Imenakiliwa kutoka katika CD ya audio, Sio kutoka katika kitabu chake. Kwa
simulizi iliyokamilika, tafadhali nunua kitabu
chake! Hii*
*imetoka katika mkutano wa Kansas City, KS
ulioitwa "Kansas City kwa ajili
ya America". Uzoefu huu wa kuzimu ulitokea Novemba 23,*
*1998. www.DivineRevelations.info/SWAHILI <http://www.divinerevelations.info/SWAHILI >* *(Utangulizi na mtangazaji)*
Miezi michache iliyopita, Mike Bickle, ambaye
ninafanya kazi nae katika
Nyumba ya Kimataifa ya Maombi
( <http://www.fotb.com/>International House of Prayer <http://www.fotb.com/> <http://www.fotb.com/>), alinisihi nifundishe juu ya somo la Kuzimu. Wakati
najifunza somo hilo, nilipewa
kanda na rafiki aitwaye Steve Carpenter,
kwenye kanda hiyo kulikuwa na
ujumbe ambao utaenda kusikia kutoka
kwa Bill Wiese na mke wake Annette. Ujumbe wake ulibadili Dunia yangu. Na
moja kwa moja ilibadili namna
ambavyo familia yangu, marafiki zangu, na
hata watu nisiowajua. Iliwabadili
moja kwa moja. Siongezi
chumvi,kwa hiyo usifikirie naongea kwa kuzidisha maneno hapa, Ilibadili
jinsi navyotazama kweye miaka
michache niliyobakiza hapa duniani. Ni maombi
yangu kwamba Mungu atafanya
hivyo hata kwako leo. Siongezi
chumvi umuhimu wa ujumbe huu. Bill ni Mkristo. Aliyatoa maisha yake kwa
Kristo alipokuwa na umri wa miaka
16. Amemjua Bwana kwa miaka 32. Alihamia
California mwaka 1976 na alitumia
miaka 10 akiwa chini ya
huduma ya Mchungaji Chuck Smith pale Costa Mesa , California. Bill ni
muonaji, kama alivyo mke wake. Kwa
miaka 15 iliyopita , Bill amekuwa katika
mikutano na katika uongozi kwa
misimu tofauti ya Eagles Nest, chini ya
uchungaji wa Dk Gary Greenwald , pale Orange County, California. Mchungaji
huko Eagles Nest aitwaye
Mchungaji Raul alikuja kwa Bill na alisema
miezi kadhaa iliyopita , "*Bill,
Mungu atakwenda kufanya kazi ya*
*uamsho atakwenda kuanzia Cansas City kwa America. Atakupeleka pale na
inabidi uende*". Bill na Annette
hawakuwahi kwenda Kansas City katika
maisha yao yote. Siku iliyofuata, mimi
nilimpigia Bill na nikasema," Je,
unaweza kufikiria kuja Mji wa Kansas? *Nimeona video yako na nadhani
unatakiwa kuja *. " Naamini wako hapa
kwa ajili ya amri ya Mungu.
Utaenda kusikia maono ya Kuzimu, lakini
muhimu zaidi, utakwenda kusikia
maono ya uhusiano wa karibu na Yesu Kristo na upendo alionao kwa dunia
nzima. Bill alikuwa kuzimu. Hakuwa
akiangalia kwa kawaida, kama
watu wengi wamekuwa katika maono halali,
lakini alipata uzoefu wa mateso ya
kuzimu kwa muda wa nusu saa na hakuwa na matumaini kabisa ya kutoka milele.
Bill na mke wake wamejitoa kwa
Yesu Kristo kikamilifu, na kwa
kazi ya Mungu, na kwa uongozi wa Roho
Mtakatifu. Utakwenda kumsikiliza pia.
Tafadhali nawakaribisha Bill na Annette Wiese.
------------------------------
*Page 2*
2
*(Bill Wiese anaongea)*
Ni heshima kuwa hapa. Safari hii yote imekuwa baraka sana kwetu. Kama Hal
alivyosema, Tuko katika biashara
isiyotambulika sana. Hatufanyi hivi kwa ajili ya
kuishi. Hatufanyi hivi kwa
fedha. Sisi tunachojua ni kwamba
Mungu ametuambia kwenda na kuwaambia dunia kuhusu upendo wake kwa watu na
mahali pale Yeye hataki
yoyote wa viumbe wake kwenda. Hiyo ndiyo
sababu tuko hapa. Hivyo, kwa ajili
ya muda, nitakwenda kufupisha
ushuhuda huu na kusimulia moja kwa moja. Lakini kwanza nataka kusema mambo kadhaa,
maswali ambayo yanaweza kuwa
katika akili yako. Swali la
kwanza kwangu kama ingekuwa najisikiliza,
ingekuwa, "Umejuaje haikuwa ndoto
tu uliyoisikia? Ndoto mbaya?" mambo kazaa ya kuzingatia, kwanza kabla ya
yote, Niliuacha mwili wangu.
Nikauona mwili wangu wakati narudi,
umelazwa juu ya sakafu. Hivyo nilijua kwa
uhakika nilikuwa nje ya mwili
(out of body experience). Baadhi ya wakristo wamesema, "*Oh Mkristo hawezi
kuuacha mwili wake.*" Lakini hiyo si
kweli, Katika 2 Wakorintho 12:2,
wakati Paulo alipokuwa juu katika mbingu ya
tatu, Alisema, *"kama katika
mwili, au nje ya mwili sijui." *Hivyo kama hujui hii inamaanisha kuwa
inawezekana. Na pia alisema katika mstari
wa kwanza kwamba ilikuwa ni
maono, hivyo naamini hii inakuja chini ya
uainishaji wa maono.
Katika Ayubu 7:14 inasema, "*unitishapo kwa ndoto na kunishangaza mimi kwa
maono*." Hivyo hii ni dhahiri hiki
ndicho Bwana alifanya, alinishangaza kwa njia
ya maono. Pia niliporudi
kutoka katika uzoefu huu, ilinichukua
mwaka mzima kutulia, na kuwa kama mtu wa kawaida tena. Nilikuwa nimezimia
moyo na kuchanganyikiwa
kutokana na hofu kwamba ilibadili mtizamo
wangu wa jinsi ya kushuhudia na
kiasi gani kutambua kile nini
Mungu alituokoa nacho. Nitamuomba mke wangu aje kwa dakika
chache ili aweze kushiriki tu
kilichotokea wakati yeye aliponikuta katika
sebule, kwa sababu mimi sikumbuki kwa
sehemu hiyo. Hivyo nataka yeye aseme
maneno machache. Asante. *(Mke wa Bill anaongea)*
Ilikuwa yapata saa 09:23 alfajiri nilipoamka.
Nimekumbuka hilo kwa sababu
nilitazama saa yetu ya digital, na
niliona Bill hakuwa karibu na mimi, nikasikia
kelele zinatokea sebuleni. Nilianza kutembea/kushuka koridoni.
Nilimuona mume wangu kwa namna ambayo
sikuwahi kumwona kabla. Kama kuna mtu
anamjua Bill, yeye ni mtu
wa misimamo kwa asili, mtaratibu sana, na mtu
mtaalamu. Yeye si mtu wa kupata msisimko tu au kupata hisia za
haraka juu ya kitu chochote, isipokuwa Mungu
anapokuwa kazini. Lakini,
hatahivyo, nilimuona pale akiwa
ameshikwa na butwaa/mshangao, akiwa
ameshika kichwa chake, akiwa ameweka kichwa chake katika mikono
yake akipiga kelele na mayowe. Alikuwa katika
hali ya kujilaza chali
sakafuni amejikunja. Sikujua nini cha
kufanya. Nilidhani alipatwa na ugonjwa wa
moyo. Nilianza kuomba na alilia na akasema, *"Omba kwa Bwana ili*
*aliondoe hili nje ya akili yangu! Bwana
amenipeleka Kuzimu. Najisikia kama
mwili wangu umekufa, siwezi*
*kulibeba hili." *Kwa hiyo nikaendelea kuomba
juu yake, na katika muda wa dakika kumi hadi ishirini alianza
kutulia. Alikuwa katika hali ya mshangao, kama
mtu ambaye alikwenda Vietnam
na akatokea tena kwa mara ya
pili, au mtu aliyeponea ajali ya gari ya kutisha.
Haikuwa tu mtu ambaye alikuwa anaota ndoto mbaya na akaamka.
Hivyo ndivyo nilitaka kushuhudia.
*(Bill Wiese anaongea)*
Nimebarikiwa kuwa na mwanamke mzuri.
Kweli namshukuru Mungu. Nimekuwa
katika ndoa kwa miaka minne, na nimemjua kwa miaka sita ya maisha yangu,
ninaweza kusema, asifiwe Mungu.
Nilitaka kujua zaidi niliporudi kutoka katika
uzoefu huu, kama kuna yoyote
katika Biblia ambaye amewahi kupata
uzoefu huu. Kwa hiyo nikaanza kufanya utafiti. Huwa namsikiliza Chuck
Missler sana. Yeye ni mwalimu wa
------------------------------
*Page 3*
3
Biblia katika mataifa mengi, msomi halisi na yeye alisema kuwa Yona
alipatwa na uzoefu wa Kuzimu. Katika
Yona 2:2 inasema, *"katika Kuzimu alipiga
kelele." *Na Katika Yona 2:6
inasema, " *Nalishuka hata pande za chini*
*za milima; Hiyo nchi na mapingo yake yalinifunga hata milele; Lakini
umeipandisha nafsi yangu kutoka shimoni, *
*Ee Bwana, Mungu wangu, *Basi angalau
kulikuwa na mtu katika Biblia mwenye
uzoefu na kuzimu, Yona. Nilitaka
kujua, kwa sababu nilikulia katika siku za mwanzo za kanisa la Calvary,
uzoefu wowote wa kiroho ambao uliupata
ni lazima uendane na Neno la Mungu. Hivyo
nilijua kuwa kama uzoefu huo ni
kweli, basi utakuwa tayari upo
katika maandiko. Kwa hiyo nikaanza kufanya utafiti na nimeona zaidi ya
maandiko 400 ambayo yanaonyesha kila
kitu nilichokiona, nilichosikia, nilichohisi, na kila
kitu kinachohusiana
na Kuzimu. Tayari kimeandikwa, hivyo
chochote nawaambia tayari kiko pale. Nitafanya kukuhakiki baadhi ya
maandiko. Siwezi kunukuu yote 400, lakini
nitafanya kwa baadhi. Pia walipatikana watu 14
wengine ambao tayari
walikuwa na uzoefu wa baadhi ya sehemu
ya Kuzimu. Wengi wao walikuwa karibu na kifo, watu katika hospitali
waliokufa wakarudia tena uhai wao.
Hivyo kwa haraka tu: Mimi na mke wangu
tulikuwa katika mkutano wa Jumapili
usiku wa maombi ambao sisi
mara nyingi hudhuria na wachungaji wetu. Na baadae tukaenda nyumbani kama
kawaida ili kulala. Ilipofika saa
09:00 asubuhi nilichukuliwa. Sikujua jinsi
nilivyoondoka pale mpaka wakati
niliporudi. Kisha Bwana alianza
kunielezea. Hata hivyo nilitupwa tu katika chumba cha
gereza, kama gereza lolote
unaloweza kufikiria, lenye kuta mbaya na
mihimili ya mlango. Sikujua bado ambapo
nilikuwa. Nilichojua ni kwamba
kulikuwa na joto sana, joto sana. Sikuamini, kwamba nilikuwa bado hai. Nilihisi
kama ningekufa na kujitenga
na moto huu, lakini bado nilikuwa
hai. Kulikuwa na mwanga mdogo katika
chumba kwa muda kidogo, na nikaamini
kuwa uwepo wa Bwana ulikuwa pale kwa ajili yangu ili niweze kuona tukio zima
kwa uzuri, lakini baada ya
dakika moja giza liliingia tena
Katika Isaya 24:22
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2024:22;&version=50 ;>inasema:
*" Nao watakusanywa pamoja kama vile
wakusanywavyo wafungwa katika shimo
nao*
*watafungwa katika gereza….*
Mithali 7:27 <http://www.biblegateway.com/passage/? search=Proverbs%207:27;&version=50 ;>"
Nyumba *yake ni njia ya kwenda kuzimu,
Hushuka mpaka vyumba vya mauti*" Kwa
chemba ina
maana ya vyumba". Kwa hiyo sehemu ya
kuzimu ina selo, vyumba, mashimo ya moto, na maeneo makubwa ya
moto, hivyo nilikuwa katika selo ya kuzimu.
Katika Yona 2:6
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Jonah%202:6;&version=50 ;>,
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Jonah%202:6;&version=50 ;> *"Hiyo
nchi na mapingo yake yalinifunga hata
milele…; "*
Na Ayubu 17:16
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Job%2017:16;&version=50 ;>"*Litashuka
kwenye makomeo ya kuzimu,… *"
Kwa hiyo tena, kila kitu nilichokiona kilikuwa
katika Neno. Mawe
yanaongelewa katika
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=%20Isaiah%2014:19;&version=50 ;>Isaya
14:19.
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=%20Isaiah%2014:19;&version=50 ;>
Nikajikuta katika selo, na viumbe hawa 4
walikuwa katika selo na mimi.
Sikujua walikuwa mapepo wakati huo,
kwa sababu nilikwenda huko kama mtu
ambaye hajaokoka. Mungu aliliondoa hili katika akili yangu kwamba
mimi ni Mkristo niliyeokoka. Sikuelewa kwa
nini, lakini alinifafanulia
kwangu juu ya hili hapo nilipokuwa
nikirudi. Viumbe hawa, sikuweza kutambua
kwamba walikuwa mapepo, lakini walikuwa wakubwa. Walikuwa
kama futi 12 au 13 kwa urefu, mmoja
utamuona katika video. Mmoja wa watu
ambao walitoa ushuhuda wao,
aliona pepo sawa na yule niliyemuona. Hivyo
utaona mmoja anavyofanana. Kuna picha nzuri kwa kweli katika
video ambapo kijana mmoja alivutwa hadi
katika misingi ya Kuzimu. Ni
ushuhuda wa Kenneth Hagin..
Kivyovyote walikuwa wanatisha. Huyu mmoja
alikuwa na magamba juu ya mwili wake wote, taya kubwa na
meno makubwa, na makucha yamejitokeza,
pamoja na macho yalioingia ndani.
Yaani walikuwa wakubwa. Na
huyu pepo mwingine hakuwa anaonekana
kama huyu kabisa, lakini alikuwa na mapezi makali pote na mkono
mmoja mrefu na miguu isiyo na uwiano. Kila
kitu kilikuwa kimekaa vibaya na
vilicheza pasipo uwiano, hakuna
------------------------------
*Page 4* 4
ulinganifu, hakuna ulinganifu, mkono mmoja
mrefu na mmoja mfupi yaani ni
viumbe visivyo na muonekano
mzuri, vinatisha, vya kuogofya.
Basi, walikuwa wanamtukana Mungu. Muda wote walikuwa wanamlaani Mungu. Mimi
nikajiuliza, *"Kwa nini*
*wanamlaani Mungu? Kwa nini wanamchukia
Mungu hivyo?" *Kisha wakanigeukia
mimi, na mimi nikahisi vivyo
hivyo wanavyojisikia kwa Mungu na mimi wananichukia na tena Nilifikiri: *Kwa
nini wanachukia?Na sijafanya*
*lolote kwao" *Lakini wananichukia mimi na
chuki ambayo sijawahi kuiona
katika dunia; kwa namna zaidi ya
mwanadamu anaweza kunichukia. Kabisa walinichukia mimi, na mimi nilifahamu
walikuwa wameletwa ili
wanitese.
Kulikuwa na mambo ambayo nitakwenda
kusema, ambayo sijui ni jinsi gani
niliyajua. Kule kuzimu fahamu zako ni halisi zaidi, unafahamu zaidi ya miili yetu.
Niliweza kufahamu umbali,
Nilifahamu muda, na kadhalika,
nilifahamu mengi zaidi kuliko unapokuwa hapa.
Nilijua mapepo hayo yaliwekwa
pale kwa ajili yangu, ili yanitese milele mahali hapo.
Nilikuwa nimelala juu ya sakafu katika selo hii
na sikuwa na
nguvu kabisa katika mwili wangu. Nikajiuliza,
*"Kwa nini siwezi*
*hata kujisogeza, nina tatizo gani?" *Nilikuwa nafahamu kuwa
sina nguvu, na sikuwa na msaada wowote.
Pepo moja likanibana
na kunichukua na kunirusha kwenye ukuta
kama kioo.
Alinichukua kama uavyochukua kioo. Hivyo ndivyo jinsi
nilivyokuwa mwepesi, au jinsi nguvu zake
zilivyokuwa. Na
Alinirusha katika ukuta, na kila mfupa katika
mwili wangu
ulivunjika. Na nilihisi maumivu! Nikawa nimejilaza sakafuni
nikipiga kelele za kutaka msaada, lakini viumbe
hawa hawana
huruma yoyote wakati wote, hawana huruma
kabisa.
Mmoja alininyanyua, na mwingine mmoja, mwenye makucha makali mithili ya
wembe, aliukata mwili wangu.
Akaurarua kabisa, na hakuwa anajali kabisa
kwa habari ya mwili huu wa ajabu
ambao Mungu aliuumba. Alikuwa
na chuki ambayo ilikuwa ni kali sana dhidi yangu. Nikajiuliza, *"Kwa nini
niko hai, kwa nini ningali hai katika hili?*
*Sielewi kwa nini sijafa." *Mwili wangu ukawa
umetundikwa katika
riboni/cheni. Na hapakuwa na damu, ila ni
mwili tu umetundikwa, kwa sababu maisha yako katika damu, na hakuna maisha
Kuzimu. Na hakuna maji katika
Kuzimu.
Katika Isaya 14:9-10
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2014:9-10;&version=50 ;>
inasema
*Kuzimu chini kumetaharuki kwa ajili yako, Ili
kukulaki utakapokuja;
Huwaamsha waliokufa kwa ajili*
*yako, Naam, walio wakuu wote wa dunia; Huwainua wafalme wote wa mataifa,
Watoke katika viti *
*vyao vya enzi. Hao wote watajibu na
kukuambia, Je! Wewe nawe umekuwa
dhaifu kama sisi! Wewe*
*nawe umekuwa kama sisi!* Zaburi 88:4
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Psalms%2088:4%20;&version=50 ;>
*Nimehesabiwa pamoja nao washukao
shimoni; Nimekuwa kama mtu asiye na
msaada. *
------------------------------
*Page 5* 5
Na tunafahamu ya kuwa shetani anazo nguvu,
katika maandiko ambapo palikuwa
na mtu mwenye pepo akiishi
katika eneo la makaburi, biblia inasema:
Marko 5:1-4 <http://www.biblegateway.com/passage/? search=Mark%205:1-4;&version=50 ;>
*Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya
Wagerasi.Na alipokwisha kushuka
chomboni, mara *
*alikutana na mtu, ambaye ametoka
makaburini, mwenye pepo mchafu; makao yake yalikuwa pale*
*makaburini; wala hakuna mtu ye yote
aliyeweza kumfunga tena, hata kwa
minyororo; kwa sababu*
*alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na
minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunja-vunja *
*zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na
nguvu za kumshinda. *
Hawakuweza kumfunga, alivunja minyororo
vipande vipande. Na huyo alikuwa tu
mtu mwenye nguvu ya mapepo. Nilielewa mapepo haya yalikuwa na nguvu
mara 1000 zaidi ya mtu. Hivyo hata
kama nilikuwa na nguvu yangu ya
asili, sikuweza kupigana nao kuwashinda.
Hivyo nilikuwa pale nikitegemea
huruma yao, ambapo hawakuwa na huruma yoyote. Mapepo huongoza maisha
yako kuzimu.
Harufu ya mapepo haya na harufu ya Kuzimu
ilikuwa mbaya inatisha, Siwezi
hata kukuelezea wewe. Kulikuwa na
harufu ya mwili unaoungua, na ya salfa. Harufu ya mapepo haya ilikuwa kama
mfereji wa maji machafu ulio wazi,
yaliyooza, nyama iliyooza, mayai
yaliyoharibika, maziwa yaliyochacha na
kila kitu ambacho unaweza kufikiria.
Zidisha, mara 1000, na uiweke juu ya pua yako. Na uvute hewa ndani. Ilikuwa
na sumu sana,ambayo inaweza
kuua, kama ungekuwa hapa katika mwili huu,
unaweza ukafa. Na mimi
nilijiuliza, "*Kwa nini naweza kuishi katika*
*harufu hii, na ni mbaya sana ya kutisha?" *Lakini tena huwezi hata kufa,
unatakiwa kuivumilia.
Makufuru, ambayo walikuwa wakimkufuru
Mungu yameelezwa katika Ezekieli
22:26
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Ezekiel%2022:26;&version=50 ;>" *nami
nimetiwa *
*unajisi kati yao. *"
Kufuru, lugha ya matusi na kukashifu.
Mateso waliyokuwa wakinifanyia yametajwa
katika Kumbukumbu la Torati 32:22-24
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Deuteronomy%
2032:22-24;&version=50 ;>
.
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Deuteronomy%
2032:22-24;&version=50 ;>
*Maana, moto umewashwa kwa hasira yangu,
Unateketea hata chini ya kuzimu,
Unakula dunia pamoja *
*na mazao yake, Unaunguza misingi ya milima.
Nitaweka madhara juu yao chunguchungu; Nitawapiga*
*kwa mishale yangu hata ikaishe;Watakonda
kwa njaa, wataliwa na makaa ya
moto, Na uharibifu *
*mkali; Nitawapelekea meno ya wanyama
wakali, Pamoja na sumu ya wadudu watambaao mavumbini. *
Hivyo kuna meno ya mnyama juu yako.
2 Samueli 22:6
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=2%20Samuel%2022:6;&version=50 ;>
inasema:
*Kamba za kuzimu zilinizunguka; Mitego ya
mauti ikanikabili. *
Na katika Mika 3:2
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Micah%203:2;&version=50 ;>kuna
mstari wa mzuri ambapo wafilisti,
waliowachukia waisraeli walisema:
*Ninyi mnaoyachukia mema, na kuyapenda
mabaya; ninyi mnaowachuna watu ngozi
yao, na nyama* *mifupani mwao. *
------------------------------
*Page 6*
6
Hivyo ndivyo walivyowafanyia watu wa Israeli.
Hiyo ilikuwa katika uhalisia, je ni wapi walipata wazo hilo? Hilo
wazo la kufanya hivyo lilitoka kuzimu. Hivyo
ndivyo mapepo hufanya, na
rehema je? Kuna rehema Mbinguni tu.
Rehema inatoka kwa Mungu, na shetani hana
maarifa yeyote kuhusu wema wowote ule, yuko kinyume kabisa
kuhusu hilo. Zaburi 36:5
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Psalms%2036:5;&version=50 ;>
*" Ee Bwana, fadhili zako zafika hata mbinguni,
Uaminifu wako hata
mawinguni.."*
Na Zaburi 74:20
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Psalms%2074:20;&version=50 ;>inasema:
*Ulitafakari agano; Maana mahali penye giza
katika nchi Pamejaa makao ya
ukatili. *
Ni mahali pa kutisha penye ukatili, huzuni
ambao unatakiwa uvumilie. Unatakiwa kuvumilia mambo haya yote.
Mungu amemfanya mwanadamu kwa kiwango
cha juu cha uumbaji, na mapepo haya
ni uumbaji wa kiwango cha
chini. Sisi kama binadamu tunafanya kazi kwa
bidii ili kuendelea mbele na maisha, tunajifanyia ubora sisi
wenyewe, tunajifunza. Lakini kule kuzimu,
maisha yako yanaongozwa na
mapepo. Viumbe hawa wana IQ sifuri,
viumbe hawa ni wajinga kabisa. Kile wanacho
kijua ni chuki kwa Mungu, chuki kwako wewe na mateso. Na
wanaongoza maisha yako, na huwezi kufanya
lolote kuhusu hilo.
Kuna maandiko kuhusu udhalilishaji
unaotakiwa kukabiliana nao. *"Jambo hili
linakwenda kuongoza maisha* *yangu, siwezi kuliacha!" *Katika Isaya 5:
14-15
*Kwa hiyo kuzimu kumeongeza tamaa yake,
kumefunua kinywa chake bila kiasi;
na utukufu wao, na *
*wingi wao, na ghasia yao, naye pia afurahiye miongoni mwao, hushuka na
kuingia humo. Na mtu*
*mnyonge ainamishwa, na mtu mkubwa
amedhilika, na macho yao walioinuka
hunyenyekezwa, *
Isaya 57:9-16 <http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2057:9-16;&version=50 ;>
*Ulimwendea mfalme na mafuta ya marhamu,
ukaongeza manukato yako, ukawatuma
wajumbe wako*
*waende mbali, ukajidhili sana hata kuzimu.
Ulikuwa umechoka kwa ajili ya urefu wa njia yako; lakini*
*hukusema, Hapana matumaini; ulipata
kuhuishwa nguvu zako; kwa sababu hiyo
hukuugua. Tena ni *
*nani uliyemwogopa na kumhofu, hata
ukasema uongo, wala hukunikumbuka mimi, wala kuweka hayo *
*moyoni? Je! Mimi sikunyamaza tangu zamani,
hata huniogopi?Mimi nitatangaza
haki yako, na *
*matendo yako hayatakufaa. Utakapolia, na
wakuponye hao uliowakusanya; lakini upepo*
*utawachukua; uvuvio tu utawachukulia mbali;
lakini yeye anayenitumaini
ataimiliki nchi, na kuurithi*
*mlima wangu mtakatifu. Naye atasema,
Tutieni, tutieni, Itengenezeni njia, Kiondoeni kila kikwazacho*
*Katika njia ya watu wangu. Maana yeye aliye
juu, aliyetukuka, akaaye
milele; ambaye jina lake ni*
*Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali
palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye*
*na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua
roho za wanyenyekevu, na
kuifufua mioyo yao *
*waliotubu. Kwa kuwa sitashindana na watu
siku zote, wala sitakuwa na hasira siku zote; maana roho *
*ingezimia mbele zangu, na hizo nafsi
nilizozifanya.*
Ezekieli 32:24
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Ezekiel%2032:24;&version=50 ;>
*Elamu yuko huko, na watu wake wote jamii,
pande zote za kaburi lake; wote
pia wameuawa, *
*wameanguka kwa upanga, walioshuka hali
hawana tohara hata pande za chini ya nchi; ambao*
------------------------------
*Page 7*
7
*waliwatia watu hofu katika nchi ya walio hai,
nao wamechukua aibu yao, pamoja nao washukao*
*shimoni. *
Inaendelea na kuendelea. Hiyo ilikuwa ni kitu
kibaya kuona maisha yako
yanaongozwa na viumbe hawa, ambao
hawana hata huruma kwa lolote lile! *(Giza na vilio kuzimu)*
Nilikuwa nimelala katika selo na mara pakawa
giza, kiini, kiini cha weusi
wa giza. Namaanisha giza ambalo
sijawahi kuliona kabla. Na nilikuwa chini kabisa
katika mapango, ni chini sana kama katika migodi ya chuma kule
Arizona. Kulikuwa na giza ambalo huwezi hata
kufikiria. Niliweza kutambaa
kuelekea nje, kwa namna fulani
niliweza kutambaa na waliniacha kidogo.
Nilikumbuka ambapo mlango ulikuwa hivyo nikatambaa kuelekea
kwenye mlango na nikatoka nje ya selo.
Nikaangalia mwelekeo mmoja, na
tazama ni peusi pote, na nilichosikia
ilikuwa ni mayowe, mabilioni ya watu walipiga
mayowe mahali hapo. Nilijua kulikuwa na mabilioni, na kulikuwa
na sauti kubwa. Kama umewahi kusikia mtu
akipiga kelele, huwa inachukiza.
Naam kama wewe ukisikia
mabilioni ya watu wakipiga mayowe, huwezi
kufikiria ni jinsi gani inaathiri akili yako. Hauwezi kuvumilia.
Unajaribu kushikilia masikio yako kwa sababu
sauti ni kubwa lakini
inapenya. Huwezi ukakimbia mayowe haya.
Na hofu inayokujia inakuwa ya ajabu. Kila kitu
kinaongozwa na hofu. Hakuna uwepo wa Mungu katika sehemu
hii, hivyo inakupasa kuishinda hofu na mateso
na giza wewe mwenyewe. Huwezi
kuona chochote. Huwezi hata
kuona ni kitu gani kinakuja dhidi yako.
Maandiko yanasema sana kuhusu giza hili *Zaburi 88: 6*
*Mimi umenilaza katika shimo la chini, Katika
mahali penye giza vilindini. *
Ufunuo16:10
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Revelation%2016:10;&version=50 ;>
*Na huyo wa tano akakimimina kitasa chake
juu ya kiti cha enzi cha yule
mnyama; ufalme wake*
*ukatiwa giza; wakatafuna ndimi zao kwa
sababu ya maumivu, * Yuda 1:13
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Jude%201:13;&version=50 ;>
*Ni mawimbi ya bahari yasiyozuilika, yakitoa
aibu yao wenyewe kama povu; ni
nyota zipoteazo, ambao*
*weusi wa giza ndio akiba yao waliowekewa
milele.* Na kulikuwa na giza ambalo unaweza ukalihisi,
kama ilivyoonyeshwa Kutoka
10:21
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Exodus%2010:21%20;&version=50 ;>
*Bwana akamwambia Musa, Nyosha mkono
wako kuelekea mbinguni, kuwe giza juu
ya nchi ya Misri, *
*watu wapapase-papase gizani. *
Unaweza ukalihisi giza hili. *(Hofu kuzimu)*
Hofu niliyopata niseme tu, ilikuwa kubwa sana.
Inakukamata. Kama umewahi
kuona muvi(tamthilia) za
kutisha,ambapo hofu inakukamata mpaka
kwenye koo, sasa unaweza ukachukulia hiyo na ukazidisha mara 1000
hivi, na ukawa nayo hiyo wakati wote, na
ninafahamu kitu kuhusu hofu.
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nikiogelea.
Nilipokuwa mdogo sana tulikuwa katika ufukwe
wa Coco Frolida tukiogelea na kulikuwa na kundi la papa
walikuwa wakinizunguka. Na papa wa karibu
futi 9 alikuja na kuupiga ubao
wangu wa kuogelea kwa katikakati.
------------------------------
*Page 8* 8
Alinichuchuka kwa mguu wangu na kunivuta
chini. Hivyo mguu wangu ulikuwa
kwenye mdomo wa huyu papa
mkubwa. Nilikuwa bado sijawa mkristo,
nilikuwa hata sijaokolewa. Na mara gafla aliniacha ili niondoke.
Nafahamu Mungu alifungua kinywa cha Yule
papa. Lakini kwa muda mfupi huo
hofu inayokuijia ni kubwa sana
ya kushangaza. Kama yeyote amewahi kuona
mataya ya papa, hofu ile ni kubwa sana huwezi kufananisha mpaka
ikutokee. Hofu ilikuwa ni ya kutisha. Aliyekuwa
pembeni yangu alikuwa futi
chache mbali kidogo, papa huyu
alimtafuna mguu wake! na wakamvuta
pembeni ya ufukwe, na damu kila mahali. Alikuwa akilia na mguu ukiwa
umeliwa tayari. Kwa hiyo naifahamu hofu lakini
ile hofu haikuwa kitu
ukilinganisha na hofu niliyopitia Kuzimu,
Hakuna jinsi ya kufananisha. Nafikiri hofu
niliyoipata juu ya papa ni moja ya hofu kubwa ambayo tunaweza
kupitia hapa duniani.
Kwa hiyo haya ni mambo machache
tunayotakiwa kuyashinda kule kuzimu.
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2024:17;&version=50 ;>Isaya
24:17
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2024:17;&version=50 ;>
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2024:17;&version=50 ;>-18
inasema:
*Hofu, na shimo, na mtego, vi juu yako, Ee
mwenye kukaa duniani. Itakuwa
kila akimbiaye sauti ya hofu*
*ataanguka katika shimo; na kila apandaye na kutoka shimoni atanaswa na
mtego; kwa maana *
*madirisha yaliyo juu yamewekwa wazi, na
misingi ya dunia inatikisika. *
Ted Koppel, alipokuwa akifundisha alifundisha
akiwa na mada ya "Night Line" mwaka mmoja na nusu uliopita,
aliwatembelea wafungwa baadhi nchini na
akakaa nao usiku mzima mahali pale.
hakuweza kuamini jinsi
kulivyokuwa na kelele, hakuweza kulala, kila
mmoja alipiga kelele za juu sana kwa nguvu zake zote. Alisema
alishagazwa jinsi watu walivyopiga kelele na
kuunguruma usiku kucha. Hivyo
hata katika magereza yetu ya
duniani, watu hupiga kelele, je ni kiasi gani kule
kuzimu. Katika Ayubu 18:14 <http://www.biblegateway.com/ passage/?search=Job%2018:14;&version=50 ;>inazungumzia
maovu ya
mwanadamu, kwa mtu atakayemkataa
Bwana...
*Atang'olewa katika hema yake aliyokuwa
akiitumaini; Naye atapelekwa kwake mfalme wa utisho. *
Shetani hakika ni mfalme wa Hofu.
*(Kuachwa Kuzimu)*
Sasa nilikuwa nje ya selo na niliangalia upande
huu Niliona miali ya moto,
kama maili 10 hivi kutokea nilipokuwa. Nilifahamu kuwa ilikuwa maili 10. Na shimo la
moto kama maili 3 kwa upana,
lilikuwa na moto uliokuwa
ukiwaka mpaka angani ulioweza kunifanya
kuona ardhi ya kuzimu kidogo.
Giza lilikuwa ni nene; liliweza kula mwanga wote. Lakini angalau kulikuwa
na mwanga wa kuweza kuona anga.
Palikuwa ni kahawia na ukiwa. Namaaanisha
hakuna hata kijani kimojawapo,
hakuna hata maisha ya aina yeyote,
ni jiwe/mwamba, kuchafu na anga nyeusi na moshi katika anga. Miali ilikuwa
ni mirefu hivyo niliweza kuiona.
Kuna andiko katika Mambo ya nyakati 29:23
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Deuteronomy%2029:23;&version=50 ;>
*Ya kuwa nchi yake nzima ni kibiriti, na
chumvi, na kuteketea, haipandwi,
wala haizai, wala nyasi*
*hazimei humo, kama mapinduko ya Sodoma
na Gomora, Adma na Seboimu, aliyoipindua Bwana kwa *
*ghadhabu yake na hasira zake; *
Hakuna maisha hata hivyo kuzimu. Inatisha
kama nini kuwepo kwenye ulimwengu
ambao hauna maisha. Hapa
tunafurahia miti na hewa safi, lakini mahali pale kila kitu kimekufa.
------------------------------
*Page 9*
9
*(Moto)*
Moto ulikuwa ni mkubwa sana, huwezi hata kuelezea. Mambo ya nyakati 32:24
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Deuteronomy%2032:24;&version=9 ;>
inasema;
*Watakonda kwa njaa, wataliwa na makaa ya
moto, Na uharibifu mkali;
Nitawapelekea meno ya*
*wanyama wakali, Pamoja na sumu ya wadudu watambaao mavumbini. *
Yuda1:7
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Jude%201:7;&version=50 ;>
*Kama vile Sodoma na Gomora na miji
iliyokuwa kando-kando, waliofuata
uasherati kwa jinsi moja na *
*hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili
yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika *
*moto wa milele. *
Zaburi 11:6
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Psalm%2011:6;&version=50 ;>
*Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na
kiberiti na upepo wa hari, Na viwe
fungu la kikombe chao.*
Hicho ndicho kilichokuwa kikiendelea Kuzimu,
pana joto kali. Hivi vitu vyote vilitosha kabisa kukuua, lakini hufi!
Unatakiwa kuendelea kuvumilia haya mateso.
Nilihitaji amani ya moyo,
kuondokana na vilio hivi na kutoka
mahali pale. Ni kama ambavyo unataka
kwenda nyumbani usiku baada ya siku ngumu, unahitaji amani ya moyo.
Lakini pale unavumilia mateso yote na vilio. na
hauwezi kamwe kutoka mahali
pale.
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2057:21;&version=50 ;>Isaya
57:21
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Isaiah%2057:21;&version=50 ;>inasema:
*" Hapana amani kwa wabaya; asema Mungu
wangu."*
Pia kuzimu unakuwa uchi. Ni kitu kingine
ambacho inakupasa uvumilie. Aibu! Ezekiel
32:24 <http://www.biblegateway.com/passage/? search=Ezekiel%2032:24;&version=50 ;>inaongelea
kuhusu
aibu ndani ya kuzimu.
*Elamu yuko huko, na watu wake wote jamii,
pande zote za kaburi lake; wote
pia wameuawa, wameanguka kwa * *upanga, walioshuka hali hawana tohara hata
pande za chini ya nchi; ambao
waliwatia watu hofu katika nchi ya *
*walio hai, nao wamechukua aibu yao, pamoja
nao washukao shimoni. *
Na katika Ayubu 26:6 <http://www.biblegateway.com/passage/? search=Job%2026:6%20;&version=50 ;>*Kaburi
li wazi mbele yake, Uharibifu nao hauna
kifuniko.*
Hii inamaanisha Mungu anaweza kuona
Kuzimu, Hivyo inaonekana kwake.
*(Ukame)* Hakuna maji kuzimu, kabisa, hakuna. Hakuna
unyevunyevu katika anga na maji
ya aina yeyote. Kuna ukame sana
Unakuwa unahitaji maji ya kunywa hata tone
la maji tu, moja tu. Kama vile
ambavyo maadiko yanasema katika Luka 16:23-24
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Luke%2016:23-24;&version=50 ;>,
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Luke%2016:23-24;&version=50 ;>
*Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake,
alipokuwa katika mateso, akamwona
Ibrahimu kwa mbali, na *
*Lazaro kifuani mwake. Akalia, akasema, Ee
baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha *
*ya kidole chake majini, auburudishe ulimi
wangu; kwa sababu ninateswa
katika moto huu. *
------------------------------
*Page 10* 10
Ibrahimu akasema, "Mwanangu kumbuka", na
kisha aliendelea kuzungumzia ndugu
zake. Alimtaka tu achovye
ncha ya kidole chake katika maji, apate tone
moja tu. Hiyo ingekuwa ni kitu cha thamani, tone moja, lakini
haiwezekani, kupata hata tone. Ni vigumu
kupata picha ni jinsi gani mdomo
wako unakuwa mkavu. Kama
unaweza kufikiria kufanya mbio za marathoni
za kufa na kupona na ukawa na pamba katika mdomo wako na
unaendelea kuwa huko kwenye bonde la uvuli
wa mauti kwa muda wote, iendelee
hivyo, kukame, kabisa, unahitaji
tone la maji.
Kitu kingine andiko hili limebainisha kwangu tunajua kuna shimo kubwa sana
limewatenganisha kati yao, kuzimu;
kati ya peponi na Kuzimu. Na mtu huyu
aliyekuwa tajiri akamwona Abrahamu
kwa mbali. Kwa asili, anawezaje
kumtambua Lazaro na Ibrahim? Awali ya yote kamwe hakuwahi kukutana na
Ibrahimu na kisha kuona mtu kwa
mbali namna ile, usingeweza kujua ni nani hao.
Lakini kuna mambo fulani tu
unajikuta unayajua kuzimu.
Unaelewa, kama nilivyosema, kuhusu kina, umbali wake na kadhalika.
Kisha pepo mojawapo likanikamata, na
kunirudisha tena selo na nikarudia
yale mateso tena, ambayo sipendi
kuyaongelea, kwa sababu sipendi kuendelea
kukumbushia mateso yale. Walianza kuniponda fuvu langu. Pepo
moja likanikamata nakujaribu kupasua kichwa
changu. Nalikuwa nalia mayowe
na kuomba rehema, lakini hakuna
rehema! Kwa wakati huu sasa kila pepo
lilishika mkono na mguu wangu na walikuwa karibu kuniachanisha.
Nilifikiri kichwani *"siwezi kuvumilia hili, siwezi
kuvumilia hili!"*
*(Jirani na shimo)*
Na mara gafla, kitu kikanishika na kunivuta nje
ya selo. Najua alikuwa ni Bwana, lakini wakati huo sikuwa
nimejua. Nilikuwa mahali pale kama mtu
asieokoka, kwa hiyo sikujua vitu
hivi. Nilikwenda pale kama sikuwahi
kumpokea Bwana. Niliwekwa jirani kidogo na
moto niliouona. Nilikuwa nimesimama peke yangu pembeni mwa
shimo lile. Nilikuwa chini ya pango, kama
pango kubwa, lenye tanuru
iliyokwenda juu. Ndani ya moto ule
niliweza kuona ndani miili na watu ndani ya
moto wakilia mayowe, walilia rehema, huku wakiungua! Na
nilifahamu sikutaka kwenda mahali pale.
Maumivu niliyoyapata tayari
yalikuwa ni makubwa lakini moto uliokuwa
ukitokea mle kwenye miali ile ya moto
nilitambua ilikuwa ni hari zaidi sana. Watu hawa waliomba kutoka nje.
Kulikuwa na viumbe hawa wakubwa
wamejipanga wamezunguka pembezoni mwa
shimo
hilo, na watu
walipokuwa wakijaribu kutoka nje, walirudishwa tena kwenye moto wasiweze
tena kutoka. Nikafikiri, *"Oh, hii*
*sehemu ni mbaya, mbaya sana na inatisha
sana."*
Haya yote yanafanyika kwa wakati mmoja.
Una kiu, una njaa, umechoka. Pia kuzimu hupati muda wa kulala.
Unahitaji usingizi kama unavyohitaji sasa.
Mwili wako unakuwa unahitaji
kulala. Ufunuo 14:11 inasema,
*Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata
milele na milele, wala hawana raha mchana wala *
*usiku,…*
Hata huwezi kulala. Unaweza kufikiri ni jinsi
gani kulivyo, yaani hakuna
kulala.
Kuhusu maji, <http://www.biblegateway.com/passage/? search=Zechariah%209:11;&version=9 ;>Zakaria
9:11
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Zechariah%209:11;&version=9 ;>,
<http://www.biblegateway.com/passage/? search=Zechariah%209:11;&version=9 ;>
*... Nimewatoa wafungwa wako katika shimo
lile lisislo na maji.*
------------------------------
UNABII WA KWELI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni