by Hollie L. Moody.
Niliona Mlolongo wa watu
bele yake. Nilishangaa kwa
jinsi hao watu hawakuwa na uso. Nafasi ya uso palikuwa bure.
Wakati kila mtu alikuja mbele ya Bwana, Angefungua kitabu
na kusoma ndani yake mambo yote ambayo huyo mtu alitenda. Kila kitu
kilinakiliwa; na Bwana aliso kitabu chote kutoka mwanzo hadi mwio. Kilo mtu
katika ule mlolongo alihukumiwa na kwenda jehanamu. Kilwa wakati Bwana
angemwambia mtu amehukumiwa huyo mtu angeanza piga mayowe na kulia akimwomba
Bwan ampe nafasi mara moja tuu. Bwana alitiririkwa na machozi mengi
akitikisa kichwa chake akiwambia kila mmja wao ya kwamba alimpa nafasi
nyingi ulimwenguni kutubu na kuokoka ili aje kuishi na bwana mbinguni lakini
walipuuza. Hii iliendelea kwa mda.
Hatimaye
Bwana aliniangalia na kuniuliza "Jee mbona hufanyi kitu chochote?"
Nilichanganyika. "Jee wataka nifanye nini Bwana?" Nilimjibu. "Omba" Bwana
alinijibu. Kwa hivyo nikaanza kuomba bilo maanani. Baada ya mda kidogo Bwana
aligeuka kwangu na kusema, " Angalia hawa watu, kweli waangalie kabisa".
Nilipo fanya hivyo nyuso zao zilioneka kwangu. Wakawa watu ninao wafahamu
kidogo tuu. Ni watu tunafahamiana kidogo. Nikaanza kuwaombe kwa bidii kidogo.
Baada ya muda kidogo Bwana aligeuka tena kuniangalia kwa nguvu na hasira na
akasema, "Angalia hawa watu mara tena". Sasa hawa watu wakawa marafiki. "Lazima
uombe kwa nguvu", Bwana akaniambia. Nikaanza kuomba kwa nguvu kidogo. Lakini
bado mlolongo wa watu ulikuja mbele ya Bwana, ange soma historia ya maisha
yao kutoka kwa kitabu na kuwahukumu.
Mara nyingina Bwana akageuka kwangu mara hii na gadhabu.
Alikuwa bado analilia mioyo zinazohukumiwa. " Kwa hakika unaelewa kinacho
fanyika hapa?" akaniuliza Bwana. " Tazama!!" Hatimaye, shimo lilifunguka
nyuma ya mlolongo wa watu. Nilitazama kwenye shimo hilo. Kulikuwa na giza
kingi sama kutoka shimoni. Nilisika vilio, mayowe, na kelele toka shimoni. "Nenda
uangalie" Bwana aliniamuru. Sikutaka kwenda. Niliogopa, lakini nguvu kama
mkono ulinisukuma kutoka nyuma
kunisukuma hadi kwenye ukingo wa hilo shimo jeusi.
Nilipofika
ukingoni mwa hilo shimo jeusi, niliangalia chini ndani yake. Nilirudi nyuma
kwa vitisho. Niliona chini ya hilo shimo. Lilionekana shimo ndefu sana. Mule
chini mulionekana watu wengi sana wana geukageuka kwa wingi na kufinyana
huko chini hadi ilionekana kama hakuna nafasi katikati yao. Mule ndani
kulikuwa na mwiale za moto na moto mwekundu kutoka kwenye lile shimo nyeusi.
Nilinusia chemicali ya salfa. Niliona mwile na moto. Nilihisi joto jingi
sana kutoka kwe ule moto. Niliona wadudu wakipanda na kutembelea juu ya wale
watu mule shimoni jeusi. Watu walikuwa wanawaka moto lakini hawachomeki na
kwisha, lakini wakuwa wana chomeka na kupiga nduru kwa uchungu wa moto.
Walikuwa naangalia juu kutoka mule shimo jeusi. Walibeba mikona yao iliekea
juu kwa huruma. Walikuwa waki sukumana kama mawimbi ya bahari kwa pamoja.
Walikuwa wakipiga nduru na makelele ya uchungu na huruma nyingi na kutaka
kuokolewa. Lakini hakuna huruma wala kuokolewa wala kukombolewa.
Nili songa nyuma kutoka kwa ukingo wa lile shimo kwa hofu
na uoga mwingi sana. Nilimugekia Bwana alie kuwa amekaa kwenye kiti chake
cha enzi. Alikuw bado a soma kutoka kwenye vitabu vya hukumu. Niliona kitita
kibubwa bila kikomo cha msongamano cha vitabu karibu na kiti cha Enzi.
Nakikajua ya kwamba wale wote ambao witabu vyao vimeandikwa wanaenda
kuhukumiwa. Niliangalia laini ndefu bila kikomo ya watu ambao walikuwa mbele
ya Bwana walingoja hukumu yao. Sasa nikaona kila uso sura yake vizuri
kikamilifu. Walikuwa marafiki wangu, jamii yangu and jamaa wangu. Na
walikuwa wanahukumiwa. Naliona wakitupwa kwenye lile shimo nyeusi ndefu,
nilisikia wakilia na kusaga memo na kupiga nduru ya uchungu walipo anguku
kwenye lile shimo nyeusi.
Bwana alinigeukia kwa machozi ya kimtiririka mashavuni
nakusema "sasa omba". Nikaanza kulia na kupiga nduru kwa Bwana Mungu
kuhurumia hawa watu asiwahukumu kwenda motoni. Kila mtu alipohukumiwa,
nilikimbia kwenye ukingo wa lile shimo kujaribu kuzuia naku jaribu kuwavuta
nyuma ili wasianguke mule shimoni. Ninge washika kwanguvu mikono yao na
kujaribu kuwazuia lakini wangepita mikononi mwangu bila shida na kuingio
shimoni kwa kishindo. Nilikuwa na hofu na maangaiko kwa kujaribu kuoko
wapendwa wangu wasianguke kwenye lile shimo la moto wa kutisha. Nilikimbia
nikashika Bwana Mungu na mkono mmoja na mwingine nikijaribu kutoa wale walio
hukumiwa kwenye lile shimo la moto bila kufaulu.
"Acha kunishika" Bwana Mungu aliniambia. "Nikikuacha
nitaingia shimoni mimi" nikalilia Mungu. "Acha kunishika" Bwana Mungu
alisema tena. Nilimwachilia. Nilihisi mikono ya nguvu isioonekana ilinishika
kwa nguvu. Nililala chini karibu na ukingo wa lile shimo la moto na
kuelekeza mikono yangu mle ndani kuzuia wasiingie mule shimoni. Nilisikia na
kuhisi na chomeka na mwiale and moto kutoka mule shimoni. Wakati mwingine
nilihisi makucha makali yakinichuna kwa nguvu kutoka mule shimoni. Niliona
mikono yangu ikichomeka na pia alama na mikwaruzo ya makucha.
Nilikuwa
nalia kwa hofu nikimwita Bwana Mungu kuokoa hawa watu wangu amboa
nawapenda. Nilikuwa naomba Bwana Mungu kuhurumia hawa watu ya kwamba
asiwahukumu waende mle shimo la moto. " Ni rahisi kuombe watu waliopotea
wakiwa ni wa penzi wako" Bwana Mungu aliniambia. "Kumbuka waliopotea hawa
wote ni wapenzi wangu, nataka watoto wangu wote wawaombee hawa waliopotea
vile unawaombea sasa hivi. Nitainua uzazi wa waombezi kusimama kwenye pengo
kwa wanangu wapotevu. Hawa waombezi watahisi moto wa kuchomeka na vita
watakapo chomeka. Nguvu za kuzimu zitawapinga na kuwadhulumu nakupigana nao.
Walakini nitakuwa nao nakuwashikilia. Sasa omba"
--Hollie L. Moody
Bwan amekaa kwenye kiti cheupe cha ufalme. Mlolongo wa watu

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni