Tubu´. Alisema, k³wa maana mimi ni Mungu wenye wivu. Hakuna kitu chochote ambacho kinatakiwa kutangulizwa mbele mnaponiabudu Mimi ± sio watoto wenu au binti zenu, sio mke wala mume. Kwa maana Mungu ni Roho, na budi kuniakumwabudu katika Roho na kweli. Niliona pembe zikitembea ulimwenguni kote, zikiinuka juu katika mbingu. Falme mpya ziliinuka, na kulikuwa na vita na uharibifu kila mahali. Waliomwabudu mnyama walikuwa wengi. Yule mnyama mwovu mwenye pembe alitembea tembea kama kwamba anawaza, na ardhi ilitikisika kwa uzito wake. Baada ya dakika kadhaa alirudi kwenye nyumba ya shamba. Mawingu meusi yaliinuka, na wengi katika nchi walikufa. Niliiona dunia ikiwa katika dhiki kuu, na nilianza kusali kO wa Bwmoyana,o wangu wote. ³ tusaidie, nililia. Halafu wanyama wawili wakubwa katika hali ya roho waliinuka kutoka katika ardhi na kuanza kupigana. Nilijua walitoka kuzimu. Umati wa watu ulisimama ukishuhudia vita kati ya maovu haya mawili. Halafu nioliona kitu kikiinuka kutoka ardhini katikati yao. Waliacha kupigana na walisimama mmoja upande huu na mwingine upande ule wa meli kubwa. Wanyama wote wawili walijaribu kuiharibu meli ile, lakini hawakuweza. Waliisukumia chini ya ardhi, na kuizika katikati yao. Walisimama wakikabiliana tena, tayari kuanza vita vyao. 49 --------------------------------------- 50 Nilisikia sauti ikisemTaa, zam³ a. Nilipokuwa nikitazama, mwanga ulionekana penye ardhi ambapo meli ilikuwa imefukiwa. Meli ilionekana tena juu ya ardhi ikawa tufe kubwa. Wale wanyama walianza kuchukua maumbo mengine na wakawa wakubwa na weusi. Mlango ulifunguka pembeni mwa tufe, na mwanga mkali ulionyesha ngazi. Ngazi hii ilikuwa inakwenda chini, chini kuzimu, na niliisikia sauti ikhaidi ksemuza, imu!³´ Kulikuwa na hali ya uwepo mkubwa wa nguvu za uovu katika anga, na nilijiona nimepotea na bila matumaini. Nguvu fulani ya kutisha ilitokea kwenye tufe nami sikuwa na mahali pa kukimbilia. Nilijiona nimenaswa, ingawaje nilikuwa katka Roho. Mara moja, Yesu aliniinua juu na juu zaidi mpaka nikawa nayaona maono yale kwa chini. Mara zile ngazi ziligeuka na kuwa ngazi zinaoendeshwa kwa mashine, zikitembea kutoka chini kwenye moyo wa dunia. Nilipokuwa karibu na Yesu nilijiona salama na chini ya ulinzi.itap an³ da kutoka kuzimu,´ nilisikia sauti ikisema. Yesu alisema, Hay³a yatakuwa, haya hayajatokea bado. Andika ili watu wote wajue. ´ Katika maono yangu ile ngazi iliyokuwa inatembea ilikuwa inaleta kutoka chini mapepo na nguvu za giza. Wale wanyama wawili walisimama, mmoja upande huu na mwingine upande ule wa meli, na niliwaona wakianza kubadilika tena. Niilsikia muungurumo mkubwa, muungurumo wa injili ikizunguka kwa kasi kubwa. Vichwa vya wanyama vikawa vikubwa, namwanga ulianza kujaza mikono yao. Niliona wal wanyama wawili na meli hivi vitatu vikiunganishwa pamoja. Roho nyingi, kama kwamba zinatembea katika usingizi, zikiingia kwenye mnyama mmojawapo. Nilitazama hali hii ya kushangaza kwa masaa mengi, mpaka mwishoni, mojawapo ya mnyama alijaa watu. Nilisikiliza mlio mkubwa kama wa ndege inayotaka kupaa ikitoka kwenye mnyama wa kwanza. Mnyawa alipata nguvu zake kutoka kwenye meli. Alipoanza kuruka alikuwa tena kwenye umbo la binadamu. Alipokuwa anaruka kichwa chake kilionekana kujaa taa na nguvu nyingi zilitoka kwake. Alipokuwa akitoweka kwenye mawingu ,kichwa chakwe kilikuwa meli tena. Nilikuwa bado nasikia mvumo wa mnyama wa kwanza wakati nilpoona mnyama wa pili akijaa roho. Baada ya kujaa nilimwona mnyawa wa pili akipaa kama roketi. Aliungana na mnyama mwingine, na waliondoka taratibu kuingia kwenye anga la kijivu. Huyu mnyama wa pili naye alichukua umbo la mwanadamu. Nilisikia mvumo wao wa nguvu wakitoweka angani. 50 --------------------------------------- 51 Nilijiuliza maana ya mambo haya. Niliona meli, au tufe, ikitulia ardhini. Ardhi ilijifunga mpaka meli isionekane tena. Maono yakiwa yanafifia, niliona chumba kikubwa cha mahakama, na niliwaza juu ya kiti kikubwa cheupe cha enzi cha hukumu. Sura ya 13 Mkono wa Kulia wa Kuzimu Baada ya maono ya kwanza Yesu na mimi tulikwenda kwenye sehemu ya pili ya kuzimu. Yesu alisema, Mambo³ unayoyaona ni kwa ajili ya siku za mwisho.´ Maono mengine yalionekana mbele yangu. Yesu alisema, Tup³ o mkono wa kuume wa kuzimu. Tulitembea kupanda mlima mrefu, mkavu. Tukiwa juu ya mlima tulitazama chini na kuona mto ukitembea. Hakukuwa na mashimo ya moto wala mapepo wabaya, ila mto tu ukitembea kati ya kingo ambazo zilikuwa hazionekani. Kingo za mto zilifichwa katika giza. Yesu na mimi tulitembea karibu na mto, na niliona kuwa ulijaa damu na moto. Nilipochunguza zaidi, niliona roho nyingi, zimefungwa pamoja. Uzito wa minyororo ulizizamisha hadi chini ya ziwa la moto. Roho za kuzimu zilikuwa katika moto wa kuzimu. Niliona pia kuwa zilikuwa skeleton zikiwa na roho ya ukungu wa kikahawia. ³Hiki ni kitu gani?´ Nilimuuliza B wana. ³Hizi ni roho za wasioamini na wasioishi maisha ya utakatifu, hawa waliipenda miili yao wenyewe kuliko kumpenda Mungu. Walikuwa ni wanaume waliokuwa wanawapenda wanaume, na wanawake waliokuwa wanawapenda wanawake, ambao hawakutaka kutubu na kuokolewa kwenye dhambi zao. Waliyafurahia maisha yao ya dhambi nu kuudharau wokovu wangu. Nilisimama karibu na Yesu na kutazama kwenye moto. Moto ulianza kuunguruma kama tanuru kubwa, ukienda na kuharibu kila kitu katika njia yake. Muda si muda ulijaza karibu mkono mzima wa kuume wa kuzimu. Moto ulisogea hadi futi moja kutoka pale tuliposimama, lakini haukutugusa. Moto ulikuwa unaunguza kila kitu katika njia yake. Niliutazama uso wa Yesu, ulikuwa na huzuni na 51 --------------------------------------- 52 mwororo. Upendo na huruma kwa roho zilizopotea bado ulikuwa unasomeka kwenye sura yake. Nilianza kulia na kutamani kutoka kwenye sehemu ile ya mateso, kuendelea kukaa pale ilikuwa haivumiliki. Nilizitazama tena roho zilizokuwa katika moto. Zilikuwa zinawaka kwa wekundu, na mifupa yao ilikuwa mieusi na imechomeka. Nilizisikia roho zao zikilia kwa uchungu na masikitiko. Bwana alisema, Hay³a ni mateso yao. Mnyororo baada ya mnyororo, zimeunganishwa pamoja. Hawa walipenda jinsia moja, waume kwa waume, wake kwa wake, wakifanya mambo yasiyo ya kawaida. Walivuta wasichana na wavulana wengi kwenye vitendo vya dhambi. Walisema ni mapenzi, hatima yake ni dhambi na mauti. "Najua kwamba wavulana wengi na wasichana wengi, wanaume na wanawake, walifanya vitendo hivi vya aibu kwa kulazimishwa bila kupenda. Najua na sitawahukumu kwa dhambi hii. Lakini kumbuka.´ Yesu alisema, ³Nayajua mambo yote, na watu waliosababisha vijana hawa kufanya dhambi wana adhabu kubwa zaidi. Nitahukumu kwa haki. µkwa mwenye dhambi nasema, µtubu, nami nitakuwa na rehema. Niite, nam i nitakusikia.¶ "Mara nyingi nimeziita roho hizi zitubu na zije kwangu. Ningezisamehe na kuzitakasa, na katika Jina langu zingekuwa huru. Lakini hawakutaka kunisikiliza. Walipenda raha za mwili zaidi kuliko kumpenda Mungu aishiye. Kwa sababu mimi ni mtakatifu, ni lazima muwe watakatifu. µusiguse kitu kichafu, nam´i Anitaklisema upBwoankeaa. .¶ Nilijisikia vibaya nilipokuwa nazitazama roho kwenye ziwa la moto. ³Kama tu wangenigeukia bila kuchelewa,´ Yesu aliendeleadam, u ³yangu ingeliwaosha ili kila mtu aje kwangu. Nilitoa maisha yangu ili hata mwenye dhambi mbaya kuliko wote apate kuishi.´ Roho nyingi zilikwenda kwenye mto wa miali ya moto. Juu na chini ya mawimbi ya moto walikwenda, bila njia ya kutokea wakiungua na kuogelea kwenye ziwa la moto. Nilisikia vilio vya kujuta mto wa damu ulipokuwa ukipita kando yetu. Tulitembea kwenye kijia pembeni mwa mto. Mbele yetu, akiwa amekaa kwenye kimlima, alikuwepo mwanamke mnene. Alikuwa anayumba mbele na nyuma kama mtu aliyelewa. Aliandikwa maneno haByaba, eli ³ ya S iri´ Sasa nilijua kwamba mama wa machukizo ya duniani alikuwa anatoka kuzimu. Nguvu kubwa ya uovu ilikuwa inatoka kwake. Niliona kundi kubwa la watu na ndimi chini yake. 52 --------------------------------------- 53 Alikuwa na vichwa saba na pembe kumi. Ndani yake ilipatikana damu ya manabii, watakatifu na wote waliochinjwa juu ya uso wa nchi. "Toka ndani yake na jitenge,´ Bwana alisemka, atik³a wakati wake ataharibiwa.´ Tulitembea kumpita yule mwanamke mwovu mwenye pembe juu ya kichwa chake. Giza lilianza kuingia kila mahali. Sasa Yesu alikuwa ndiye mwanga pekee. Tulitembea mpaka tulipofika kwenye kilima kingine. Kwa mbali niliona miali ya moto katika anga. Hali ya hewa ikaanza kuwa na joto la kukera. Tuliuzunguka mlima na kuja kwenye mlango mkubwa uliotobolewa matundu. Ulikuwa umewekwe kwenye upande wa mlima. Mnyororo mkubwa ulikuwa kwenye mlango na moto mkubwa ulikuwa unawaka nyuma yake. Mlango ulikuwa umefungwa na makufuli makubwa. Nilijiuiliza maana ya mambo haya. Mara umbo jeusi la mtu, akiwa amevaa kofia ndefu nyeusi, alionekana mbele ya mlango. Alionekana mzee sana na mchovu sana. Ngozi ya uso wake ilikuwa imeshikamana na mifupa ya kichwa chake. Alionekana kama ana miaka elfu moja. Yesu aliniambiNa, yuma ³ ya mlango kuna shimo la kuzimu. Neno langu ni hakika.´ Moto nyuma ya mlango uliongezeka mpaka mlango ulivimba kutokana na msukumo wa joto la moto. ³Mpendwa Bwana, ³ nilisema, nitafur³ahi Shetani atakapotupwa kwenye shimo la kuzimu na mambo yote haya maovu yakasimama kwa muda. Ajibu, "Njoo, usikie mambo ambayo Roho ayaambia makanisa. Mwisho umekaaribia, na niwaita watenda dhambi kutubu na kuokoka. Tazama sasa. Tulikuwa tumesimama mahali pa wazi, na nilikuwa na Bwana katika Roho. Nilitazama na kuona maono ya wazi. Katika maono niliona joka kali likianza kupiga hewa na mkia wake mkubwa. Niliangalia namna ambavyo joka hili la kiroho lilivyoenenda kwa nguvu za kutisha. Halafu niliona likiingia kwenye mkono wa kulia wa kuzimu na kusubiri. Nilijua kwamba haliwezi kuipiga dunia mpaka neno la Mungu litimie. Niliona moto na moshi ukipanda kutoka ardhini, na niliona ukungu wa ajabu ukionekana juu ya dunia. Niliona giza ikionekana hapa na pale. Pembe zilianza kuota kwenye kichwa 53 --------------------------------------- 54 cha joka kali. Zilienea mpaka zikaijaza dunia nzima. Shetani alitoa amri kwa lile joka. Kulikuwa na mapepo na roho chafu pale. Halafu niliona lile pepo kali likitoka kwenye mkono wa kulia wa kuzimu na kuipiga dunia kwa nguvu kubwa, watu wengi wakiumizwa na kuangamizwa. Yesu alisema, Hay³a yatatokea siku za mwisho. Twende juu zaidi.´ , Msomaji, kama unatenda moja wapo ya dhambi ambazo nimeziandika hapa, tafadhali acha kutenda dhambi, ita Jina la Yesu atakuokoa. Huna sababu ya kwenda kuzimu.mtafute Bwana maadam yupo karibu. Atakusikia na kukuokoa. Yeyote anayeliita jina la Bwana ataokolewa. Sura ya 14 Mkono wa Kushoto wa Kuzimu Unabii Kutoka kwa Yesu kwa Watu Wote. Yesu alisema,Ma m³ bo haya sasa yameanza kutokea duniani, bado hayajatokea, na yatakuja hivi karibuni kwa dunia nzima. Joka kali ni sehemu ya mnyama. Nabii unazokwenda kusoma ni za kweli. Mafunuo ni ya kweli. Kesha ³Wanaume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa. Waume na wake pendaneni kama nilivyowapenda. Niliagiza ndoa na kuibariki kwa Neno langu. Kitanda cha ndoa kiwe kitakatifu. Jitakaseni na uchafu wote na iweni watakatifu, kama mimi nilivyo Mtakatifu. Watakatifu wa Mungu wamedanganywa na wadanganyaji. Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Uelewa utawajieni kama mtafungua masikio yenu na kunisikiliza. Huu ni ujumbe wa Bwana kwa makanisa. Jihadharini na manabii wa uongo wanaosimama patakatifu pangu na kuwadanganya kwa maneno matamu. O dunia, watakatifu wangu wamelazwa na mafundisho potofu. Amka, Amka! Nawaambia kwamba uchafu wote ni dhambi. Jitakaseni na dhambi zote za mwili na roho. ³Manabii wangu watakatifu waliishi maisha ya utakatifu, lakini mmeasi dhidi yangu Mimi na utakatifu wangu. Mmeasi na kuingia kwenye utumwa wa magonjwa na kifo. Mmetenda maovu na mmaniasi. Mmeziacha amri zangu na hukumu zangu. Hamkuyasikiliza maneno ya watumishi wangu, manabii wa kiume na wa kike. Laana 54 --------------------------------------- 55 badala ya baraka zimewajieni, na bado mnakataa kunigeukia na kutubu dhambi zenu. ³Kama mtarejea na kutubu, na kama mtaniheshimu na tunda la toba, nitabariki nyumba zenu na kuheshimu vitanda vyenu vya ndoa. Kama mtajinyenyekesha na kuniita, nitawasikia na kuwabariki. ³Sikilizeni, Enyi watumishi wa Neno langu takatifu. Msiwafundishe watu wangu kumtendea Mungu wao dhambi. Kumbuka kwamba hukumu inaanzia kwenye nyumba ya Mungu. Msipotubu, nitawaondoa kwa sababu ya dhambi mliyowafundisha watu wangu. Mnadhani Mimi ni kipofu siwezi kuona na kiziwi siwezi kusikia? ³Nyie ambao mnapotosha ukweli na mnajaza mifuko yenu na fedha na dhahabu kwa migongo ya maskini - tubu, nasema mapema kabla hamjachelewa. Siku ya hukumu utasimama peke yako mbele yangu na kutoa hesabu ya vile ulivyofanya na Neno langu takatifu. Ukiniita kwa toba, nitaondoa laana kutoka katika nchi zenu na kuwabariki kwa baraka nyingi. Kama mtatubu na kuona aibu kwa ajili ya dhambi zenu, nitakuwa na huruma na kuwahurumia, na sitazikumbuka dhambi zenu tena. Omba kwamba uwe mshindi. ³Amkia uhai na uishi. Tubu kwa watu uliowapotosha na kuwafundisha yasiyo sahihi.Waambie kwamba umetenda dhambi na kwamba umewatawanya kondoo wangu. Tubu kwao. ³Angalia, naandaa jeshi takatifu. Watafanya makuu kwa ajili yangu na kuharibu mahali penu pa juu. Ni jeshi la wanaume na wanawake watakatifu, wavulana na wasichana. Wamepakwa mafuta kuhubiri injili ya kweli, kuwawekea mikono wagonjwa na kuwaita wakosaji waje kwenye toba. ³Hili ni jeshi la wanaume wafanyakazi, akina mama wa nyumbani, wanawake wasioolewa, na watoto wa shule. Ni watu wa kawaida, maana si wengi miongoni mwa waheshimiwa walioitikia mwito wangu. Nyakati zilizopita hawakueleweka na walifanyiwa jeuri na kukataliwa. Lakini nimewabariki kwa ujasiri wa utakatifu na katika roho. Wataanza kutimiza unabii wangu, na kufanya mapenzi yangu. Nitatembea ndani yao, nitazungumza ndani yao, na nitafanya ndani yao. ³Hawa ni wale walionigeukia kwa mioyo yao yote, roho, akili na nguvu. Jeshi hili litawaamsha, litawazindua wengi kuwa watakatifu na wenye mioyo safi. Hivi karibuni nitaanza kutembea kati yao, kuwachagua wale nitakaopenda wawe katika jeshi langu. Nitawatafuta katika majiji na katika miji. Wengi watawashangaa niliowachagua. Mtawaona wakianza kutembea juu ya uso wa nchi kufanya makuu kwa ajili ya jina langu. Tazama na angalia nguvu zangu zikiwa kazini. 55 --------------------------------------- 56 ³Nawaambia tena, msikinajisi kitanda cha ndoa. Msiunajisi mwili ambamo Roho Mtakatifu anakaa. Dhambi za mwili zinapelekea dhambi za roho. Kitanda cha ndoa kiwe kitakatifu. Nilimuumba mwanaume kwa ajili ya mwanamke na mwanamke kwa ajili ya mwanaume na kuagiza kwamba wawili hawa waunganishwe kwa ndoa takatifu. Nasema tena, zinduka. Niliona maono mengine mengi katika mkono wa kushoto wa kuzimu. Niliagizwa na Bwana kwamba nisiyafunue sasa. Mengi kati ya hayo yalikuwa ni maono ya dunia katika siku za mwisho, wakati watu wa Mungu wengi wataanguka na kupotea. Katika maono, nilipewa ufunuo juu ya mwili wa Kristo, huduma ya watoto wa Mungu, watoto wa mnyama na kurudi kwa BYaaesduay. e ³ unaweza kuyafunua, alisema, ³sio sasa. ³Jeshi hili,´ Bwana alisem ³a,ambalo lilizungumzwa na nabii Yoeli, litainuka kutoka katika nchi na kufanya makuu kwa ajili ya Mungu. Mwana wa Haki atainuka na nguvu za uponyaji katika mabawa yake. Atawakanyaga waovu, na watakuwa majivu chini ya miguu yake. ³wataitwa jeshi la Bwana. Nitawapa vipawa, na watatenda matendo yangu makuu. Watafanya makuu kwa ajili ya Bwana wa utukufu. Nitamwaga Roho yangu juu ya viumbe vyote, na wana wenu na binti zenu watatabiri. ³Jeshi hili litapigana na nguvu za uovu na kuharibu kazi nyingi za Shetani. Litawaleta wengi kwa Yesu kabla siku ya mnyama mwovu haijatokea´, Bwana alisema Yesu alisema, Njo³o, wakati wa kuondoka umefika. Hatimaye tulikuwa tunayaacha maono na mkono wa kushoto wa kuzimu. Nilifurahi sana. Tulipokuwa tunaagana, Yesu alisZiamema, bie ³familia zenu kwamba nazipenda na kuzirudi kwa upendo. Waambie kwamba nitawalinda na ubaya kama wataweka imani yao kwangu. 56 --------------------------------------- 57 Sura ya 15 Siku za Yoeli Nilisikia sauti ikAisndiemka, a, m³ambo haya ni aminifu na kweli.´ Nilikuwa na Bwana tena katika roho. Alikuwa juu na ameinuliwa, sauti yake ilikuwa kama ya radi. ³Angalia, O dunia, mambo haya yapo,yalikuwepo na yatakuja. Mimi ni wa Kwanza na wa Mwisho. Nitumikieni, Muumbaji, kwa maana natoa uhai, sio mauti. Inuka kutoka katika maovu yenu na niite Mimi, na nitakuponya na kukuokoa. Mambo unayosoma katika kitabu hiki ni yakweli, na muda si mrefu yatatokea. "Tubu, kwa maana wakati umewadia, na utukufu wa Bwana utaonekana hivi karibuni. Muwe tayari, kwa maana hamuijui siku wala saa. Itakuwa kubwa thawabu ya wanaosubiri kuja kwangu. Nitawabariki wadogo wangu, wale waliotunza imani na wamenitumikia katika kweli na haki. Kabla hawajafahamu, itawafikia. Nimeandaa baraka kwa wale ambao watakuwa waaminifu kwa wito wao na wale ambao hawakulikana Jina langu. Ninasema. µIkiwa watu wangu, walioitwa kwa Jina langu, watajinyenyekeza na kuomba, nitawasamehe na kuwaponya na kurejeshea walivyopoteza. Ninapenda kusikia, kuponya na kuokoa wote wanaoamini na kuliita Jina langu. "Takasa mfungo, ita kusanyiko takatifu. Wakusanye wazee na wenyeji wote wa nchi katika nyumba yangu, na nililieni. Angalia, siku ya Bwana inakuja kama mwizi wakati wa usiku- siku imefika. ³Niamini Mimi, nami nitarejesha miaka iliyoliwa na nzige, parare na madumadu. "Jeshi langu kubwa ambalo nimeliita halitalegea, litafanya mambo mengi ya ajabu, wala halitashindwa, kwa maana Mimi ndiye nguvu yao. Sauti zao zitakuwa kama tarumbeta, watasema kama ngurumo, na wote watasikia na kujua kwamba Mimi ni Bwana Mungu wenu.´ Mpendwa Bwana Yesu, ni maombi yangu kwamba nihesabike kufaa kuwa katika jeshi hili. Ninataka kuwa katika jeshi hili lakini najua kwamba natakiwa kuwa msafi kama Yesu alivyo msafi na mtakatifu. Kwa damu ya Yesu iliyomwagika, nitakase uchafu wote. Nisaidie niwe na moyo wenye toba, usio na chuki wala uchungu wowote. Baba, ninajua kwamba watu wako wengi wamelala. Ninaogopa kwamba itabidi uvunje vyombo vyetu vya udongo na kutunyenyekeza kama unataka tuwe na matunda ya haki. 57 --------------------------------------- 58 Bwana, sitaki kwenda kuzimu tena na kubaki kule. O Bwana, nisaidie kuwaonya watu. Nipe uwezo wa kufanya kuzimu kusijipanue. Nisaidie mimi na watu wako kuwa wema, wenye moyo wa upole, wenye kusamehe na wanaopendana. Tusaidie kusema kweli wakati wote. Najua kwamba Yesu Kristo anakuja hivi karibuni, na zawadi zake zipo pamoja naye. Najua kwamba ujumbe wangu kwa ulimwengu ni: Tubuni, maana Siku ya Bwana i karibu. ³Baba, sitaki damu ya watu hawa kuwa mikononi mwan gu.´ Sura ya 16 Kitovu cha Kuzimu Bwana na mimi tulienda kuzimu tena. Yesu aliniMwanaambingu,a, kwa³ kusudi hili ulizaliwa, kuandika na kueleza niliyokuambia na kukuonyesha. Kwa maana mambo haya ni amini na kweli. Nimekuita ili kuuambia ulimwengu kupitia wewe kwamba kuna kuzimu, lakini nimetengeneza njia ya kukwepa. Sitakuonyesha sehemu zote za kuzimu. Na kuna mambo ambayo yamefichika ambayo siwezi kukufunulia. Lakini nitakuomyesha mambo mengi. Sasa njoo uone nguvu za giza na mwisho wake. Tulikwenda tena kwenye tumbo la kuzimu na tulianza kutembea kuelekea upenyo mdogo. Niligeuka kuangalia tulikokuwa tunakwenda na nikaona tulikuwa kwenye ngazi pembeni mwa selo katikati ya kuzimu. Tulisimama kwenye selo mlimokuwa na mwanamke mrembo. Juu ya selo yaliandidkwa maneno ³B.C.´ ( yaani K abla ya Kristo) Nilimsikia yule mwanamke akiBsewma,ana , nilij³ ua siku moja utakuja. Tafadhali nitoe kwenye sehemu hii ya mateso.´ Alivaa nguo za zama za kale, na alikuwa mrembo sana. Nilijua kwamba alikuwapo hapa kwa karne nyingi lakini hakuweza kufa. Roho yake ilikuwa katika mateso. Alianza kuvuta nondo na kulia. Kwa sauti ya upole Yesu aliAsmeani,ma, tul³ia.´ Alizungumza na huzuni katika sauti yake. M³wanamke, unajua kwa nini upo hapa?. 58 --------------------------------------- 59 ³Ndio,´ alisema, lakini ³ naweza kubadilika. Nakumbuka, ulipowatoa wengine wote paradise. Nakumbuka maneno yako ya ukombozi. Sasa nitakuwa mtu mzuri,´ alilia, ³na nitakutumikia.´ Alishika nondo za selo katika mikono yake midogo na alianza kupiga kelele, Nitoe³ , nitoe! Baada ya hayo alianza kubadilika mbele ya macho yetu. Nguo zake zilianza kuungua. Nyama ilidondoka, na kilichobakia ni mifupa mieusi na mashimo ya macho yaliyoungua badala ya macho na roho ndani yake. Niliangalia kwa hofu mwanamke yule alipoanguka kwenye sakafu. Uzuri wake wote ulitoweka mara moja. Ilisumbua akili yangu kuwaza kuwa alikuwapo hapa kabla ya kuzaliwa kwa Kristo. Yesu alimwambia, Ulij³ua ukiwa duniani mwisho wako ungekuwaje. Musa aliwapa torati, na uliisikia. Lakini badala ya kutii sheria yangu, uliamua kuwa chombo katika mikono ya Shetani, mnajimu na mchawi. Uliweza hata kufundisha uchawi. Ulipenda giza kuliko nuru, na matendo yako yalikiwa maovu. Ungelitubu kwa moyo wako, Baba yangu angelikusamehe. Lakini sasa, umechelewa. Kwa huzuni na masikitiko katika mioyo yetu, tuliondoka. Hakutakuwa na kikomo cha mateso na kuumia kwake. Mikono yake iliyokuwa mifupa mitupu ilinyooshwa kwetu tulipokuwa tunaendelea mbele. ³Mwanangu,´ Bwana alisema, Shetani³ anatumia njia nyingi kuwaharibu wanaume na wanawake wazuri. Anafanya kazi mchana na usiku, akijaribu kutafuta watu wa kumtumikia. Ukishindwa kuchagua kumtumikia Mungu, umechagua kumtumikia Shetani. Chagua uhai, na kweli itakuweka huru. Baada ya kutembea kwa muda mfupi, tulisimama mbele ya selo nyingine. Nilisikia sauti ya mwanaume ikiita, ³Nani yupo hapo? Nani yupo hapo?´ Nilishangaa kwanini alikuwa anaita. Yesu alisema, Ni ki³pofu. Nilisikiliza sauti na kuangalia. Mbele yetu kulikuwa na pepo kubwa ambalo mabawa yake yalionekana kama yamevunjika. Alitazama bila kutuona. Nilisogea karibu na Yesu. Pamoja, tuligeuka na kumtazama mtu aliyezungumza. Nayeye alikuwa katika selo, alikuwa ametupa mgongo ± alikuwa skeletoni amezungukwa na moto na harufu ya mauti. Alikuwa anapunga mikono katika hewa na kusema, N³isaidie, nisaidie ni! Kwa upole, Yesu alimwambiBwaa, na, ³ amani, tulia. Mtu yule aligeuka na kusBewma,ana, nilijua ³kwamba ungekuja kwa ajili yangu. Natubu sasa. Tafadhali nitoe. Nilijua kwamba nilikuwa mtu mbaya na nilitumia ulemavu wangu kujinufaisha. Najua nilikuwa mfanya mazingaombwe na niliwapeleka wengi kwa Shetani. 59

    Hakuna maoni:

    Visits

    Translate